Bei Ya China Bila Usafiri 3500 kwa pea
Size 20-33 Pack 1
Makadirio Usafiri kwa meli 1000-2000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 300
Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 200 kila pea...
Hili jambo nimelifuatilia muda mrefu sana hapa barani africa esp. Tanzania wazazi wanaenjoy tu pale ambapo mama akipata toto la kiume jamii inakuchukulia mtu wa thamani sana yaani hongera unapata nyingi lakini kadri toto hilo la kiume linavyozidi kuwa kubwa ndivyo linavyoanza kuwa jitu la hovyo...
Hatukatai mama na mtoto kupendana kama mzazi na mtoto lakini hii ni sawa?
Ni kweli mvulana huyu anampenda mama yake kwa jitihada za kumuandalia chakula lakini hakukuwa na namna nyingine kuonesha anampenda hadi iwe hivi ?
nae mama wala haoni shida na yawezekana ndie alimzoesha tangu akiwa...
Kwa wale walio sali lile kanisa pale Obay na waliofanya mafundisho ya Kommunio ya kwanza na Kipaimara, nadhani mtakuwa mnamkumbuka mwalimu moja wa mafundisho hapo, aliye kuwa ana uliza maswali ya kudhalilisha anapo kufanyia usalihi na wengine walisema wali nyanyaswa kingono naye.
Je...
ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu, amewataka wazazi na walezi nchini kujenga misingi imara ya imani na maadili kwa watoto wao na kuwalinda dhidi ya ushoga.
Kiongozi huyo wa kiroho alitoa rai hivo juzi wakati wa sherehe za kumpa daraja. la upadre James Mrema...
Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.
Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu...
Salaam
Kuna audio inasambaa mitandaoni kwamba kuna dawa za meno zinagawiwa Mashuleni ambazo zinaharibu homoni za kiume.
Kwamba TBS ilithibitisha. Je, kuna mtu ana uhakika na hizi taarifa au ni Uzushi tu wa mitandaoni.
Wizara ya Elimu inajua hiki kitu na Uliruhusu?
Msililize huyu anachoongea
Miaka ya hivi karibuni, matumizi ya dawa za uzazi wa mpango (Vidonge na Sindano) yameongezeka sana, hali inayozua wasiwasi wa usalama wake miongoni mwa watumiaji.
Baadhi wameonesha wasiwasi wao kuwa dawa hizi husababisha kupata watoto wa kiume wenye homoni nyingi za kike, au hata kupata watoto...
Waziri wa maendeleo ya Jamii wanawake na makundi maalum Dkt Dorothy Gwajima amesema katika kipindi cha mwaka jana pekee watoto wa kiume wapatao 1,114 wamelawitiwa ambapo ni sawa na wastani wa watoto 93 wa kiume wanafanyiwa ukatili huo kila mwezi.
Waziri Gwajima ametoa takwimu hizo Leo jijini...
Kuna wazazi wanazingua Sana!
Wako bize na wanao wa kiume kuwafundisha kupika.
Mwanaume amepewa jukumu kubwa mno la kuitawala Dunia. Jukumu hili linamtaka mtoto wa kiume awe strong mentally and physically.
Mtoto wa kiume achukue muda mwingi kujengewa misingi ya uongozi, utawala, ubunifu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.