watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Majibu yetu Watanzania kwa Wabunge wa Mchongo na Kujikombakomba: Kila Mtu ashinde Mechi zake

    Tunatekwa mpo kimya, Tunapotezwa mpo kimya, Wanatukamata kutulawiti na kutubaka Mpo kimya, Wenye mawazo mbadala wanafunguliwa kesi za kupika ili kuwakomoa mpo kimya. Unafanyika Ufisadi wa Kutisha pesa za Watanzania masikini zinaibwa na kuwanufaisha kikundi cha watu wachache huku Watanzania...
  2. Q

    PreGE2025 Mbunge wa CCM unawaita Wananchi KENGE? Anaishauri DOLA iendeleze Utekaji na Uuaji dhidi ya Kenge (Watanzania)?

    This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi. Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu. "Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani...
  3. W

    Wanaharakati wa Kenya wanaishambulia Serikali yetu, Nasikitika kuona watanzania wengi wapo kimya, huu sio uzalendo, tuipende nchi yetu.

    Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka. Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
  4. H

    Tunaomba Dunia iongeze nguvu kuwasaidia Watanzania kupambana dhidi ya dhuluma ya Haki za msingi za binadamu

    Suala ya udhulumaji haki kwa wananchi wa Tanzania linalofanywa na watawala, lina uhalali na haki ya kupata msaada mkubwa kutoka jumuia ya kimataifa. Ni mwendawazimu pekee ndiye anaweza kutamka kuwa eti udhulumaji wa haki, ikiwa ni pamoja na utekaji na mauaji ya wakosoaji, ni suala la ndani ya...
  5. Kosa la Watanzania ni lipi hadi wanafungia Tweeter?

    Napatwa na hasira sana nikiona tweets za Samia na viongozi wengine wa serikali, this is not fair. Wakenya ndio waliojinasibu kudukua account, sasa una block acces to twitter kwanini? Kingine sio kila anaetumia twitter yuko ki siasa, there is more than politics on twitter. TCRA, wizara ya...
  6. Watanzania wengi ni wapenda haki

    Ukiangalia comments za watu wengi waliotoa maoni kwenye hotuba ya Dr. Josephath Gwajima aliyoitoa Jana, utagundua kuwa asilimia kubwa sana wanamuunga mkono na kumpongeza kwa sababu ya aliyoyasema! Inajulikana kuwa Askofu Gwajima ni CCM, lakini kwa sababu hoja zake zimeweka mbele maslahi ya...
  7. Watanzania wenzangu tuachane na mambo ya Gwajima ni msanii katumwa na CCM kuzima moto

    Ndugu zangu taifa la Mungu!!! Nimemsikiliza huyu ndugu jana sikumwelewa. Kwanza ujasiri wakutengeneza kundi ndani ya serikali ambalo dola halina nguvu ya kuomba msaada kwa wananchi wakati dola imekula kiapo cha kuwatumikia raia. Wenzangu tuu mashahidi hata Muliro huyo anaechukua mack na...
  8. Wabongo ni wavumilivu sana au wanaridhika kwa hali duni na vitu vidogo tu?

  9. Mbunge wa Nyatike, Kenya: “Freedom of Speech” iko Kenya pekee, ukivuka mipaka mambo yako tofauti

    "Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
  10. X

    Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

    Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku." Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme? Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na...
  11. M

    Nashauri Watanzania wote tushikamane katika hili

    Jamani freedom is coming tomorrow, nawaombeni WATANZANIA wenzangu vijana tushirikiane kuliokoa hili Taifa kutoka mikononi mwa watu wachache wenye Nia ovu juu ya Taifa letu. Sambamba na hilo tuone jinsi gani tunaweza kuilinda amani yetu kwasabab ni kazi ngumu sana kuitafuta tena. Hata hivyo, ni...
  12. Kinachoitwa "AMANI" ni janja ya Wahuni wa CCM na DOLA kuendelea kuwafanya Watanzania kua Masikini, Waoga huku wao Wakijitajirisha na kuifilisi Nchi

    Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !. Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni . hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani". Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa...
  13. Kabla Hatujachelewa: Neno Langu kwa Serikali, Upinzani na Watanzania wote

    Tanzania imejengwa juu ya misingi thabiti ya amani, umoja, na mshikamano. Hii ndiyo sababu leo tunasafiri, tunasoma, tunafanya biashara, na tunaishi bila hofu ya vita wala machafuko – tofauti na mataifa mengine yanayoishi kwenye taharuki ya kila siku. Lakini katika kipindi hiki cha mvutano wa...
  14. Watanzania Mnao ishi nje ya nchi mna Vichwa vigumu zaidi ya Kamongo,ni kwamba hamuelewi au mmegoma kuelewa?

    Mara zote huwa nikiwakandia Hawa jamaa zetu wanaoishi nje ya nchi naonekana (ga) kama si Muungwana lakini ukweli ni kwamba,Hawa jamaa Wana Vichwa vigumu zaidi ya Kamongo ! Ninao jamaa kadhaa ambao wanaishi na kufanya kazi (Canada,Marekani, Australia & Scandinavian countries) Najua pia hao...
  15. WATANZANIA KUMTUKANA RAISI NA KUJENGA CHUKI NAE HAIWASAIDII

    PAMBANANE NA HALI YENU KWA 100% HATA HALI IWE MBAYA SANA KUFIKIA KIASI CHA KUFA NJAA, MTAKUWA NYIE NDIO WA KULAUMIWA. KWANZA NI WAOGA WA KUDAI HAKI ZAO WAZIWAZI. NA WALE WANAOJITOKEZA KUDAI HAKI ZAO WANATUMIA NJIA ZA KIJINGA SANA. HUWEZI UKAMTISHIA MTU MWENYE BASTOLA WAKATI WEWE MWENYEWE...
  16. Waziri wa mifugo Dkt. Ashatu anasema Watanzania mnakula Mayai 119 kwa mwaka unakubaliana naye?

    Waziri ashatu anasema watanzania mnakula mayai 119 kila mwaka unakubaliana naye au muongo huyu ? au kuna mtu anawasaidieni kula mayaiyenu hayo kati ya 119 kwa mwaka mpaka takwimu ziwe hivi ? Alikuja akawauliza mitaani au yeye mtaani haonekani wala kwenye mifugo haonekani alafu anaongea tu na...
  17. Yanayojiri kwenye maandamano ya watanzania waishio marekani IMF- Pennsylvania

    Leo tarehe 23 may, kutakuwa na maandamano makubwa sana, ya watanzania,waafrika na watu wengine, katika ofisi za makao makuu ya IMF, hapa Pennsylvania. Lengo ni kukemea udhalimu, udikteta, utekaji,ubakaji,ufilaji,na kufinywa Kwa demokrasia Tanzania. Next ni office za US Senete Stay tuned
  18. W

    PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

    Akizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la 2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka...
  19. Ya Ramaphosa kwa Trump , CCM na DOLA tambueni , Majaribio yenu ya kuwafumba midomo Watanzania na Wanadunia , Dunia inaona, na inatunza Ushahidi

    Unakuta Mafwele kaamua tu kwenja Uwanja wa Ndege, kumkamata Naibu Katibu Mkuu CHADEMA , Et kisa asiende Ubelgiji, akienda atahutubia ,ataichafua Nchi. Genge Hilo Hilo linawakamata Waangalizi wa kimataifa Kesi ya LISSU wanaokuja kusikiliza na kufatilia mwenendo wa Kesi , Kwa kisingizio Cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…