watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi mnajua watoto kuanzia 2020 wana IQ kubwa ambayo unaweza kusema ni wasomi

    Kwa wale wazazi kama una mtoto kuanzia 2020 kwenda mbele kuna kitu naona kwa vizazi kuwa generation hii inaweza na IQ kubwa sana ya utafakari. Watoto 2020 wanaweza kushika simu yako wakafungua youtube na kukwambia muwekee katuni au kitu anacho penda. Kitu chengine mzazi ukiwa muongo au mtu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnaongea na binti zenu?

    Eti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ? Siku moja nipo saloon Alifiki binti m,moja Baada ya kuketi Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi HER > GOOD MORNING DADY HIM > MORNING DOTAA HIM > NIMEFIKA SALAMA,MWANZA MWANANGU....NA SIM YAKO INA SALIO ? HER > SIM...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nchi ikishakombolea mkononi mwa wakoloni weusi Kuna Madaktari na Maprofesa wanapaswa kuvuliwa hizo tittle zao akiwemo Kitila Ili kusaidia watoto wetu

    Maprofesa na madaktari ni watu wenye Elimu kubwa baada ya kufanya tafiti mbalimbali. Pili ni watu ambao wanasimamia kile wanachoamini maana wamekifanyia utafiti Tatu ni watu wanaolenga kusaidia jamii Kwa kile wanachoamini na kuifanyia utafiti Maprofesa na madaktari wasiosimamia kile...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto wa dot com

    Kwa wasio wahenga (Watoto wa Dot com) nawajulisha kwamba hawa ndio waasisi wa Taifa letu. Sheikh Abeid Aman Karume Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Mwl Julius Kambarage Nyerere Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Tanganyika
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa marais au viongozi ndio wanaharibu nchi?. Hili limeonekana nchi nyingi

    Mimi nikitaka kujua kiongozi au raisi naanza kuangalia mwanae tu maana nitapata CV zake zote.Nchi ambazo zilikuwa na utawala wa hovyo utaanza kupata historia ya watoto wao.
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi pekee wananchi hupenda kuwaona watoto wa marais hawaendelei

    Huwezi amini kuna mahala nipo sasa hivi naambiwa waziri mstaafu wa kilimo kwa KUSHRIKIANA na Mtoto pendwa Abdul wananunua CHOROKO🤣😂 NAKUMBUKA enzi za Jakaya tuliambiwa Rizi ndo mmiliki wa masheli mengi Tanzania nakumbuka mpaka alijitokeza kukanusha. Sasa tunaambiwa masheli yamehamia kwa Abdul...
  7. JamiiForums Tanzania Manara: Watoto wazuri wanazaliwa kila siku, Nitaoa ila lazima nifanye upembuzi yakinifu,

    Wakuu naona Manara hajakatia tamaa bado suala la ndoa, amedai watoto wazuri wanazaliwa kila siku anaachaje kuoa kwa mfano
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kidato cha nne kuanza mitihani kesho, 309,986 hawajulikani walipo

    Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
  9. JamiiForums Tanzania 2025 ni mwaka ulioongeza watoto yatima

    Kwasababu waliouwawa wengi ni vijana, halafu pili wengi wao walikuwa wanaishi mjini, halafu tatu maisha ya mjini yalivyo magumu, na halafu nne baba ndiye nguzo kuu ya familia. Basi watoto wa mtaani wataongezeka kuanzia sasa na kuendelea, maana kuna wengine wameachwa na mimba.
  10. JamiiForums Tanzania Mama mzuri na bora ni yule anayelinda watoto wake

    Mama hauwi watoto wake, bali huwakumbatia na kuwalinda. Hata vitabu vya dini vinasema, Mtoto wako akiomba mkate huwezi kumpa jiwe. Hata sisi tuliomba haki hatukustahili kupewa vifo, vilema na majeraha..!! Kama kulikua na makosa mama anatumia kiboko kukanya na kuadhibu na sio risasi za moto...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia

    Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia. Tulieema ni kesi za uongo wanachochea moto wakifikiri wanauzima na kutafuta vitisho kumbe wanatutia hasira.
  12. JamiiForums Tanzania Watoto wetu mmewapa kesi za Uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya Gari ya kifahari

    Watoto wetu waliokua wanapambania kesho yao dhidi ya mfumo kandamizi mmewapa kesi za uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya gari ya kifahari sawa sisi tunaendelea kuona mwisho wenu utakuaje hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa pili sasa tangu watoto watundu walipoharibu Tv ya sebuleni sijatengeneza, niendelee kukaza au imetosha ?

    Sijaitengeneza ili wajifunze kuthamini na kutunza vitu. Huwa nawapa nafasi ya kuangalia TV yangu ya chumbani siku ya Jummosi tena ni masaa matatu tu saa tisa mchana hadi saa 12 jioni, baada ya hapo ni mpaka wiki ijayo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda mizigo tunayobeba wanaume ni mizito ila tukifikiria Familia hatuna namna na bado watoto wanamuona mama yao ndie hero

  15. JamiiForums Tanzania Wadogo zetu, watoto wetu mnaoenda na mliopo Chuo Kikuu kwa sasa, huu uzi unawahusu

    Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
  16. JamiiForums Tanzania Vigogo wa CCM na watoto wao wanajipongeza tuu na ubunge wa viti maalum

    Eeee nacheka kama mazuri Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba . Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum Hadi mwisho ni mtot wa Kigogo wa juu hadi wa mtaa ndio wabungee . Na kubwa zaidi ni nimeona tangazo la Jeshi la...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

    Nimegundua kuwa Wazazi wamewazuia watoto wao kwenda shuleni. Hofu bado ni kubwa sana. Wanasikilizia kama kweli hali ya utulivu na amani imerudi
  18. JamiiForums Tanzania Samia mamaangu, umekataliwa hadi watoto wadogo wamekukataa

    Ni kweli inasikitisha na kuhuzunisha kuwa kiongozi usiyekubalika hata na watoto wadogo, ila huo ndio ukweli. Na kwa hii lockdown iliyotokea na kusababisha masomo kuahirishwa, watoto hawakuelewi kabisa mamaangu. Pole sana. Muombe Mungu akuoneshe wapi ulikosea. Usione vibaya kurekebisha nafasi...
  19. JamiiForums Tanzania Waliokufa kwenye Maandamano, wanataka kuwazika kwenye Kaburi ya Pamoja. Tunaomba watoto wetu tukawazike

    Haya ni malalamiko nimetumiwa na mdau. Sijathibitisha. Kama ni kweli, naomba mtuupatie miili ya watoto wetu tukawazike wenyewe kwa gharama zetu. TAARIFA MUHIMU. Serikali inaendelea kutoa miili ya wapendwa wetu waliouwawa na Vikosi vya Samia Mahospitalini na kwenda kuwazika kwenye Makaburi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Hawa watoto wa bukumbili sijui mtawatawalaje huko mbele.

    Hawa madogo ni wabishi, ninayoyaona huku kitaa ni hatari vijana wamevurugwa sana. Hata mkijitangaza mkarudi ikulu huko mbele mtatawala kwa shida sana. Ama hakika #MO29 imefana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…