watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kariakoo ni fulsa ya kubadilisha maisha ya maelfu ya watanzania

    🌍 Kuibua Upya Kariakoo: Kutoka Soko la Jadi Hadi Kitovu cha Biashara ya Kidigitali Afrika Kwa muda mrefu Kariakoo limekuwa moyo wa biashara nchini Tanzania, likihudumia si Dar es Salaam pekee bali pia mamilioni ya watu kutoka Afrika Mashariki na Kusini. Lakini katika dunia ya sasa ambapo karibu...
  2. JamiiForums Tanzania Secta Binafsi, Watanzania Tumiliki Uchumi pia tuchangamkie Fulsa

    Moja kwa moja naenda kwenye Hoja, Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao wanachangamkia Fulsa na kuwekeza, Zaidi Watanzania wenzetu wanapata Ajira za kutosha na Serikali kupata...
  3. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

    Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025. Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya kina ya No Reforms, No Election

    Habari watanzania Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea. Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia tofauti akilini mwa watu, Kiuhalisia mjadala wa NO REFORMS NO ELECTION si jambo dogo kwa kuwa ni...
  5. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiapishwa Urais aongoze nchi bila kuwabembeleza Watanzania wala kuwapa Uhuru Uliopitiliza

    Ndugu zangu Watanzania, Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana ,ni watu wa kushangaza sana ,ni watu ambao tupo tofauti sana na watu wengine. Watanzania ni watu ambao ukiwapa uhuru wa jambo fulani unakuwa umeharibu kabisa. Kwa sababu watatumia uhuru huo na kukuchukulia wewe uliyewapa uhuru huo...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Asilimia 99% ya watanzania wamekubali kutiki

    Habari Wana JF Katika tafiti nilizozifanya nimegundua 99% ya watanzania oktoba watatiki na 1% iliyobaki niwatoto ambao bado hawajafikisha umri wakupiga kure Takwimu hizi zinadhihirisha yakua watanzania wengi wanapenda Samia kutokana na mengi aliyo yafanya nawamekubali kumuunga mkono Naomba...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mnawa-follow wasanii wa muziki na filamu ili iweje?

    Hii ndio nayosema kua tuna shida kubwa sana sana,,,ndio mana hata cartels wakitubagaza wanajua aah Hawa wanafatilia wasanii Instagram na TikTok wamelala hawa... kuna manufaa yoyote unapata mtanzania haswa kijana kumfollow msanii wa muziki ? Yani Kuna pesa unawekewa kwenye akaunti yako ama ni...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hata ashushwe Malaika kuja kuwaongoza Watanzania Bado Watapiga Makelele na kutaka awafanyiage miujiza ya kuwawekea Mabomba ya asali na Maziwa Midomoni

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania hawaeleweki wanataka nini siku zote, Watanzania hawaelewi wanahitaji nini Maishani Mwao. watanzania hawana shukurani wala kuridhika wala kutosheka wala kusema asante kwa juhudi zako . Wao kila kitu kwao ni kibaya. Leo watataka hiki lakini kesho ukiwapa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wangekuwa na utambuzi, wangeelewa nchi iko katika mtafaruku mkubwa wa kutisha!

    Tanzania kwa sasa iko katika mtafaruku wa mkubwa wa kutisha wa uongozi unaotia ndani mambo ya kutisha sana, ambayo mtu yeyote mwenye akili akitafakari anapaswa kutetemeka kwa hofu. Mara nyingi hali kama hii inapojitokeza katika nchi huwa kunakuwa na njia mbadala ya kurekebisha mambo, lakini sio...
  10. JamiiForums Tanzania BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

    Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumlaumu Mbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana

    Siku zote raia ndio hufanya maamuzi ya mwisho, hata mitandaoni ukosoaji uwe mkubwa kiasi gani, kama raia hawataingia kwa ground huwa hakuna kinachotokea. Siwezi kumlaumuMbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana. Wanaharakati wana 20% tu, lakini raia wana 80% ya mageuzi...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania ni wasahaulifu sana

