watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Kutishia watu kuwapeleka Magereza ili wateseke ni Ushamba na ulimbukeni. Kuuza bandari za Watanganyika ni ufisadi

    Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
  2. JamiiForums Tanzania Nachingwea wazidi kurudisha kadi za CCM

    Kama mbwahi wacha iwe mbwahi tu. Clip inajionyesha kutoka kwenye iliyokuwa ni ngome kubwa ya CCM mikoa ya Kusini. Wananchi tena kina mama wanarudisha kadi za CCM baada ya kuchoshwa na ahadi za uongo kila mwaka toka 1961. Kama watu wa kusini wameamua hivi , wewe ndugu yangu wa lumumba...
  3. JamiiForums Tanzania CCM kwa kauli hizi za Katambi, haileti maendeleo; ni dharau kwa watanganyika

    Waliomwambia JPM kuwa Katiba haileti maendeleo, huenda ni haohao wanaomwambia Samia kuwa Katiba inaweza kuwepo na isifuatwe. Ni aibu kwa viongozi wa CCM walioapa kwa Katiba kutamka maneno haya hadharani. Kimsingi wanapswa kuitetea sana Katiba maana hata Urais wao umetokana na Katiba. CCM...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA sio chama cha kuwasaliti Watanganyika kwa biskuti , kahawa na Ubwabwa

    Sisi ni Chama makini sana. Tunajua nini maana ya maslahi ya taifa. Hatuwezi kuwa na fikra potevu kudanganya dunia kuwa kuna Demokrasia nchini Wakati hakuna. Zaidi ya CCM Kandamizi iliyojisahau na sasa inawakandamiza Watanzania kwa kila namna ya ufisadi. Hatuwezi kuwa sehemu ya wasaliti wa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama va Siasa na Wadau wa Demokrasia katika ukumbi wa JNICC leo tarehe 11 Septemba, 2023 katika viwanja vya Ikulu, jijini Dares Salaam...
  6. JamiiForums Tanzania Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi. Hii picha inajielezea. ==== Pia soma: TANESCO...
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Shujaa wa Tanganyika anayetetea rasilimali za Watanganyika toka enzi na enzi

    List of shame? Wauza bandari? Wote amepambana nao
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

    Heshima sana wanajamvi, Mbunge wa Rufiji Mohamed Omary Mchengerwa amehudumu katika Wizara kadhaa za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Wizara zote alizohudumu kaacha kilio kikubwa na simanzi zisizo na kipimo kwa WATANGANYIKA wote. Akiwa Waziri wa Utawala Bora na Utumishi alihakikisha...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania wanawakubali CHADEMA juu ya kutetea rasilimali zao kuliko CCM kwa kipindi hiki fukuto likizidi kufukuta

    Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania. Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili. Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili. Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ...
  10. H

    JamiiForums Tanzania 2025: Ahadi yangu kwa Mungu, kura yangu ni kwa Rais mwenye uwezo wa kutunza rasilimali za Tanganyika, na atakaye ahidi kuliondoa Zimwi la DPW

    KURA YANGU NI KURA YA UPENDO KWA TANGANYIKA: Kwa kuwa mihimili inayoongoza nchi yetu imetoa baraka, kwa maana ya serikali, kupitia ikulu imebariki, bunge kwa mbwembwe na bashasha imebariki, na mahakama imeshindwa kutoa msimamo wake kwa kuogopa kuingia madaraka. Sihitaji kuungwa mkono, wala...
  11. JamiiForums Tanzania DP World pekee ndio watakaomnasua Rais Samia ili 'watanganyika' wasimtose!

    “KUNA HATUA TATU WANAWEZA KUCHUKUA” Hatua ya kwanza ni kampuni hiyo kukiri kwamba mkataba wao uliandaliwa vibaya, wakubali kuwa umekosewa na kwahiyo kuna vifungu vinatakiwa kurekebishwa. Wasijaribu kumshinikiza Samia wala kumdanganya kwamba anaweza kubadilisha sheria za nchi yetu, ili ziweze...
  12. JamiiForums Tanzania Mapungufu 10 ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania. Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.
  13. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati umefika sasa kuwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee

    Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee. Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

    Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani ...
  16. JamiiForums Tanzania Watanganyika Wenzangu Kuanzia sasa Popote atakaposimama Mwana CCM Kuongea ni kuzomea Mwanzo Mwisho

    Tanzania ya sasa inatia hasira kuliko wakati wowote ule. Kuna ukandamizaji wa wazi wa haki za binadamu pale ambapo watu tunataka kuhoji maswala ya msingi. Ikumbukwe Tayari kuna wenzetu wameshaanza kutiwa nguvuni. Ili kuonnyesha tuko nao pamoja. Itabidi tuwaonyeshe CCM nguvu ya umma ni real...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Watanganyika tuwaombee viongozi wanaofisadi na kuuza bandari za Tanganyika! Haya ni majaribu

    Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?
  18. JamiiForums Tanzania Mkwara wa kukwamisha maandamano ya Watanganyika kuhusu Mkataba wa Bandari ni wa kitoto sana

    Hey habarini nyote, Nimesikitika na kutema mate na kusonya sana utoto wa hatua ya police kuhusu maandamano ya amani na yenye nia njema kufikisha ujumbe wa kupinga mkataba mbovu na wa kitumwa na usiofaa popote Duniani kote. Ni zumbukuku na mazumbukoko tu ndio wanaweza kua na akili za kengeza...
  19. JamiiForums Tanzania Watanganyika Tujifunze Kitu Hapa

  20. JamiiForums Tanzania Bandari na unafiki wa Watanganyika

    Wana Jukwaa Ama kweli akili ni mali na ujinga ni adui! Watanganyika, watu wenye rasilimali asilia za kila aina, kuaniza ardhi kubwa ilimikayo, 60% ya ardhi hiyo binadamu hajawahi kuweka mguu wake, maadini mbali mbali yenye thamani kubwa sana dhahabu, almasi, shaba, chuma, tin, lithium...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…