watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo ya watanganyika ndiyo ya watanzania? Ya wazanzibar yana msimamizi maalum. Kuna mtu anakula bila kunawa hapa

    Sifahamu iwapo naeleweka vizuri. Kama nitakuwa nje saana mtaniwia radhi. Kuna mambo yananipa kuchanganyikiwa na nisijue lolote! Mambo ya wazanzibari, yanasimamiwa na serikali ya Zanzibar na yanakuwa ya wazanzibar kwa sababu serikali yake ipo inayasimamia! Mambo ya watanganyika hayana msimamizi...
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu watanganyika ninaombeni mumsamehe Luhaga Mpina kwa kupima samaki kwa rula, kila mwanadamu ana mapungufu yake

    Ndugu zangu watanganyika, Tumebaki yatima tusio na malezi kwenye hii nyika, Tumetelekezwa kama bendi ýa Lesi wanyika, tumesahaulika, Nakuja kwenu kwa unyenyekevu mwingi kumuombea msamaha Luhaga mpina mbunge wa kisesa kwenu. Hakika japo hajakili alilo lifanya lilikuwa na mapungufu makubwa kwetu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari hawataki muungano wanawafukuza wabara visiwani kwao

    salaam ndugu wapendwa. matukio ya hivi karibuni juu ya mjadala wa kujadili rasimu ya mapendekezo ya katiba ya Tanzania yaliibua na kuweka hadharani hisia za wenzetu katika muungano huu wa Tanzania. wakati wa mjadala uliofanyika katika hotel ya Bwawani mjini Unguja wanzabari walionekana kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

    Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World. Soma hapa hotuba nzima ======= Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe...
  5. JamiiForums Tanzania Poleni Watanganyika, poleni sana

    Tuuweke unafique kando! Tunapaswa kujitathmini upya Sisi ni wanafiki. (Kupitia bunge hilo limethibitika Sisi ni waoga na wazito kuchukua maamuzi magumu Sisi ni waongeaji sana kuliko watendaji (keyboard warriors) Sisi ni makuwadi (huu ukweli mchungu) Sisi ni wabinafsi Sisi ni waongo sana Sisi si...
  6. JamiiForums Tanzania Wanachungulia madirishani waone kama Watanganyika wameshalala au walete kiki moja itulize mjadala wa bandari

    Bado hawaamini kama Watanganyika wameamka na wanatolea macho maliasili zao walizopewa na Mungu. Wamesahau kama bongo movie ilishakufa, kila mwaka graduate laki sita wanaingia mtaani na hawana kazi, wanasubiri kusoma kila tangazo la Serikali, wakaona tangazo la kuuza bandari, bwana wee...
  7. JamiiForums Tanzania Mkisikia kuna kikundi cha Watanganyika wanataka kuandamana kwa ajili ya bandari yao nipeni taarifa nami niungane nao

    Watu wanaingia Mkataba ambao unasema hata kukiwa na Material breach still party to the Contract can't tarminate the same. Mmhhh hii si hatar sana. If I were in a position to do something watu wote waliohusika na huu uharamia wangefilisiwa ili kwanza wajue nchi ina wenye nayo nao ni sisi...
  8. JamiiForums Tanzania Watanganyika wote tuungane tulikatae hilo la waarabu

    Siyo kesho tena bali tuanze sasa! Huo mkataba haufai hata kwa kufungia maandazi kwa Mangi na ni kutwezwa kwa kiwango cha kutisha na watawala kwa kisingizio eti wanatuletea maendeleo. Huo msiba wa mkataba wa kuuzwa bandari yetu ya Tanganyika ni wetu sote Watanganyika na shime tuamke tuukatae...
  9. JamiiForums Tanzania Watanganyika wanaohitaji kwenda Dodoma tar 10.6.2023 kushuhudia bunge likipisha Mkataba wa Bandari tukutane hapa !

    Karibuni mikoa yote Tanzania bara. 1. Kundi la vijana wasio na ajira karibuni 2. Kundi na watumishi wa TPA 3. Kundi la vyama vya siasa na wasomi mbali mbali 3. Kundi la wafanyabiashara 4. Wananchi wote Tanganyika Karibuni Dodoma Bungeni tarehe 10.6.2023 bila kukosa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sijapenda kabisa mama kumwondoa Meja Jenerali Mzee madarakani

    Ni majuzi tu kwa mara ya pili mfululizo rais wetu amefanya mabadiliko ya uongozi wa mikoa 3 na wilaya moja. sikufurahishwa kuondolewa kwa meja jenerali Mzee kisa tu anasimamia sheria. Vile vigingi viliwekwa kisheria mbunge anachochea wananchi kwa maslahi yake mkuu wa mkoa alikuwa firm leo...
  11. JamiiForums Tanzania Watanganyika wadanganyika!

