wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kutatua matatizo kwa wataalamu tukutane hapa, muhimu;bado naenda kanisani

    Mwezi November 2017 sitakuja kusahau, kuna siku nliamka nikajikuta kama nmekatwa na wembe hivi kwenye mkono , nikagundua kuna washenzi wamefanya yao usiku, nliogopa,basi hio siku nliomba na kusoma biblia kabla siku nzima Ile nimeingia kitandani najifunika blanketi, naskia "cshaaaaaaaa" mchanga...
  2. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Forex naweza kuendelea au niache

    Habari wazee, hivi juzi nilianza biashara ya forex kwa kuweka kiasi cha usd 100 kwenye account. na hii ni history tangu nilivyoanza kutrade hadi sasa, naombeni mnipe ushauri kama naweza kuendelea au niache na kama naweza kuendelea nifanye nini ili nipate matokeo mazuri zaidi
  3. JamiiForums Tanzania Uwezo wa wataalam wa Bioteknolojia na Microbiolojia

    Kuna mdau wa JF alisema hawawezi tengeneza dawa. Ok Nitaelekeza kwa mifano Hakuna pharmaceutical compound inayoweza tumika kwenye mwili bila kua na knowledge ya drug target (receptors, ligands, Au microbial cellular parts kama cell walls, plasma membrane, Nucleus, au nucleic acid target) na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…