watendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"

    Hii Nchi inahitaji katiba Mpya. CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️" Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo. Je hii ni haki? Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
  2. Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?

    Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan. Na taarifa ambazo Mtanzania Mimi GENTAMYCINE niliye na Marafiki huko Kisiwani Puerto Rico nilizonazo ni kwamba CHUKI hii kubwa na...
  3. Mbunge ahoji kwanini wenye diploma hawaajiriwi kuwa watendaji wa vijiji

    Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay amehoji kwa nini Serikali haiwaajiri wahitimu wenye Diploma kuwa Watendaji wa Vijiji. Akiuliza swali leo Mei 22,2025 bungeni Dodoma Mbunge huyo amehoji kwa nini Serikali haiwaajiri wahitimu wenye Diploma kuwa Watendaji wa Vijiji. Akijibu,Naibu...
  4. Je watendaji wetu wanapofanya kitu ni kwa sababu ya rais, serikali au taifa?

    Si nadra kusikia watendaji wa umma wakisema "rais amefanya, ametoa, anataka, hataki,' na mengine mengi. Je watendaji wetu wapo kwa ajili ya rais au taifa? Je wanafanya wafanyayo kwa sababu ya hisani, mapenzi, au utashi wa rais au matakwa ya sheria za nchi? Je rais wetu ni sheria na yuko juu ya...
  5. M

    Hawa watendaji wa mitaa na kata wana mamlaka haya?

    Msaada tutani. Kumfungia mtu ofisini kama selo kama anadaiana na mtu,au hajatekeleza jambo fulani na kumuacha humo bila huduma muhimu mf choo?
  6. Serikali Iweke Msisitizo wa Kuajiri Vijana Wenye Degree Kuwa Watendaji wa Vijiji na Mitaa.

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu, hasa wale waliomaliza degree katika vyuo vikuu. Wakati huo huo, nafasi za watendaji wa vijiji na mitaa mara nyingi hupewa wahitimu wa vyeti badala ya wahitimu wa shahada. Hii ni hali inayoshusha thamani...
  7. KERO Responded Mwitikio wa wanaojiandikisha NIDA Wilaya ya Uyui ni mkubwa lakini Watendaji na Vifaa havitoshi

    Zoezi la uandikishaji Wananchi kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) limefanyika katika Kata ya Goweko huku kukiwa na mwitikio mkubwa unaoonekana kuzidi idadi ya Watendaji na vifaa vinavyotumika. Idadi ya Wananchi waliojitokeza ni takribani 500 ambapo kuna Watu wengi wanaotakiwa kulipia...
  8. Mkuu wa mkoa Tabora awawashia moto watendaji, kisa vibarua wa ujenzi kutokulipwa, aagiza mkandarasi kukamatwa

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ametoa siku moja kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Manispaa ya Tabora Dkt. Shani Mdamu ahakikishe kukamatwa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa majengo Kituo cha Afya cha Itetemia kilichopo Manispaa ya Tabora kutokana na tuhuma za kutowalipa...
  9. PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi: viongozi wa vyama vya siasa msiingilie majukumu ya watendaji wakati wa uandikishaji wa wapiga kura

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji wa vituo wakati wa uandikishaji wa wapiga kura. Angalizo hilo limetolewa mjini Kibaha na Kaimu Mkurugenzi wa tume hiyo, Mtibora Seleman, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa...
  10. WATENDAJI ARDHI WATAKIWA KUTOCHELEWESHA HUDUMA KWA MAKUSUDI

    Serikali imewataka watendaji wa sekta ya Ardhi nchini kutochelewesha huduma za sekta ya Ardhi kwa makusudi wakati wanapowahudumia wananchi wanaokwenda kupata huduma katika ofisi zao. Hayo yameelezwa Januari 31, 2025 mkoani Iringa na Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani wa Wizara ya Ardhi Nyumba na...
  11. A