    Samaleko Watanganyika! Leo nimeona nije na huu uzi kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini. Viongozi wanatuona kama Mazuzu kwa kutoa majibu mepesi mithili ya mshindo wa kwanza kwenye mambo muhimu. Nchi imekua na Viongozi hovyo ukisikiliza Bunge ni porojo tupu uongo mwingi mnadanganya...
  12. JamiiForums Tanzania Watanganyika Hawaipendi Tanganyika Yao?

    Mimi ni Mtanzania. Nimezaliwa na kukulia upande wa Tanzania Bara, yaani, Tanganyika. Nimeshamsikia zaidi ya mtu mmoja akijitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibar. Lakini sijawahi kumsikia mtu akijitambulisha kuwa ni Mtanganyika. Mimi binafsi sijawahi kifanya hivyo. Je! Inawezekana Watanganyika...
  13. JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    Alichondika Mdude kwenye ukurasa wa twitter. "Moja ya mapungufu ya katiba iliyopo ni kwamba, mtu kutokea Bara-Tanganyika hawezi kuwa mkuu wa wilaya Zanzibar lakini mtu kutokea Zanzibar anaweza kuwa mkuu wa wilaya Bara. Sasa huu ni muungano wa namna gani? Ndio maana tunahitaji #KatibaMpya kuondoa...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ihamishe nusu ya wakazi wa Zanzibar iwalete Tanganyika na kuhamishia watanganyika kule kuuenzi Muungano

    Hili likifanyika itakuwa rahisi kuanzisha serikali moja tu na kuweka umoja wa kitaifa. Wananchi wanataka uchumi mzuri na sio kuwa na serikali nyingi. Pia itasaidia kuondoa ubaguzi wa kidini uliopo Zanzibar.
  15. JamiiForums Tanzania Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi? Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata? Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika? Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mzanzibari hana cha kupoteza wala hawezi kupatwa uchungu Ngorongoro ikiuzwa, Tanzania bara tupambane na hali zetu

    Ndivyo hali ilivyo, hata mama wa kambo akilea watoto ambao sio wake haoni taabu hata kuchukua nguo zao na kuzigawa, ila hawezi fanya hivyo kwa watoto wake. Mwisho wa siku hata hii ngorongoro ikiingia rasmi mikononi mwa huyo mwekezaji, Zanzibar haiwezi kuathirika ila ni sisi bara ndio tunaisoma...
  17. JamiiForums Tanzania Kati ya watanganyika na wazanzibari, Nani wananufaika zaidi na fursa za upande mwingine?

    Je wazanzibari wananufaika na fursa za bara Au wabara wananufaika na fursa za Wazanzibari? Kipindi hiki nimeona wabara wakilalamikia sana Wazanzibari mpaka kufikia hatua wanatamani katiba ya Zanzibar ibadilishwe ambayo imekuweko miaka na miaka. Kwa mfano suala la umiliki wa Ardhi watanganyika...
  18. JamiiForums Tanzania Tukichana na keyboard warriors, Watanganyika tuna mtu yupi wa uhakika anaeweza kutupigania tuwe na Tanganyika yetu?

    Niite utakavyo lakini nachokiona kwa mwacho yangu kwa sasa huu muungano gia zimebadilika angani, Alieuanzisha na kuusimamia kwa kiasi kikubwa kashatutoka na kwa sasa gia zimebdailika na kibao kimewageukia Tanganyika, Tanganyika inakamuliwa vibaya mno aisee japo kwa wazanzibari malalamiko yao ni...
  19. JamiiForums Tanzania Akamatwa akiwa na mikoba/pochi 135 aliyokwapua sehemu mbalimbali

    Mnamo tarehe 05/03/2022 kuanzia majira ya saa 12 : 00hrs mpaka saa 12 : 00hrs a/insp Fadhil wa CID Madema akiongozana na makachero wa kituo hicho walifanya msako maalum wa kumtafuta mtuhumiwa anaejihusisha na vitendo vya wizi wa kukwapua vipochi pamoja na mikoba sehemu zenye msongamano wa watu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Watanganyika do we have "BALLS"

    1. Wazanzibari walipoambiwa Zanzibar kuna mafuta walipambana hadi wakaondoa mafuta kwenye mambo ya Muungano lakini bado hela ya madini ya Mererani inaenda kununua CT scan hospitali za Pemba. 2. Wamepambana kuondoa bandari ya Zanzibar chini ya TPA na kuanzisha mamlaka yao ya bandari lakini bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…