watendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwigulu: Serikali haitavumilia watendaji wasio wajibika wanaofanya kazi kwa mazoea au ujanjaujanja

  2. A

    KERO Halmashauri ya Masasi – Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi tangu Awamu ya 5

    Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5 kutokana na suala la vigezo vya elimu. Tumefanya jitihada kuwasiliana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya WhatsApp lakini hajajibu badala yake amedai...
  3. Jaji Mkuu: Mahakama haiwezi kuwa huru kama Watendaji wake hawana uhakika wa mishahara na mazingira bora ya kazi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  4. A

    DOKEZO DC wa Songea tatua mgogoro wa mpaka Kijiji cha Lugagala na Muungano Zomba, Watendaji wako wa ardhi inadaiwa wamewekwa mfukoni

    Sisi Wakazi wa Lugagala tunanyanyasika sana ikiwemo kufanyiwa fujo katika mashamba na makazi yetu ya asili. Mpaka wa Vijiji hivii umekuwa kero kwa Watendaji wa Halmashauri Wilaya ya Songea. Licha ya kukumbushia mgogoro huu wa barua mbalimbali katika ngazi ya Halmashauri kwa Mkurugenzi wa...
  5. TRA Karangabao za Mashine za Maoni na Ukimya wa Watendaji

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua mashine mpya za kisasa katika mikoa ya kikodi ya Ilala na Temeke kwa ajili ya kukusanya maoni ya wateja. Kulingana na Meneja wa TRA Mkoa wa Ilala, Bi Eva Raphael, amedai kuwa mashine hizi “zinajiendesha zenyewe,” na zinampa mlipakodi nafasi ya...
  6. PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC awajia juu wanaodai uwajibikaji wa watendaji wa serikali. Asema tusijidanganye kwamba 29 Oktoba kulikuwa tu na mauaji ya raia

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayoub Rioba Chacha ameandika: Nataka niingie kwenye rekodi. Ili hata siku mtakapokuja kuniua, ibaki kwenye kumbukumbu. Naona sasa ni kama vile 'narrative' inabadilishwa kwa sababu ya propaganda! Ni hivi...
  7. K

    Wazalendo wa jeshi ni watendaji kama Captain kuliko majenerali

    Wazalendo wa jeshi ni watendaji kama Captain kuliko majenerali mafisadi. Rushwa ndiyo imewafanya hawa askari watendaji kuchukuwa nchi. Mfumo bora kwa nchi ni demokrasia tatizo hiyo demokrasia hatuna na vijana wanachoshwa na rushwa na familia tatu nchini kuendesha nchi kama yao pekee
  8. T

    Watendaji wa Mwauwasa: Jiuzuluni!

    Kwa takribani wiki nzima wakazi wa Nyegezi, Mwanza wamelazimika kuchota maji mitaroni baada ya huduma ya maji kukosekana kabisa bila taarifa yoyote kutolewa. Cha kushangaza, ni baada ya malalamiko ya wananchi kuibuka ndipo Mwauwasa walitoa tangazo kupitia akaunti yao ya mitandao ya kijamii...
  9. Kwanini skendo za ufisadi tunawatupia wanasiasa pekee ila WATUMISHI na watendaji wa serikali tumewakalia kimya

    Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye...
  10. Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) watembelea Taasisi ya Mwenza ya Madagascar

    Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) wakiongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda, Bi. Nabila Hemed wametembelea Bohari Kuu ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) na kuzungumza na uongozi wa bohari hiyo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Claude Eric Ramanantoanina kuhusu njia bora za kuimarisha...
  11. GE2025 Jaji Asina: Watendaji wa uchaguzi muithamini dhamana mliyopewa

    Watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Kata wametakiwa kuitambua na kuithamini dhamana waliyopewa ya kusimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwenye ngazi hiyo. Wito huo umetolewa na Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari leo Agosti 06, 2025 alipotembelea na...
  12. P

