wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Tupostie Kitu/bidhaa/chombo/mali Unayouza upate wateja leo

    Tangaza hapa! Iwe ni samani, electronics, nyumba, gari au vinginevyo—weka picha, bei, na upate mteja leo. ✅ Hakikisha bidhaa ni zilizotumika tu! Usikose fursa ya kuuza haraka. Tuwekee picha na Bei na location ilipo ikibidi. Kama umemaliza Ujenzi na kuna vifaa vimebaki huna haja ya Kuvitumia...
  2. JamiiForums Tanzania Ewe,mjasiriamali jenga uhusiano mzuri na wateja wako.

    Salaam jamiiforum Biashara ndiyo mfumo wa maisha tangu enzi na enzi,watu wananunua na kuuziana bidhaa, Wengi nadhani tunajua habari za Trans Saharan trade,bater trade n.k. Leo tuangazie procedures za mfanyabiashara mdogo au mjasiriamali wanao miliki biashara chini ya milioni hamsini hadi...
  3. JamiiForums Tanzania Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

    .
  4. JamiiForums Tanzania Wenzetu wenye Exposure Ulaya ni kweli kuwa bank za majuu hazina public toilet kwa ajili ya wateja

    Town Kuna joto ndani ya muda mfupi unaweza jikuta umekata hata 2 litres kimbembe kinakuwa unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayana access ya restroom kama Bank. Je na wenzetu huko Ulaya bank zao hazina vyoo??
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko awawashia moto TANESCO, adai "Mmezoea matatizo, hatutakubali!"

    Wakuu Kash Kash karibu na uchaguzi == Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekemea vikali utendaji wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) "Mmeanza kulala, mmezoea kazi, mmezoea matatizo. Mwaka mzima matatizo, tunarudi nyuma. Siwezi kukubali hiyo biashara ya kufika mahali...
  6. JamiiForums Tanzania Apple yakubali kulipa faini ya Tsh. Bilioni 235.12 baada ya mfumo wa 'Siri' kubainika kusikiliza mazungumzo ya Wateja kwa siri

    Kampuni ya Apple imekubali kulipa faini ya takriban Tsh. Bilioni 235.12 kama faini baada ya uamuzi wa Mahakama kuonesha kampuni hiyo ilikuwa ikiingilia faragha za Watumiaji wa Vifaa vya Apple vinavyotumia Mfumo wa 'Siri' ikiwemo kusikiliza mazungumzo yao kwa siri. Hata hivyo, imeelezwa kuwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO BETIKA haitaki kuwalipa wateja wake

    Habari, Napenda kukuandikia ujumbe huu kuomba msaada wa kutupazia sauti. Kampuni ya Betika inayoendesha michezo ya betting imeshikilia pesa za wataja wao. Pesa hizo zinahusisha miamala ya kudeposit na kutoa pesa. Changamoto hii inaenda kumaliza mwezi sasa bila suluhu yoyote ile. Mwanzo...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya TRA Mafinga ina huduma mbovu, wahudumu wana dharau wateja

    Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako kuhudumia nje ya ofisi hivyo tuendelee kusubiri. Hii hali ni kero sana nimeuliza wateja wengine hapa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania NMB MLIMANI CITY WAMESITISHA HUDUMA LEO BILA TAARIFA/MAELEKEZO. WATEJA WANAPATA SHIDA HAPA.

    Nipo hapa mlimani city Iko shida kwa wateja wengi tuliopata usumbufu. Wafanyakazi waache kutoa huduma kwa mazoea.
  10. JamiiForums Tanzania Ubovu wa kitengo cha huduma kwa wateja MWALIMU COMMERCIAL BANK.

    Napenda kutoa malalamiko yangu kwa bank ya MCB.Hii bank kitengo chao cha huduma kwa wateja hakina msaada wowote kwa sababu baadhi ya namba hazipatikani na namba inayopatikana simu haipokelewi.Ni muda wa wiki moja sasa kila nikijaribu kuwapigia simu haipokelewi kwa zaidi ya saa moja.Hata...
  11. JamiiForums Tanzania Dstv mna huduma mbovu kwa wateja wenu, jirekebisheni.

    Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate package ya mteja ? Kuna offer flani mlipitisha kipindii cha miezi kadhaa nyuma mliita "Panda...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu mtupunzie sms za matangazo zinatukera wateja sana,sana,sana,

    Habari, Sms za matangazo,promition,nk zimezidi sana,sana na nikero kwa wateja kwa siku mteja anapokea zaidi ya sms 20 kwa namba zake tofauti ukicheki unakuta ni matangazo ya bima,kamari,muziki,mataperi,polisi,nhif,bahati nasibu,nk. Hivi tumenunua simu kwa ubia na mitandao ya simu? Yaani sms...
  13. K

    JamiiForums Tanzania TCRA pigeni faini Mpesa na Airtel kwa kushindwa kutoa huduma kwa wateja tangua juzi. Wananchi wanashindwa kuburudika na sikukuu

    Wadau mitandao ya Airtel na Voda ina sumbua wateja sababu haiwezi kupokea pesa kutika Bank nk au kutuma pesa Matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fungueni Hawa jamaa kwa siku tatu Hadi waingeze ubora na umakini. Vitendo wanavyofanya wanmzarau Rais Samia?.Mbona...
  14. T

    JamiiForums Tanzania TIGOPESA/Mixx by Yas huu ni wizi? Au kutojali wateja wenu?

    Mitandao ya simu pamoja na kurahisisha mawasiliano imekuwa njia rahisi sana ya kutumia na kupokea pesa, na kukiwa na jambo la dharula basi muamala ya simu inatoa suluhu ya haraka sana. Kwangu imekuwa tofauti, ilikuwa tarehe 22/12/2024, saa 2:38 asubuhi, nilienda kwa wakala kutoa pesa...
  15. JamiiForums Tanzania Namna ya kujaza akaunti ya malipo ya wateja Fiverr

    Heri ya Christmas na Mwaka Mpya. Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania. Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania badilikeni huduma kwa wateja ni mbovu sana

    Moja kwa Moja kwenye mada husikq Leo nilikuwa mahitaji kuongea na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 yaliyonikuta ni kupata huduma mbovu pasipo kuongea na watu wa huduma kwa wateja( customer Care Kwanza ukipiga unapata kibwagizo kwa wale wanao hitaji Puk, alafu wanakija na option 2 za...
  17. JamiiForums Tanzania Tigo na Vodacom achaneni na tabia hizi or otherwise mtoe posho kwa wateja wenu

    Unawapa taarifa ya mtandao kusuasua wanalazimisha kukuelekeza settings za simu usipokuwa makini wanajidai wameshasolve tatizo na wanakukatia simu Kwa yule ambaye yupo makini anawabananisha wanakosa hoja basi wanaanza kuuliza maswali kibao yasiyo na kichwa. Eti mteja anaulizwa kama tatizo hilo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nimepata huduma mbovu kutoka kwa Mfanyakazi wa NHIF - Dar, imebidi Kiongozi wake wa juu aingilie na kuniomba radhi

    Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika. Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma? Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma...
  19. JamiiForums Tanzania Azam Ferry huu uhuni uliiofanyika sio mzuri kabisa, kataeni wateja kabla ya kukata tiketi

    Leo nimewapeleka wateja wanne toka Mozambique kwenda Zanzibar Jana wakati nakata tiketi zao wakasema wanahitaji abcd, Tukapeleka zote Leo wamepanda boti kwenda Zanzibar wanafika wanazuiwa hawana insurance Huu ni uhuni sijawahi kuuona, kwanini mkate tiketi walipe hela zao Mpaka baadae...
  20. D

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wateja tunaotumia Mita za Maji za Prepaid - Bukoba tunateseka, ikiwezakana waturudishie Mita za zamani

    Sisi wateja tuliofungiwa Meter za Maji za Prepaid tumekuwa hatupati tokeni za maji pindi tunaponunua maji kwa njia ya Mtandao hapa Mkoa wa Kagera. Mfano toja wiki iliyopita nilinunua maji mpaka sasa leo wiki ya pili siku ya Jumatano sijapata tokeni na BUWASA wapo kimya. Hali hii imetuathiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…