watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kazi Ridhiwani Kikwete - Ajira kwa Vijana Watanzania na Ukiritimba wa Wachina

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Mh. Ridhiwani Kikwete, Najiuliza, je, tunafahamu hali halisi ya ajira kwa vijana wa Kitanzania, hasa wanapokuwa wanatumikishwa na wawekezaji kutoka nchi za nje, kama vile wachina? Hali hii imefikia hatua ya kutisha ambapo vijana wa Kitanzania wananyanyaswa na kuzidi...
  2. JamiiForums Tanzania Nimemshangaa sana aliyesema hapa JF kuwa Waziri Ulega hajui Kiingereza na katutia Aibu Watanzania kwani amejitahidi na kueleweka vyema tu

    Simkubali kutokana na Uchawa wake na Kofia aliyoivaa ikiwa na Herufi Kero fulani fulani Kwangu ila nimemsikiliza Kiingereza alichokiongea na niseme tu amejitahidi na kaeleweka. Halafu huwa nawashangaa sana Watanzania tunaacha Kujivunia lugha yetu adhimu na pendwa Afrika na Duniani kwa sasa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?

    Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawafanyi shughuli za uzalishaji, wanaishi kijanja tu

    Shughuli ya uzalishaji ni shughuli ambayo inazalisha bidhaa au huduma Nchi nyingi kama China, Russia, South Korea, Angola, Nigeria n.k zimeendelea Kwa kuwa asilimia kubwa ya wananchi wanashiriki katika uzalishaji kama viwandani, kilimo, ufugaji, madini, huduma n.k Hapa kwetu vijana wengi wapo...
  6. JamiiForums Tanzania Nimegundua Watanzania tuna elimu haba sana juu ya ulimwengu na sheria zake (universe and it's laws): Mwenye swali lolote karibu tuchangamshe bongo

    Ulimwengu (universe) una maajabu yake ila kwa Watanzania sidhani katika watu 100 unaweza kupata hata wawili wenye kujiuliza maswali na kuyatafakari kwa kina Enyi ndugu zangu ambao mmetenga baadhi ya seli zenu za ubongo kufahamu mambo nje ya Simba na Yanga karibuni sana tujifunze Uliza swali...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

    Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Tutazunguka nchi nzima kuwaambia Watanzania wasishiriki chaguzi za kutoana Kafara

    Lissu amesema "Tutatembea nchi nzima kuwaambia Watanzania hamuwezi mkawa mnaenda kupiga Kura kwenye chaguzi za kutoana Kafara, tuungeni mkono kubadilisha taratibu za Uchaguzi" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kukamilika kwa bwawa la Mwl Nyerere kwapeleka kilio kwa mafisadi, Kwenye ukame huu wangewapiga watanzania mabilioni ya pesa

    Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?. Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi? Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi za watanzania ni makampuni ya biashara

    MHADHARA (92)✍️ Ndoa nyingi za watanzania zimegeuka kuwa makampuni ya biashara. Siku hizi wasomi ni wengi lakini hawana ajira wala mitaji ya kuanzisha biashara, hivyo wamegeukia kutafuta mitaji kupitia ndoa. Hata ambao hawakubahatika kupata elimu pia wameshafahamu kuwa ndoa ni njia nyingine ya...
  11. JamiiForums Tanzania Je DPP wa Tanzania Anawajibika Kwa Watanzania au wachache waliopo Madarakani?

    Ni kitu cha kwaida kuona kuwa mfumo wa kisheria wa nchi yoyote, mchakato wa haki na uwajibikaji ni msingi muhimu wa utawala bora. Hapo ndipo tunapozungumzia, nguvu na mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ambayo ni sehemu ya muhimu katika kuhakikisha kuwa haki inapatikana bila upendeleo...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace ina shida gani? Kwanini mnasema kaaibisha taifa?

    Wakuu, Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania. Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe. Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii. Au...
  13. JamiiForums Tanzania Amkemi Watanzania: Kina Tundu Lissu na Makelele ya Katiba Mpya Hayawezi Kutuokoa – China Imetoa Mwongozo wa Namna ya Kufikia "Nchi ya Ahadi"

    Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana Tanzania wanaweza kubeti, kushabikia Simba na Yanga na Uchawa kwisha habari!

    Wakuu asalaam aleykum! Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya akina Mwlm. Julius Kambalage Nyerere, Warioba, nk. Lakini pia nchi zilizoendelea, gunduzi nyingi...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania wana ya moyoni kasoro kupindua nchi

    Wapo bora wapindue mdomo by kabudi https://www.instagram.com/tbc_online/reel/DEX4vBeOkZy/
  16. JamiiForums Tanzania Aliyechukua akili za Watanzania Arudishe

    Sio jambo la kusema polepole kuwa Tanzania ni nchi ambayo inajitafuta. Uzi huu haulengi kuainisha sababu lakini " nchi hii ni nchi maskini ya wakulima na wafanya kazi haijawa ya matajiri " Sasa katika pita pita zangu nashangaa kuona Watanzania huku mitandaoni wanafurahia baadhi ya nchi matajiri...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba ili ndoto yako itimie ni lazima uwaombe radhi watanzania

    January Makamba mbunge wa jimbo la Bumbuli na waziri msitaafu uliyetimuliwa kazi na Marais wawili tofauti, kwenye awamu mbili tofauti sasa umeyatimba baada ya kujulikana hadharani kwamba ulipigwa makofi na Rais Samia!. Iko wazi kuwa mtu hapigwi makofi kama hajakosea chochote, kwa hiyo ni wazi...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wetu elimu haijatusaidia, hadi suala hili linapoibuka kuleta ufahamu kwa wasomi

    Wasomi wengi nchi hii elimu haijawasaidia, wapo baadhi na mimi binafsi wanyooshea mikono. Makundi mawili elimu imewasaidia, 1. Walioamua kukaa pembeni na kufanya siasa. Ni katika kundi hilihili wanaharakati mbalimbali hawa Allah ataweka mbali na moto inshaalah. Hapa hawamo watu kama au jamii...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania msikubali kubabaishwa au kurubuniwa fikra, uhuru, pesa na haki zenu za kikatiba za kupiga kura, uchaguzi mkuu Mwaka huu2025

    Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote. Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025. Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania. Asitokee kibaka au tapeli wa kisiasa, eti kwa maslahi yake binafsi na familia yake, akawadanganya kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Ukitaka ujue ujinga wa watanzania angalia Azam sasa hivi ishu ni Simba na Azam

    Watanzania mambo ya msingi hawayapi kipaumbele ila mambo ya ujinga ndio wanayapa chapuo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…