watoto wengi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Richard Nzagi: Mafinga ina Watoto wengi wa Kichina, Wachina wanaacha Watoto wengi wanapopita kwenye miradi

    Mkaguzi Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi anajibu swali kuwa “Endapo Mtanzania atapata ujauzito na raia wa kigeni, iwe ni mtalii au ameingia nchini kwa njia nyingine halali—halafu huyo mgeni akaondoka kabla mtoto hajazaliwa, je mtoto huyo anakuwa raia wa wapi?” Idara...
  2. J

    CCM itatoa elimu bure kutoka shule ya awali hadi chuo kikuu ifikapo 2050, hii itawafanya watoto wengi wa masikini kusoma mpaka mwisho wa akili zao

    Ikiwa itaendelea kuaminiwa, CCM itatoa elimu bure kutoka shule ya awali hadi chuo kikuu ifikap 2050 hii itawafanya watoto wengi wa masikini kusoma mpaka mwisho wa akili zao wala sio mwisho wa pesa zao. Hata hivyo, Kupaa kwa Bajeti ya Elimu kutoka TZS.4.7trn mpaka TZS.6.1trn ni maandalizi ya...
  3. haszu

    Watoto wengi hasa waliokulia mjini hawatakua na kumbukumbu nzuri ya utotoni.

    Kwa tuliobahatika huwa kuna muda unakaa, unakumbuka nyumba yenu/ kijiji chenu utotoni wakati unakua, watoto wenzio uliokua ukicheza nao na maisha ya ujumla ya utotoni. Kwa bahati mbaya kwa sasa watoto wengi wanalelewa kwenye nyumba lakini hawana nyumbani. Wazazi wanahama nyumba za kupanga mara...
  4. W

    Kwa hiki kibaridi ! mwezi wa tatu na wa nne hauwezi kuwa na mpinzani kwa idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa.

    Kwa hiki kibaridi mwezi wa tatu hadi wa nne utaendelea kuwa na rekodi ya foleni kubwa wodi za kujifungua
  5. Tauceti Rigel

    Familia Kubwa, Changamoto Kubwa: Ukweli Usiosemwa Kuhusu Malezi ya Watoto Wengi

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, kuzaa watoto wengi huonekana kama ishara ya baraka, fahari, na hata ujasiri wa kifamilia. Misemo kama “mtoto ni zawadi ya Mungu” au “familia kubwa ni hazina” husikika kila kona ya mtaa. Lakini katika zama hizi za mabadiliko ya...
  6. Rorscharch

    Je, Watoto wengi ni Baraka au Mzigo? Tafakuri ya kina kuhusu maisha ya familia na maendeleo ya watoto

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, na hasa hapa Tanzania, mtu anaposema ana watoto wanne au watano, jamii humpongeza kwa maneno kama "Wewe ni shujaa", "Mungu amekubariki", au "Watoto ni mali." Lakini nyuma ya sifa hizi za kijamii, kuna ukweli wa kisayansi ambao si watu wengi huujua—ukweli...
  7. Fbn

    Hivi kwa nini familia ambayo imedumu mke na mume ina watoto wengi waliozaa ukilinganisha na hawa sasa watoto wakizidi watatu?.jibu ni unyumba

    Ukichunguza ukaribu watu ambao ndoa kuvunjika na ikivunjika basi kunatizo tena sio tatizo ni kwamba mzee ndio tatizo kama baba wa kusimamia. Miaka ya nyuma wazee waliweza kumudu wake wengi na kila mke aliweza kupata anacho wekewa kuzalishwa idadi ya watoto ya kama movie ya fast ferious. Ila...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Hashim Rungwe: Watoto wengi wanaofeli hawapati Ubwabwa shuleni

    Wakuu Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote. Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi wanapata chakula, wanafunzi wapewe pia
  9. Mikopo Consultant

    Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

    Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli. Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini...
  10. Knock life

    Nilichogondua ni muhimu mzazi kuwa na Elimu ya sikolojia na malezi, watoto wengi wanaharibikia katika shule .

    Wakuu . Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana. Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko. Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala. Nina ndugu yangu yeye Ana watoto watano wakike wanne na wakiume mmoja. Watoto wake amekuwa akiwasomesha shule za boarding muda...
  11. Mzee wa makamo

    Kwanini watu wenye kipato cha chini wanaongoza kuzaa watoto wengi?

