watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wasira: Wengine ni vibaraka wakubwa, waache uhuni na nchi yetu, sisi tunaongoza dola kwa idhini ya watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuna watu nje ya Tanzania wenye vibaraka ndani ya Tanzania ambao wamekuwa wakieleza kuwa CCM imekaa sana madarakani, ambapo amedai kuwa kauli zao hizo ni propaganda huku akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wapo Watanzania wapambanaji lakini hawajafanikiwa kwasababu ya kurogwa na ndugu au majirani zao

    Sijafanya utafiti wa kutosha kuhusu mikoa mingine, lakini karibu nimetembea mikoa yote ya Tanganyika. Hali zinafanana—utofauti ni mdogo sana. Turudi mkoani kwangu, Lindi. Kule, ndugu wa damu kabisa ndiye mchawi wako namba moja. Ni kama Yesu alivyosema: "Adui wa mtu ni wa nyumbani mwake"...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China wamuunga mkono Rais Samia kugombea tena 2025

    Katibu Mkuu wa Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China, Alawi Abdallah, ameeleza azimio la jumuiya hiyo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu. Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025 Alawi ameeleza kutoa tamko...
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya masaa 7 mfululizo ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?

    LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa...
  5. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA chini ya Lisu; Watanzania wana matumaini makubwa sana na nyie, mlete ajenda nzito nzito

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Watanzania wengi matumaini yao yapo kwa chadema chini ya mh Tundu Lisu, nasikia mmejifungia chumbani mlete ajenda nzito nzito kweli kweli zidi ya wapinzani wenu. Rushwa Ufisadi Ajira kwa vijana hii iwe ajenda kubwa sana Kutowajibika kwa viongozi...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni sauti ya Rais wa Mioyo ya Watanzania?

    Kuna ugumu mkubwa kumzuia Tundu Lissu kusambaa kwenye mioyo ya Watanzania
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Mitandaoni wa watanzania

    Kijana tajiri wa Mtandaoni na bilionea asiye na shughuli wala biashara wala kazi anayofanya anawasalimia vijana wa Kitanzania.
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watanzania imefika kipindi sasa tusizuzuke sana na lugha za Kingereza na Kiswahili kwa wasio Watanzania

    Hii tabia ya kuzuzuka na kusheherekea pale Mtanzania hasa mwanasiasa akijua kuongea Kingereza hata kwa kunyoosha sentesi mbili tu imepitwa na wakati na ni ushamba. Pia wanasiasa wasiojua Kingereza ni vyema wakatumia Kiswahili tu, hakuna aibu kutumia lugha yako unayoimudu vizuri, hakuna haja ya...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: Wananchi wana njaa, hawawezi kula Katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa waliokimbilia uhamishoni, msamaha kwa waliokuwa gerezani, pamoja na kuruhusu maandamano na mikutano...
  10. Last_Born

    JamiiForums Tanzania Kwani sisi Watanzania tunafeli wapi au ni kukurupuka?

    Nimekua mfuatiliaji mkubwa sana wa masuala ya teknolojia hasa huu upande wa website na apps, pia nimejaribu kufanya utafiti mdogo wa Apps zilizopo Google play store Kutoka Tanzania aisee ni aibu tupu download rates ni ndogo mno nashindwa kuelewa tatizo nini apps hazieleweki au hazitoi suluhisho...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Lini Watanzania tutaamka na kusema IMETOSHA?

    Ukiniuliza kama Tanzania ina kiongozi, nitajibu kuwa ina rais lakini si kiongozi. Ukiuliza kama Tanzania ina sera, nitakujibu kuwa ipo sera ya uchawa. Ukiuliza, kiuchumi Tanzania inaongozwa na nini, nitakujibu kuwa sera yake ni ya shamba la bibi ambapo wezi huja na kugema watakavyo. Ukiuliza...
  12. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania tunataka kura zetu zihesabiwe wazi wazi

    Njia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi. Tabia ya kufukuza Wapiga Kura kwenye Vituo vya Kupiga Kura ikomeshwe ili Mshindi halali ajulikane. Hili...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tumeruhusu Wakenya wasiojua Kiswahili waharibu Kiswahili chetu?

    Kuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo. Utasikia mtu akisema punguza makasiriko. Kiswahili sahihi hakuna makasiriko bali hasira au ghadhabu. Mwingine utasikia akiseme fulani ni mkora akimaanisha mwizi. Wanasema eti kunyampa, kunyanduana na maneno mengine ya ajabu ajabu...
  14. milele amina

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa urejeshwaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani

    Katika kipindi hiki, cha utawala wa Trump, kumekuwa na habari za kuhamasisha na kuangazia urejeleaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani. Ref: Marekani yatoa orodha yenye watanzania 301 wanaorejeshwa Tanzania Hata hivyo, kuna maswali mengi ambayo yanahitaji kujibiwa ili kuondoa wasiwasi miongoni...
  15. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana akili ndogo sana kifo cha Gadner Habashi kilisababishwa na uzembe wa Watanzania .

    Juzi kuna msanii amechoma Gari . Lakini huyu msanii anaonekana siku za kuishi zimeisha na anaumwa magonjwa ya kimwili na akili Saikolojia . Niltegemea familia yake imtafute na kumpeleka katika matibabu . Ukimwangalia katika upande wa kushoto amevimba mashavu Anaonekana Ana magonjwa makubwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa uliteka watu wengi vile?

    Uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA Taifa uliteka watu wengi mithili ya uchaguzi Mkuu wa Nchi. Uliteka kuanzia vijana, wazee, akina baba, akina mama, Watanzania wote pamoja na watu wa mataifa mbalimbali. Usiku ule watu wengi hawakulala wakisubiri matokeo yatangazwe. Hata mimi nilikesha nikifuatilia...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

    Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma. Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
  18. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Mwaka wetu wa mwisho machawa kuwekwa kwenye mgao, tusiache hela kizembe. Tutawaomba msamaha tu waTanzania

    Kila hela itayopatikana tufanyie mambo ya msingi. Tuache matumizi ya hovyo.Mi nilishachukua shamba kwetu Iringa na mwaka juzi muheshimiwa alinisaidia kupata diploma ya pharmacy. Ni ushauri wa bure tu Uzi tayari
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio Marekani kwanini wasirudishwe nyumbani wakiwa na pingu mikononi kama wenzao wa Brazil na Mexico

    Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

    ..Fuatilia habari hapa. https://www.youtube.com/watch?v=Fs7jEBnCRJU https://www.youtube.com/watch?v=Pr3V84gfU6s
Back
Top Bottom