Hoja.
Wengi wanaogopa kusema kwa sababu hizi timu mbili Zina nguvu kubwa. Yaani kama ni Mungu basi ungekuwa Ibada lakini ukweli ni kwamba ulucifer ni hali ya juu sana.
Mimi kama Mimi sipendi serikali kuingalia soka. Hapa namaanisha hata fairness itakiwepo, nikisema serikali ni watu, viongozi...