There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Nawasalimu salaam !
Leo niwasanue sababu kubwa ya mnashangaa kwa nini wakenbya wako walivo halafu sisi tumezubaa .
utajiuliza inakuwaje watekaji wawili wanaenda stendi kisa wamekuja na gari la STJ wanamchukua baba eneo la wazi kama stendi katikati ya wanaume si chini ya 100 na wanaondoka...
Slogan ya No election no reform ilikuwa imeshaanza kueleweka mpaka vijijini .
Ila sasa kinachotokea ni either kukosa Mwelekeo na kujua nini wanabidi wasimamie kwa wakati husika.
Page zote za Chadema zinahangaika na Polepole .
Huyu alibidi kupotezewa na sio kupewa airtime .
Kwa style hii...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
TAKRIBANI watu milioni 1.5 kutoka Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma na Lindi wanatarajia kunufaika na mradi wa unaolenga kuboresha matumizi ya endelevu ya ardhi na kukuza uchumi wa ndani (FORLAND) wenye thamani ya Euro milioni 20.
Mradi huo ambao wa miaka minne...
1. Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozi. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine.
2. Tunataka Mtoto/mwenza wa Kiongozi asigombee ili tupate nini?. Amevunja kufungu gani cha Katiba?
3. Kama lawama tuzipeleke kwa Walezi/Wazazi wetu kwa...
Wako wapi Watoto wa Hayati Baba wa TAIFA, Mwl JKN?.
Wako wapi watoto wa Hayati Mkapa ? Mwanamapinduzi aliyechora ramani ya MapinduI ya kimaendeleo ya Taifa hili?.
Wako wapi Watoto wa Hayati Magufuli, Jembe lililofanya yasowezekana yakawezekana?.
Wako wapi??.
Sasa pimeni hili, Tazameni...
Watanzania, tusiwe watu wa kushangilia kila kelele inayopigwa mbele yetu. Si kila anayepaza sauti anapigania mabadiliko. Wengine wanapiga kelele ili kuua kelele nyingine. Wengine ni kama mabuzi wa porini wanaolia ili simba asisikike.
Mbinu ya Kumtumia Polepole ni njia ya kuua mjadala ya kitaifa...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo
Leo naomba nianze makala yangu kwa mafunzo ya dini yangu, yanayosema mchungaji mwema, mwenye kondoo 100, kondoo mmoja akapotea, atawaacha wale kondoo 99, kwenda kumtafuta yule kondoo mmoja aliyepotea, na itakuwa furaha...
Ukipita mitandaoni, sehemu mbalimbali mitaani, iwe mijini na vijijini, lawama za watanzania wengi zimekuwa zikielekezwa kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwamba ina uonevu mkubwa kwa wafanyabiashara na imekuwa ikianzisha tozo au kodi mbalimbali ambazo zinalenga kumkandamiza mfanyabiashara au...
Historia:
Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga chini" kwa lugha ya Kizulu, likirejelea lengo la kikundi hicho la kuwafukuza wahamiaji wasio na hati za...
Kila nikiangalia hii picha na bubujikwa na machozi ya furaha hakika mpendwa wetu yupo mahari salama hapo wakoloni wanajua wanamkomoa
Wakoloni walimuweka gerezani Nelson Mandela wakidhani wanampunguza makali kumbe ndo wanamjenga kiakili na ukomavu na ndo tunashuhudia kwa tundulisu Leo hii yupo...
"Watanzania popote mlipo hili swali tujiulize mnaifanyia nini nchi yetu, ilimadini yetu yarudi mikononi mwetu, ili vijana wapate ajira, ili mbuga zetu zitumike kwa ajili yetu, Tunaifanyia nini? sisi wote tunafanya nini?" - John Heche, Makamu mwenyekiti CHADEMA
I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani.
Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri, ukombozi na uzalendo kwa Watanzania.
Kwenye vyombo vya dola wakiiona Watasema alikuwepo huyu mtu...
Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.
Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .
Prof Tibaijuka ...
Habari wanaJF,
Natumaini mnaendelea vizuri. Nimeamka salama. Nililala saa 8 usiku, baada ya kikao kirefu na mmarekani mmoja, hapa nkishamaliza kuandika nazama tena usingizini kidogo.
Leo katika pitapita zangu, nimekutana na ripoti moja iliyochapishwa na Sahara Ventures.
Waliwauliza...
Jomo Kenyata alishawai kusema:
"Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupona mda wowote na wakadai vyao,
Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao,
Ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao.
Ghafla tushasahau habari ya no reform no election tuko busy na uchaguzi wa ccm ilhali tushakubaliana mwaka huu hamna uchaguzi ... vipi tena mnaanza ku change gia hewan?
GT
Jambo moja ambalo huwa linanishangaza kwa watanzania ni kupenda kutumia cash katika manunuzi mbalimbali ya vitu. Faida za online transactions ni kama hizi hapa.
1. Kurahisa ukusanyaji waa kodi
Kwa njia ya cash ni mtihani mzito maanake mpaka mfanya biashara awe mwamimifu kwa TRA.Lakkni pia...