watoa huduma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Nimefanikiwa kupata huduma lakini NSSF Ilala Boma Watoa huduma waboreshe Customer Care

    Nilijisajili na NSSF Mwaka 2017 wakati naanza chuo, wasajili walikosea tarehe yangu ya kuzaliwa, nimekuja kugundua na kuanza utaratibu wa kuomba kubadilishiwa ni baada ya kupata ajira Mwaka huu 2026 Februari. Nilivyoanza mchakato katika Ofisi za NSSF jengo la Benjamin Mkapa lilipo Posta ILALA...
  2. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ni kweli bei za mafuta zimepanda, lakini watoa huduma wa vyombo vya usafiri tuhurumiane kwenye nauli

    Tangu tarehe 1 Aprili 2026, baada ya EWURA kutangaza kupanda kwa bei ya mafuta nchini, hali imekuwa ngumu kwa wananchi wengi, hasa wafanyakazi wanaotegemea usafiri wa umma kila siku. Ni ukweli usiopingika kuwa bei ya mafuta imeongezeka. Hata hivyo, baadhi ya watoa huduma wa vyombo vya usafiri...
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya chenji Stendi ya Mabasi Shinyanga, Kivuko cha Kisorya – Ukerewe inavyowanufaisha Watoa Huduma

    Machi 23, 2022 Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na unaofadhiliwa na Serikali ya Uholanzi. Kilijengwa choo cha kisasa katika Stendi Kuu ya Mabasi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu za BRELA kuanzia mifumo mpaka watoa huduma

    Kwakweli nimepata experience mbaya na BRELA. Kujisajiri kwenye mfumo wao ni tabu. Nimewatafuta kwenye mitandao ya kijamii pia hawatoi msaada. Nimeamua kuwapigia. Ila wakisikia tatizo langu wanakata simu. Sasa si wafunge tu ofisi tujue hawana maana
  5. M2flan

    JamiiForums Tanzania Watoa huduma za Internet, wanaona kile tunaperuzi ?

    Hawa so called ISP ni kuna namna wakitaka kuchunguza wanaweza kuwa wana access ya kuona nini tunaperuzi wakati tunatumia huduma ya internet wanayotoa ? Au wataona tu website husika uliyotembelea bila kufaham contents zipi ulifatilia?
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DART: Marufuku watoa Huduma Binafsi kutoa taarifa za Usafiri wa Mwendokasi (BRT) ikiwemo mikataba

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza marufuku kwa Watoa Huduma Binafsi kujihusisha na utoaji wa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu utekelezaji wa michakato mbalimbali ya Mradi wa BRT ikiwemo suala la mikataba na mipango. Taarifa kwa Vyombo vya Habari, Agosti 4...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Serikali yasaini mikataba, Watoa huduma watatu kuendesha Mwendokasi

    Wizara ya TAMISEMI imesema kupitia ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP) imefanikisha hatua ya kihistoria ya kusaini mikataba na watoa huduma watatu wa uendeshaji wa awamu ya pili ya mabasi yaendayo haraka ambapo imesema mabasi hayo yatapunguza foleni za Dar es salaam na kuharakisha...
  8. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutafuta wateja, kwa freelancers, wafanyabiashara, agency owners, watoa huduma na biashara yoyote inayotegemea watu kuuza

    Jinsi ya kutafuta wateja, kwa freelancers, wafanyabiashara, agency owners, watoa huduma na biashara yoyote inayotegemea watu kuuza. Nitaeleze Jinsi ya 👉Kuwafikia / kukusanya watu wengi 👉Kubadirisha watu kuwa wateja 👉Kuwafanya wateja walete wenzao Tuanze na jinsi ya kuwafikia na kukusanya watu...
  9. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata list ya watoa huduma Fiber Dar es Salaam

    Habari waungwana Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia. Naomba kuwasilisha.
  10. Enthusiastic

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kuwachonganisha watoa huduma za afya na wananchi

    Kwa sababu watanzania wengi ni wajinga, wamezoea kudanganywa, wanadanganyika, wanapenda kudanganywa na hawapendi kuambiwa ukweli. Kumekuwa na changamoto ya sera ya afya inayotaka huduma za uzazi na za watoto chini ya miaka mitano kushindwa kutekelezwa ipasavyo. Mimi nataka kuchangia kama...
  11. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kenya yavunja Mikataba na Adani (Ruto aagiza taasisi husika kutafuta watoa huduma wengine kwa mchakato wa Upanuzi wa JKIA)

    Rais wa Kenya William Ruto, ameagiza kusitishwa kwa kandarasi ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa JKIA na ya nishati iliyopewa kampuni ya Adani kutoka India. “Nilishawahi kusema huko nyuma, na narudia tena leo kwamba kutokana na ushahidi usio na shaka au taarifa za kuaminika kuhusu rushwa...
  12. De Opera

    JamiiForums Tanzania KOLABO: Wananchi na watoa huduma - lawama kwa serikali

    Habari za muda huu wanaJF? Natumaini mnaendelea vizuri. Huwa kuna malalamiko, wananchi kuilaumu serikali miundo mbinu na huduma ni mbovu. Hata mimi ni mmoja wapo kwa baadhi ya mambo lakini jinsi yalivyo off key. Ila mimi ni kwa wahudumu. Kiufupi ni kuwa, baadhi ya watoa huduma hawana ueledi...
  13. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nawasiliana vipi na mtoa huduma wa mtandao wa Vodacom?

    Nimepata tatizo nilikuwa naweka pesa kwenye account ya Mpesa visa kiasi cha Tsh 80000 ili nifanye malipo mtandaoni ila sasa salio silioni kwenye Mpesa Visa. Huku Mimi nimesharudishiwa sms kuwa salio nimeshaliweka Mpesa Visa.
Back
Top Bottom