    Nalia na wanasiasa na watendaji serikalini: Kwa heri Ndugai

    Kila nikiangalia ni kwa kiasi gani hii nchi ikebarikiwa rasilimali ila wananchi wanaishi maisha duni na ya dhiki, moyo unauma. Ila najua shida zote tunazopitia wananchi ni zakutengenezwa na kikundi cha watu wachache wasiokuwa na huruma hata punje. Watu hawa WANATUFANYIA ROHO MBAYA UTADHANI...
  13. R

    Watendaji waaswa kutatua kero za Wananchi

    Katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma stahiki, Serikali imewataka watumishi wa umma kuhakikisha wanasimamia ipasavyo mapato ya ndani na kushughulikia changamoto za wananchi katika maeneo yao Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro,Kiseo Yusuph...
  14. R

    GE2025 Magdalena Rwebangira ametoa wito kwa Watendaji wa uchaguzi kuzingatia sheria, kanuni na miongozo

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Magdalena Rwebangira, ametoa wito kwa Watendaji wa Uchaguzi kuhakikisha wanafuata kwa umakini Katiba, sheria, kanuni na miongozo yote inayosimamia mchakato wa uchaguzi nchini Akizungumza akiwa Tabora wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Watendaji wa...
  15. Mtendaji wa kata ama kijiji anapaswa kuwa na degree ya utawala, au sheria ama associate degree kwa mambo ya uongozi. Siyo hawa watoto wenye vyeti

    Hivi kuna tatizo gani kwenye vichwa vya viongozi wetu? Yaani leo hii unaajiri mtendaji wa kijiji ama mtaa mwenye elimu ya kidato cha nne na cheti cha taaluma alichosomea mwaka mmoja ama miwili ? Halafu huyo mtu anakwenda kumsimamia mkuu wa shule mwenye shahada moja ama shahada ya uzamivu...
  16. A

    KERO Responded Kipengele kipya cha Anuani ya Makazi (NaPA) katika Fomu ya Mkopo wa HESLB hakieleweki kwa Watendaji wengi, HESLB itoe elimu

    Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025. Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau wanaohusika na utoaji wa hizo reference number ambao ni Watendaji wa Vijiji na Mitaa hawajui chochote...
  17. Vijana wanakwama baada ya masomo sababu Taasisi za Elimu ya Juu zinazalisha Wasimamizi badala ya Watendaji

    Licha ya juhudi zilizofanyika, Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana (2007) iliyofanyika mwaka 2022 imebaini kuwepo kwa vijana wenye ujuzi usioendana na mahitaji ya soko la ajira. Mathalani, vijana wengi wana sifa za viwango vya chini vya ujuzi ngumu na tepe. Takwimu za...
  18. PreGE2025 Luhaga Mpina: Misimamo yangu mikali ya kusimamia haki za wananchi na kufichua ubadhirifu imemletea upinzani na chuki

    Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa na mmoja wa wanasiasa wachache wanaojitambulisha kwa ushujaa wa kusema ukweli, amekuwa akijihusisha na harakati mbalimbali za kupigania haki, uwajibikaji, na uwazi ndani ya utumishi wa umma. Uthubutu huu wa kukemea maovu bila uoga umemuingiza kwenye...
  19. Heshimuni Haki ya kusikilizwa kabla ya kuadhibu Art. 13(6)(a) Katiba

    Kuna matukio mengi tangu mwaka 2015 through 2020 hadi sasa ya wateuliwa wa serikali wanaolipwa mishahara ya kodi zetu, wanapotoa maamuzi yanayoathiri hatima ya mtu au kikundi, wanasahau kuwa lazima wazingatie haki ya kusikilizwa ambayo ipo kwenye Ibara ya 13(6)(a) ya Katiba ya nchi yetu. Ibara...
  20. A

    KERO Shule kutofungwa wakati wa likizo ni udhaifu wa Kamishna wa Elimu na watendaji wake

    Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12. Hii ina maana wanafunzi wanasoma mwaka mzima bila kupumzika.Tabia hii ilianza kwa shule binafsi hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…