watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ni kabila la kirangi pekee linaloongoza kwa mabinti kumpeleka watoto kulelewa na Bibi zao vijijini baada ya kukorofoshana na waliowapa mimba?

    Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto vizuri tu Mdogo wake naye hivyo hivyo baada ya kugombana na mwanaume wake akachukua mtoto akampeleka...
  2. JamiiForums Tanzania Je kuna ulazima kwa kuwatoboa pua na masikio watoto wachanga?

    Hii ni moja ya mada inayozungumzwa sana baina ya watu, na ina maoni tofauti kutokana na mtazamo wa mtu na mtu. Tunafahamu kuwa ni wazi suala la malezi ya watoto katika kipindi hiki yamebakia kwa wazazi wenyewe huku athari zikiwa ni kwa jamii, tofauti na zamani ambapo mtu mwenye umri na rika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Queen Sendiga awachana watoto wa 2000, hawajishughulishi na kazi za nyumbani

    Wakati shamrashamra za maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani zikipamba moto, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewashukia 'watoto wa 2000' akidai kwamba wengi wao hawajishughulishi na kazi zozote wawapo makwao.
  4. JamiiForums Tanzania Mwalimu Sekondari ya Mwilibona awapiga wanafunzi 2 na kuwavimbisha mikono sababu ya kuchelewa kufika shuleni

    Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule. Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania KAMA WAZAZI NA PIA WATOTO KUNA LA KUJIFUNZA HAPA.

    Hii clip imenifikirisha sn km mzazi na km mtoto kwa wazazi wangu. Ndiyo maana nikaileta hapa ili wengine nao wapate kujifunza jambo. NB. Tuchangie hoja km wazazi au watoto wa wazazi wetu siyo kuingiza mahaba ya u SIMBA au YANGA. Kuna somo kubwa sn hapa.
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama huwa wanakula watoto wao wadhaifu mara baada ya kuzaa?

    Habari wanajukwaa! Ningependa kujua kwa nini baadhi ya wanyama, hasa mamalia na wengine, hula watoto wao dhaifu au waliokufa mara tu baada ya kuzaliwa. Mara nyingi huwa ni tabia ambayo ipo kwa paka, mbwa, fisi pamoja na wanyama wengine, kwani ni vigumu sana kuona amezaa na kukuta vitoto vyake...
  7. JamiiForums Tanzania Kuishi na Mwanamke na kuzaa naye watoto Si Mke ni Mzinzi Mwenzio,Funga ndoa Utalindwa!

    Ndoa ziheshimiwe na ndio maana halisi ya ndoa. Viungo viwili vya uzazi vinapokutana kitendo ni kimoja ila majina ya kile kitendo yanatofautiana kutokana na mukhtadha! Ukiwa umeoana , mume na mke basi "wanafanya tendo la ndoa'. Ukiwa una mke na mwezio ana mume ila mkakutanisha vioungo vyenu basi...
  8. JamiiForums Tanzania RC Shinyanga apiga marufuku Watoto kutumikishwa mashambani, ataka wapelekwe Shuleni

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amepiga marufuku wazazi na walezi kuwatumikisha watoto mashambani na kuchunga mifugo badala ya kuwapeleka shule. Msingi wa kauli ya Macha ni kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kusoma wanaandikishwa na wanahudhuria shuleni, akidokeza kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe; kwa Sisi Wanaume watoto wote sio Sawa. Tunawapenda na kubariki wale wanaotusikiliza

    WANAWAKE MUELEWE; KWA SISI WANAUME WATOTO WOTE SIO SAWA. TUNAWAPENDA NA KUBARIKI WALE WANAOTUSIKILIZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kutuzalia Sisi tunaweza kukushukuru Sana lakini linapokuja suala la Upendo wa Baba kwa Mtoto ni kipengele kingine. Yaani Baba kusema sasa huyu ndiye mtoto...
  10. JamiiForums Tanzania Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumeite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  11. JamiiForums Tanzania Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumuite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  12. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Single mama acheni tabia mbaya ya kuwapa watoto ubini wa kwenu badala ya baba zao halisi

