watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama wakristo wote na viongozi wetu ni watoto wa Mungu, KWA nini waitwa Baba Mchungaji/Askofu badala ya Kaka Mchungaji/Askofu ili Baba abaki Mungu tu?

    Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu. Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba. Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
  2. Watoto ninaowafundisha hakuna alie na ndoto ya kua mwalimu hi imekaaje?

    Kwamba career yangu inadharauliwa adi na watoto? Nimemaindi sana
  3. Utalii wa ndani kwa watoto hasa hawa wa shule za Msingi na Sekondari

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza kwa kukaribisha hoja ya Utalii hapa nchini. Je, hatuwezi kuwa na Utalii wa ndani (Domestic Tourism) kwa kuwapatia watoto wa Shule za Msingi na Sekondari (Serikali na Binafsi) haki ya kuona vivutio vya nchi yao na hii kitu iwekwe kwenye mitaala ya Elimu yao...
  4. Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Eletisia Mtweve: Wazazi acheni mazoea ya kuacha Watoto kwa jirani

    Wafanyabiashara wa Kijiji cha Ipunga wametakiwa kufanya shughuli za kujitafutia kipato kwaajili ya familia zao bila kusahau malezi ya watoto wao ili kuwawezesha watoto kukua vizuri kutokana na uangalizi wao. Hayo yamesemwa Juni 02, 2025 na Polisi Kata ya Ipunga, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi...
  5. Ubunifu: michezo ya watoto

  6. Serikali kupitia bodi ya mikopo kama mmeshindwa kuwahudumia hawa watoto ni bora mkasema ili watafute option nyingine

    Unaenda mwezi wa pili huu wanafunzi ambao wanawaita wanufaika wa HESLB hawajaingiziwa accommodion and meals fund,na isitoshe 90% ya hao walipewa 10 to 40% kwa ajili ya tuition fees hivyo wanategemea meals na accommodation ili wajazie ada. Mpaka sasa wanafunzi wengi wamekwama kulipa ada kwa...
  7. Kesi ya Lissu Inaonesha Jinsi Viongozi Hili Bara Wanavyokosa Maono ya Bara la aina Gani Wapo Tayari Kuwaachia Watoto Wao (Viongozi wa Baadae)

    Tatizo Halisi la Afrika: Si Ukosefu wa Rasilimali, Bali Ni Ukosefu wa Maadili Miongoni mwa Viongozi Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria? Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
  8. Mahubiri ya Gwajima yamuibua Zitto Kabwe akichukizwa na mauaji ya watoto na raia wasio na hatia huko Gaza!

  9. Waarabu Hawajawahi Kujali Haki za Watoto: Kinachoendelea Zanzibar na Kesi la Ulawiti ni Dalili Za Mwanzo za Unyama unaofanyika Nchi za Kiarabu

    Na Tauceti Rigel Ni lini jamii itaamka kutoka usingizi wa kina, na kukubali kuwa baadhi ya tamaduni zinazofichwa nyuma ya pazia la dini ni vazi la unyama wa wazi? Swali hili linapaswa kutusumbua sisi sote, hasa wakati huu ambapo Zanzibar inatikiswa na kesi za ulawiti wa watoto huku wengi...
  10. Matumizi Mabaya ya Madaraka: Jinsi Watoto wa Saddam Hussein Walivyotawala kwa Hofu na Kuongoza Magenge ya Kikatili

    Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya ukandamizaji, unyanyasaji, na uongozi wa magenge ya kijeshi na kijasusi ndani ya Iraq wakati wa utawala wa...
  11. Shule msingi za EM(English Medium?)zaanza kufwata watoto wafanyishwa mitihani ya kujiunga secondari hizo.

    Ni ukweli usiopingika kwamba shule za secondari zinahamgsika kupata wanafunzi Bora kutoka English medium Bora. Kwa.sasa wameshaanza kupishana kwenye mashule yanayopifa A za kutosha mitihani ya la Saba. Hii maana yake ni kwamba wanachukua cream mapema. Hawa nahisi wanafanya na punguzo la ada...
  12. Niachaba na aliyekuwa mke wangu..,tulikuwa na watoto wawili,naombeni ushauri

    Mods naomba heading isomeke nimeachana na .. Naam wapendwa, naombeni ushauri wenu tafadhari.., niliachana aliyekuwa mke wangu hambaye tulizaa watoto wawili baada ya kufanyiana matukio mazito ya kutosha., aliniachia watoto wawili, mmoja ana miaka 2 na mwingine ana miaka 4 ,kimsingi ni wadogo...
  13. Mume watoto watatu nje mke mmoja

    Kuna rafiki yangu ameniomba ushauri nimekosa cha kumshauri Yeye ana mtoto mmoja ni single maza.kapata mwanaume ana watoto 3 .boys Anataka wafunge ndoa kabisa. Sasa anawaza Bora apambane na mwanae mmoja au Bora aolewe akapambane na WA nne? Uchumi WA jamaa ni WA Kati na yeye mwanae analea...
  14. Bila Mchepuko, Ndoa Nyingi za Sasa ni Ngumu Kudumu – Unahitaji “Catalyst” ya Mahusiano

    Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha. Kabla hujanihukumu au kunishambulia, tafadhali nielewe vizuri. Sipromoti usaliti, bali najaribu...
  15. U

    Mwigulu , Yanga tutakupa Urais 2030, tafadhali Tufungie haya Makolo Leo, Piga Hao watoto wa TFF/TPBL

    Kwakuwa Yanga tunaipenda Tanzania, NA tunaipenda Timu yetu Singida Black stars, basi kwakuwa sisi yanga population yetu ni kubwa kufikia asilimia 75 ya population ya nchi, na ukizingatia Sisi yanga ndo Wananchi wenyewe, basi sisi tuna ushawishi mkubwa, japo tunaonewa na TFF na Bodi ya Ligi ambao...
  16. Mnaomshambulia Abbas Tarimba, anajua uchungu wa mwana kuliko nyie, alishawahi kupoteza watoto wawili kwa mpigo

    Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
  17. W

    Watoto wanaposema uwapeleke kwenu wakati uliishi Kota, nyumba ya kupanga, ulipoishi pamekuwa sehemu ya biashara, n.k. unawajibu nini ?

    Sehemu ulipoishi ni kota, kuna familia nyingine imehamia Sehemu ulipoishi ni nyumba za kupanga, kuna wapangaji wengine Ulipowahi kuishi pamebadilika kabisa, sio tena sehemu ya makazi ni mji wa kibiashara kuanzia mafremu, magorofa, gesti, magorofa, n.k. Kijijini kwenu hawakujui au...
  18. Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi

    Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi. Raisi ataendelea kuwa na mamlaka kwenye vyombo vya usalama lakini sio kwa maslahi yake binafsi.
  19. W

    Ni hatua zipi za kuchukua kupunguza upotevu wa mali kwa mzazi mwenye mashamba na nyumba nyingi lakini hashirikishi mke wala watoto ?

    Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k. Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali, Mali mnazijua kupitia watu...
  20. Wenye ndoa yenye watoto tu: Je mwanao alishawakuta kimakosa mkiwa faragha? Ulichukua hatua gani?

    Kwanza kataa ndoa nisiwaone huku, hii mada ni kwa wale tulowah kuishi maisha ya ndoa na familia yenye watoto. Je mwanao au wanao walishawakuta mpo faragha kimakosa? Je ulichukua hatua gani ili kuondoa mental au psychological damage kwa mtoto? Hii mara nyingi hutokea pale wazazi wakiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…