    WATENDAJI MANISPAA YA MOROGORO HAKIKA HAMUELEWEKI

    Kusema kweli Mkurugenzi, Meya na Madiwani mliopo Manispaa ya Morogoro Hamueleweki, Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia vichwa gani? Hivi kweli Daladala Zote zinazotoka Pembezoni ya Mji kuja kati ya mji zinakosa sehemu Rasmi ya Kupakia Abiria? Mwanzoni walikuwa wakitumia Stand ya Zamani Mkawaondoa...
  12. PreGE2025 Watendaji uboreshaji watakiwa kuhamasisha wanachi kujiandikisha

    Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume, Dkt. Zakia Mohamed Abubakar. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya...
  13. PreGE2025 Iringa: Watendaji ngazi ya halmashauri wapewa mafunzo, uboreshaji wa daftari la kudumu

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendesha mafunzo ya siku mbili kwa watendaji kwa ngazi ya halmashauri na majimbo katika halmashauri ya Iringa huku watendaji hao wakisistizwa kwenda kuifanyia kazi elimu watakayoyapata kwenye ngazi za chini. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Afisa...
  14. A

    Ama watendaji dawasa wanamdharau waziri weso au waziri Aweso anafanya usanii kwa wananchi!

    AMA WATENDAJI DAWASA WANAMDHARAU WAZIRI AWESO AU WAZIRI AWESO ANAFANYA USANII KWA WANANCHI! WADAU poleni na majukumu ya mchana kutwa. Nataka kuzungumzia tatizo la maji maeneo ya Tabata, Kinyerezi, Bonyokwa na Kifuru. Hivi karibuni, Waziri wa Maji, Juma Aweso alitembelea baadhi ya maeneo ya...
  15. K

    Kwa yaliyotokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 'CCM inahitaji mabadiliko ya watendaji kuelekea 2025

    Uchaguzi wa serikali za mitaa umepita yaliyotokea tumeyaona na yametoa muelekeo mpya kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Kwa viongozi walionao kuanzia katibu mkuu,naibu katibu mkuu na katibu mwenezi CCM imeonyesha udhaifu mkubwa kwenye siasa za ushindani. Ili kurudi kuwa chama cha siasa bila kuhusishwa...
  16. R

    Mzee Joseph Warioba: Nimekusikiliza kwa makini, kuna mahali unapakwepa kupagusa. Rais akisema hili silitaki, watendaji wake wote watamsikiliza

    1. Umesema polisi wamekuwa wana siasa na kuegemea upande wa CCM. Wanajiingiza katika siasa. .2. Umewalaumu DED kuvuruga uchaguzi 3. Umekemea kutokuwepo na tume huru ya uchaguzi 4. Na mengin mengi mazuri kabisa ILA: 1. Mhusika wa haya yote ni rais. Katiba yetu inatupa rais mfalme, kauli yake...
  17. Rais wangu tupe utaratibu wa kuwasiliana na wewe Moja kwa Moja kabla mambo hayajaharibika zaidi nahisi watendaji wako Wanakupotosha hawakwambii ukweli

    Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
  18. Watendaji wa Halmashauri za Miji ndiyo huisaidia CCM kuchakachua chaguzi

    Kwa mtazamo wangu wavurugaji na wachakachuzi wakubwa wa chaguzi zetu hapa Tanzania, ni watendaji wa Vijiji, mitaa na Kata. Watendaji ndiyo mikono inayoyumiwa na CCM kuharibu chaguzi. Wakurugenzi wa Halmashauri za Miji wenyewe ni wapangaji na wanufaika wa uchakachuzi huo wa chaguzi zetu kwa...
  19. Tunapata hasara sana kuwa na Viongozi na Watendaji wasiowajibika ipasavyo

    Nakumbuka mwaka jana au juzi Star link walitaka kuja kuwekeza Tanzania. Nape na watendaji wake wa TCRA, Star link walipigwa danadana hadi hawajawekeza bongo. Sababu zilizotolewa na Nape na wataalam wake uchwara na za hovyo eti za kutaka data center yao kuwepo nchini. Ukiwasikiliza Nape na...
  20. Isack Mwigulu awa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya watendaji wa UVCCM Singida

    Nyota ya Isack Mwigulu inazidi kung’aa, safari awa mgeni rasmi kwenye semina ya utendaji wa UVCCM kwa mkoa wa Singida.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…