    Kwa utafiti wangu ndogo nimeona hii kitu ya kuzaa watoto wengi na umaskini(kipato kidogo) sijui ina uhusiano gani na kipato. Naombeni msaada kwa anaye jua
  12. B

    Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  13. mwanga mweusi

    Nimejikuta nakuwa baba wa watoto wengi bila kutarajia

    Mnipe mawazo mazuri maana nipo njia panda. Katika maisha yangu ya ujana nilijipangia mikakati inatayosapoti mimi kutoka kwenye maisha ya hali ya chini. Kabla sijaoa nilipanga 1. Nilipanga sitakuwa na mtoto nje yandoa au kabla sijaoa na hata nikioa sitakua na mtoto nje ya ndoa.✅ 2. Sitaoa mke...
  14. GENTAMYCINE

    Prophet IPM: Wanawake wasiopendwa na waume zao ndiyo huongoza kwa kuwa na watoto wengi

    Kuwa katika Ndoa siyo Kigezo cha Kupendwa na Mumeo. Mwanaume anaweza kuwa na Mke wa Ndoa katika Ndoa yao hata kwa miaka 20, ila akawa hajampenda Moyoni na yupo Mwanamke mwingine anayempenda hasa Kwingineko. Wanawake wengi hudhania Kuzalishwa sana na Mwanaume katika Ndoa ndiyo Kupendwa lakini...
  15. A

    DOKEZO Dotto Magari atasababisha watoto wengi kukataa shule

    Habarini za asubuhi. Kama mdau wa elimu sipendezwi na hawa watengeneza maudhui wa mtandaoni ambao wamekua wakikashifu wasomi na elimu kwa ujumla. 1. Ni ukweli usiopingika kwamba wasanii wengi imeonekana wamefanikiwa kuliko wasomi walio wengi lakini haimaanishi elimu haina umuhimu kwa kizazi...
  16. LIKUD

    "Kayumba hazifai kwa sababu zina watoto wengi" ni hoja dhaifu inayothibitisha uelewa mdogo wa Watanzania kuhusu saikolojia ya watoto

    Utamsikia mtanzania anaziponda shule za Kayumba akisema " Shule za Kayumba hazifai kwa sababu kuna watoto wengi sana" Nabaki najiuliza hivi huyu mzazi ana fahamu chochote kuhusu saikolojia ya watoto? Anafahamu kuhusu umuhimu wa stage ya kimaisha ya mtoto iitwayo" Childhood"?. Anyway...
  17. Nyanda Banka

    Umuhimu wa kuwa na watoto wengi uko wapi

    Nauliza hili.!! Ni kwanini familia zenye watoto wengi hasa nchini Tanzania zinakosa kushirikiana na kusaidiana kwenye mambo mbalimbali ya kifamilia pindi yanapotokea mfano maradhi, msiba, ama sherehe Wazee wetu wanazaa watoto wengi kwa lengo la kupata msaada pindi wanapohitaji lakini cha...
  18. G

    Tukiachana na wachaga, makabila mengi yana watoto wa mama, wanapajua zaidi kijijini na ndugu wa mama, Kwanini wanaume hawapeleki Watoto vijijini?

    Ukiondoa wachaga wengi (sio wote) watanzania wengi wa makabila mengine wanapajua zaidi vijijini kwa mama zao na ndugu wa mama kuzidi upande wa baba hivyo wanakidhi kigezo cha kuitwa WATOTO WA MAMA. Kwa wachaga naona wapo tofauti, watoto wanarudi mara kwa mara vijiji vya baba zao na kuzoeleka na...
  19. Hyrax

    Kama umezaa watoto wengi na unaishi Tanzania au Afrika laana ya umasikini itakutesa sana wewe na uzao wako wote

    Familia nyingi zenye watoto wengi zinastruggle sana kiuchumi hata uwe na hela vipi roho ya umaskini itasumbua sana uzao wenu kama sio wazazi basi watoto yatawakuta mambo ya umaskini umaskini tu. Baada ya kufuatilia haya mambo kwa muda mrefu nahitimisha kwa kusema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati...
  20. sky soldier

    Kwanini vijana wengi walioharibika waliolelewa na mzazi moja hutokea upande wa single mama?

    Kuna wanaokuwa vizuri lakini tuwaangalie wale walioharibika Husika na kichwa cha habari, Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers?
Back
Top Bottom