    Leo hii Polepole ni shujaa. Leo hii Magufuli naye anakumbukwa. Yani tunasahau haraka sana. Tunasahau uchaguzi wa 2020 ulivyokuwa uchafuzi. Tunasahau Lissu kunyanyaswa kila mara kukamatwa kutiwa ndani na hatimae kumiminiwa risasi kama punda. Tumesahau hela za rambirambi kupigwa mchana kweupe...
  13. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz huna cha kutubadilisha Watanzania hiyo Press yako ni kutaka tu kujichafua zaidi

    Na wenye Akili tunajua kuwa huyo FISADI Mwenzako mwenye Makazi mengi Dar es Salaam achilia kule kulikotupwa Kitovu chake Bagamoyo ndiyo amekutuma uharakishe kufanya Press ili kusafisha Upepo, ila jua ya kwamba umeshachelewa na kilichobakia sasa Wewe subiria tu Watanzania waungane na Wakushtakie...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wasema wangeandamana na kugoma kabisa Kushiriki Uchaguzi kama CCM isingempitisha Rais Samia Kugombea Urais.

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM isingempitisha Rais Samia kugombea Urais Mwaka huu. Wanasema kwa kuwa Ni Rais Samia pekee ndiye...
  15. JamiiForums Tanzania Nimembagaza huyu Dada anataka tena nimbanange. Watanzania tukemee tabia hiyo mbaya

    Ni ujinga umekubuhu kwa sasa.wanawake wengi wanapenda kubanangwa. Yaani mtu unataka umheshimu anakuambia au nikupe na huuu.. .unibanange ndo utaridhika. Huku akioneshea kwa nyuma. Mara ya kwanza nilidhani anani test. Mimi natosheka na kumbagaza tu mwanamke.kumbananga hapana si jambo zuri. Ila...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya wagombea urais hawaielewi Tanzania, wala hawajui mahitaji ya watanzania

    Naendelea kufuatilia ahadi mbalimbali za wagombea urais nchini kuelekea Uchaguzi mkuu wa Okt 2025 naona kuna shida nyingi sana kwa wagombea. Wengi hawajui mahitaji ya watanzania ni nini, maana yake wanaleta ndoto ambazo hazina kazi kwa watanzania. Mathalani, mtu analeta ahadi ya kuzalisha...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaogopa kufa kwa kudai haki zao wakati walishakufa

    Mtanzania anaogopa kufa na au kuwa mtumwa akidai haki yake wakati tayari ni maiti na mtumwa. Mnaogopa kutekwa wakati tayari ni mateka,kweli mmekuwa mateka chini ya chama tawala chenye elementi za udikiteta .
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kitawafanya watanzania kuondoa uoga na kuungana kuukataa uongozi wa CCM?

    Watanzania bado tunaogopa. Zaidi ya miaka 60 tumewaamini, tumewavumilia, na tumewapa mamlaka ya kutuongoza. Lakini mpaka leo hali za maisha ni ngumu, ufisadi umetamalaki, rushwa imekuwa mfumo wa maisha, vijana hawana ajira, huduma za jamii ni dhaifu huku wakizidi kujiongezea mishahara na posho...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo ambalo watanzania kwa sasa wanaomba litokee, likitokea, napendekeza lifuatiwe na hatua hizi

    Ukipita mitandaoni, utagundua kuwa kwa sasa kuna watanzania wanaomba jambo moja very serious lifanyike ili nchi irudi kwenye mstari Mtu anashauri jambo very serious lifanyike na anapata comments zaidi ya 2000 huku karibu asilimia 99 zinaunga mkono wazo lake. Hii ni ishara kuwa watu wamechoka na...
  20. JamiiForums Tanzania Adui wetu mkubwa ni mwenge wa uhuru, kuna mavumba huwa yanafukizwa kutupumbaza watanzania

    Amin nawaambia mwenge wa uhuru ni silaha kubwa sana inayotuangamiza watanzania. Moto wa mwenge ukiwaka na mavumba huwa yanafukizwa mule na kununiwa maneno fulani kutupumbaza watanzania Kila kata utakapopota wakazi wa hiyo kata wanakuwakama tulivyo leo, mimi na wewe, hatujielewi kwa chochote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…