Nina hoja kuhusu Kambele Investment, Mianzini - Arusha, mnunuzi anadai kuwa kiwanja alichonunua kimeuzwa pia kwa mtu mwingine, pamoja na kufuatilia suala hilo kwa muda, bado anadai hajapata suluhisho wala stahiki zake.
Tunaomba Wizara ya Ardhi na mamlaka husika kulifanyia uchunguzi suala hili...