Wengine wanaweza wakaishia kusema kuwa ukimchungumza sana bata hutamla, lakini acha tu ukweli usemwe! Watanzania wengi bado ni wachafu!
Siwakejeli! Nitaanzaje kufanya hivyo na huku na mimi ni Mtanzania? Nitawezaje na huku hao ni ndugu zangu, mama zangu, dada zangu, kaka zangu na watu wa...