wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Swali kwa Wataalam wa Mabasi. Hii ni Happy nation au New Force?

    Swali kwa Wataalam wa Mabasi. Hii ni Happy nation au New Force?
  2. TANESCO: Tuliona tunasumbuana na Mkandarasi wa Mradi wa Imalilo tumeamua kuuendeleza na Wataalam wa ndani

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme inayotekelezwa Mkoani Simiyu kwa lengo la kujionea maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa Kituo cha Kupokea na...
  3. Kuweni makini na matumizi ya ATM; kuna wataalam wa kuiba na hutopata sms na notification

    Wakuu , Kumeibuka wizi wa kupitia ATM. Hasa ile benki flani hivi. Jamaa wanaiba in such a way hutopata notification SMS. Msitumie ile njia ya kuweka ATM card juu ya mashine
  4. H

    Nje ya Biblia, Wataalam Wasomi wa Wakati wa Yesu Walivyomwelezea Yesu Kristu:

    Wapo watu wasijua historia ya Ukristo, mara kadhaa wamepotosha, na wengine hata kuthibutu Kueleza Kuwa Yesu Hakusulibiwa Msalabani kam biblia inavyoeleza. Na wengine hata kusema kuwa huenda hakuwahi kuwepo. Watu wanaoyanena hayo ni kwa vile wamekosa maarifa. Leo nawawekea maelezo yanayotoka...
  5. Nmekuwa na huu URAIBU kwa Miaka zaidi ya 30 sasa naelekea kuacha baada ya kukutanishwa na Wataalam

    Wajameni.... Mimi nlikuwa nahonga. Nlikuwa nahonga mpaka nahonga. Miaka zaidi ya 30 mimi nikitaka demu sina maneno mengi, sina mistari ni kuhonga tu. Unajua sisi wengine ambao sio hendisamu na pia hatuna sana mvuto na hatupendi kujieleza tunaona shida sana kukimbizia mbunye. Ni mwendo wa...
  6. Wataalam wa ujenzi na ramani msaada tutani

    Wataalam, Jengo ambo liko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 145 unaweza ku modify kwa kuweka frame ngapi zikatosha? Kwa ukubwa size medium Yan vyumba visiwe vikubwa sana Wala vidogo sana..
  7. Utetezi wa NIDA/ INEC ni Wa kipuuzi, njia pekee ni Vyama/NGOs kuruhusiwa kukagua Mifumo Kwa kutumia Wataalam wao wa Ndani au Nje ya Nchi !!

    Yaan nayenyewe yanajitokeza hadharani Et 'Polepole ni muongo, sio kweli ". Hoja za Polepole, zinakua proved wrong Kwa kutoa tangazo hili 'NIDA/INEC inawaalika Vyama vya SIASA, WATETEZI WA DEMOKRASIA , TAASISI ZA KIDINI , WATETEZI WA HAKI , NCHI MARAFIKI ULAYA NA MAREKANI , NA WADAU WA...
  8. Unajiamini kwenye kubaini maudhui ya AI? tukutane hapa. Dosari gani unaziona kwenye video hii?

    Mdau mmoja kutoka katika mitandao ya kijamii alichapisha kipande hiki na kudokeza kuwa imetoka huko Arizona. Tushirikiane kuthibitisha kwa kutaja dosari zinazoonekana.
  9. K

    Naomba kuelimishwa kuhusu ufagaji wa samaki ziwa Victoria

    Kumekuwa na ufugaji mkubwa wa samaki katika Ziwa Victoria. Kwa takwimu nilizo nazo asilimia 80 ya wananchi wanaozunguka Ziwa Victoria kwa sasa wanatumia samaki hawa wa kufugwa kama chakula chao tofauti na hapo zamani. Chakula cha samaki hawa kinatengenezwa na ndugu zetu Wachina. Hatujui...
  10. Watakiwa kuwalea Watoto kwa kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, ametoa wito kwa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam wa afya na malezi ili kuwalea watoto, kwa kuweka mkazo maalum wa lishe bora, malezi yenye upendo na mazingira salama kwa ajili ya ustawi wao...
  11. Wataalam wa Uchumi (Foreign Exchange Rates) nitashukuru nikipata Elimu yenu kubwa ya Kina juu ya hili Swali langu Kwenu

    Ni kwanini ukitaka kutuma Pesa (kwa kuibadilisha moja kwa moja katika Mitandao ya Simu) mida ya Mchana kwenda Alasiri Exchange Rate inakuwa ni nzuri sana tofauti na nyakati za Asubuhi au Jioni au Usiku? Kuna Siri gani hasa nyakati za Mchana na Alasiri Kiuchumi? Asanteni.
  12. M

    Hivi kwanini Nissan Fuga licha ya muonekano wake mzuri lakini ni gari adimu sana mitaani... Shida ni nini wataalamu?

    Kichwa cha habari chajitosheleza... 1. Bei sio kali sana 2. Muonekano ni luxury sana 3. Space ndani ya kutosha Ila wamiliki ni wachache sana shida ni nini?
  13. Nyumba ya Kisasa ya Contemporary: Mvuto wa Decor bora, tatizo ni Gharama!

    PROJECT COMPLETED KAMA UNAHITAJI KUJENGEWA/DESIGN CALL US +255624004640
  14. Wataalam Aviation...hii ni nini?

    Pale ndege inapoanza kupaa hukimbia na kupiga kelele. Ikianza kupaa kuna hatua inafika kunatokea hali ya ukimya na wakati huo huo inakuwa kama vile inakosa nguvu na kuanza kushuka chini kidogo. Hapo ndipo itageukia kushoto ama kulia....then ndipo unasikia machine zinanguruma nguvu kuongezeka...
  15. E

    Walimu wa English Language na Literature wenye GPA ya 3.8 fanyeni Masters za Linguistics/Literature Kuna uhaba.

    Wakuu nimekuwa nikifanya utafiti wa kwenye masomo husika naona hakuna wataalam juu sababu ni kwamba walio juu hawataki wenzao kufika huko hasa ndugu zetu wa Mlimani. Ushauri wangu soma vyuo hivi: 1.MA in Linguistics SAUT Mwanza (Evening/Weekend mode)- Ukiwa lake zone. Ada M 5,56660 Total...
  16. Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

    Ni hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa Israel, na wao watafuatwa huko huko... Israel anawamaliza wataalam wa nyuklia Iran, ukiwa kobaz jikite...
  17. Nafasi za ajira kwa Wataalam wa Afya katika Eli Hospital Arusha

  18. Eti Wataalam hii Project ya Chaumma itafanikwa au itafail?

    GT Wale wataalamu wa siasa chafu na propaganda hii project ya Chaumma itatoboa kweli? Binafsi nimeona imefail kabla hata ya utekelezaji wake kuanza. Huenda mi siyo mtaalamu sana wajuzi mtuambie.
  19. O

    Wataalam wa kilimo naomba kujua madhara ya dawa ya kuua magugu shambani

    Habari zenu wa kulima wenzangu nnashamba langu lina magugu mengi sana na uchumi haujakaa vizuri nnataka ninunue tu dawa ya kuua magugu nipulizie hila sijawahi kutumia naomba kujua km kuna madhara yoyote kwenye mimea iliyopandwa
  20. Wataalam wa kutengeneza Local Cage za Kuku wa mayai

    Wakuu kwemaa..Poleni na Majukum. Natafita mtaalam ama mshauri wa kunisaidia hii Changamoto yangu. Ninashida na Cage ya local sio zile za kuagizia toka china. Nina fuga Kuku wa Mayai Wapatao 1000
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…