    Huu ni ujinga wa hali ya juu. Kama mtoto ni wa Popoma muite Clara Popoma badala ya kumpa ubini usio wake. Single mama baadhi yenu mnawapa ubini wa baba zenu kitu ambacho sio sawa. Hasira zako kwa aliyekupa mimba hazimhusu mtoto. Yule ni baba yake wa damu hivyo ni haki ya mtoto kuitwa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Watoto 13 wafanyiwa upasuaji wa Kunyoosha Kibiongo katika Taasisi ya MOI

    Dkt. Bryson Mcharo, Daktari bingwa wa mifupa kwa watoto- MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13 wamefanyiwa upasuaji huo kwa mafanikio makubwa. Kaimu Mkurugenziu Mtendaji wa MOI, Dkt. Laurent Lemeri...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto wa Kazi Kazini: Ona Stories na Historia ya Bibi Titi

    VIJANA WA KAZI KAZINI: ONA STORIES NA HISTORIA YA BIBI TITI MOHAMED Nimealikwa kwenye studio nyingi ndani na nje ya Tanzania kuzungumza na wakati mwingine kwa mahijiano maalum. Kwa kiasi changu naweze kusema nazijua studio na watu wake. Lakini na narudia lakini, studio hii niliyotia mguu leo...
  15. JamiiForums Tanzania Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

    Richa ya kua kuna huduma za PMTCT lakini kuna watoto wengine huwa wanapata maambukizi licha ya kua wamezaliwa kituoni. Hai galantii kwamba kwasababu wazazi wako positive na wanatumia ndio watazaa mtoto asiye na maambukizi?!! Nataka njia au evidence based stories za hawa watu
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake Singo Mama, wanawachukulia Wanaume wenye watoto (Singo Baba) kama wanaoendana .!

    Ushawahi Jiuliza kwann Mwanamke mwenye mtoto au watoto, akiwa anatafuta Mume ,kigezo chake Cha kwanza ni 'Mwanaume awe pia na mtoto au watoto'?. Hiyo mbinu inaitwa Kusahihisha kosa Kwa Kumfanya MTU naye ajihisi alifanya makosa . Yaan hapo mnakua mko Kwa mizani sawa !! Mwanamke mwenye mtoto...
  17. JamiiForums Tanzania Kisa tu ulitoka familia duni halafu haukusoma then ukapata vijisenti sasa huko mitandaoni unabwekea watu "eti kwanini mnasoma?"

    Hii yote ni kujitafutia acceptance katika dunia inayoongozwa na literates. Kuna wajinga maarufu bongo hii wakisha shiba vihela vya kupaisha majina ya wanaume wenzao wengine baada ya kusambaza yas zao huwa wanatukana watu waliosoma eti wanapoteza muda. Utafikiri kila mtu ambaye hakusoma sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Acheni kuwatelekeza watoto wenu kwa bibi zao

    MHADHARA (87) 👁️Ewe mwanaume; Kama huna lengo la kuzaa usimpe mimba mwanamke, kama utampa mimba mtunze/tunzaneni. Ikiwa utampa mimba mwanamke na kumtelekeza utamfanya ateseke, pia utamtenganisha na fursa nyingi za maisha kwasababu ya muda mwingi atakuwa kwenye malenzi ya mtoto bila baba...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe na kuna wanawake wanawakataa watoto wao

    Hii imeniumiza sana story ya huyu dogo
  20. JamiiForums Tanzania Tofauti na watoto hakuna kingine special kuhusu ndoa za kileo.

    Tofauti na hako katoto innocent hapo juu, hakuna cha maana tena. Too bad kakishafikisha miaka 14 kataanza fundishwa kumchukia baba yake. Modern Weak Men alafu wanakutana Modern Independent Women unadhania nini kitafuata? Ndoa imekuwa engineered katika panels zinazo hamasisha ukosefu wa furaha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…