wastani

Fan Wastani (Arabic: فان وسطاني) is a Syrian village located in Salamiyah Subdistrict in Salamiyah District, Hama. According to the Syria Central Bureau of Statistics (CBS), Fan Wastani had a population of 847 in the 2004 census.

View More On Wikipedia.org
  1. Black Butterfly

    Matokeo ya Kidato cha 6 2024: Shule 710 kati ya 929 zimepata Wastani wa Daraja C la Ufaulu, Shule 100 zimepata Daraja A na B

    Kwa mujibu wa Matokeo ya Mtihani wa Kihitimu Kidato cha 6 uliofanywa Mei 2024 na kutangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Ufaulu wa Watahiniwa waliopata Daraja I - III umeongezeka kwa 0.10% kutoka Wanafunzi 95,442 (99.30%) mwaka 2023 hadi 102,719 (99.40%) mwaka 2024. NECTA imesema...
  2. R

    Wastani wa kipato cha mafundi kwa mwezi

    wastani wa kipato cha mafundi katika fani hizi ukoje kwa mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza,Arusha na Dodoma? Fundi simu Fundi wa computer Fundi umeme wa majumbani Fundi wa vifaa vya electronics kiujumla Fundi umeme wa magari
  3. N

    Wadau tumekwama; wastani sasa hivi ni bao moja tu!!

    Kwa sasa hiyo ndo hali halisi yetu. Tuufungue mwaka huu mpya kwa kuambiana ukweli huu mchungu ili kama lipo la kufanya basi tufanye....hali ngumu.
  4. BARD AI

    Ajali za Barabarani ziliua wastani Mtu mmoja kila baada ya saa 5 mwaka 2022

    Mtu mmoja alifariki dunia kila baada ya saa tano na dakika 40 mwaka 2022 kutokana na ajali za barabarani, ikilinganishwa na kifo kimoja kila baada ya saa 6 na dakika 24 mwaka mmoja kabla. Takwimu za Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani zilizochapishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
  5. Roving Journalist

    Takwimu: Umri wa Mtanzania kuishi umeongezeka kutoka Wastani wa miaka 44 hadi 65

    Akizungumza katika mkutano maalum uliohusisha pia Wakuu wa Mikoa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, leo Agosti 31, 2023, Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa amesema mchakato wa Sensa uliopita umekuwa na mafanikio makubwa na haijawahi kutokea kuwa na ushirikiano wa juu...
  6. S

    Plate number moja kwenye magari huchukua wastani wa muda gani kujaa?

    Naomba kujua huchukua wastani wa muda gani plate number moja mfano kwa magari yaliyooanza na namba "D" kujaa kabla ya kuingia namba "E" iliyoko sasa? Kuna mdau alinunua gari mwaka 2015 (kwa maelezo yake) na gari yake ni namba "D" kitu ambacho kidogo kimenishangaza kuona namba hiyo ipo tangu...
  7. JanguKamaJangu

    TMA yasema mvua juu ya wastani zinatarajiwa kunyesha. Mvua za Vuli kuanza Oktoba

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za Juu ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, kusini mwa Mkoa wa Simiyu, kaskazini mwa mkoa wa Kigoma, Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikiwemo visiwa vya Mafia), kaskazini mwa mkoa wa...
  8. Annie X6

    Eti mtoto asipofikisha wastani haendelei. Private school dawa yao jiwe

    Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview) Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
  9. Wakusoma 12

    Wastani wa shilingi milioni 423 zimepigwa na kila halimashauri nchini zikiwa ni pesa za mikopo kwa vijana.

    Hii ni kwa mujibu wa riport ya CAG. Ambapo kiasi cha shilingi bilioni 80 hazionekani zilipo, pesa ambazo ukizigawa kwa halimashauri zote 187 nchini ni kila halimashauri imepoteza milioni 420. Hii haiingii akilini kabisa, iweje pesa ndefu kama hiyo wadaiwa waingie mitini. Maafisa maendeleo wa...
  10. Roving Journalist

    TMA yatabiri mvua za wastani lakini yatoa angalizo mvua kubwa ya vipindi vifupi katika msimu wa Machi-Mei 2023

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a ametangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mpaka Mei, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani huku baadhi ya mikoa kuwa wastani na juu ya wastani. MWENENDO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022...
  11. BARD AI

    Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili

    Wakati takwimu za Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) zikionyesha maambukizi ya ugonjwa huo yameshuka kwa asilimia 47, ripoti mpya ya Wizara ya Afya imeonyesha viashiria vya uwezekano wa kuongezeka kwa virusi kutoka kwa wasiokuwa wanandoa wala wachumba (michepuko). Ripoti hiyo ya...
  12. MANKA MUSA

    TMA: Sekta zijipange kukabiliana na upungufu wa mvua

    Dar es Salaam, Tarehe 26/10/2022 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa mvua za msimu kwa maeneo yanayopata mvua mara moja kwa mwaka. Maeneo hayo yakijumuisha mikoa ya (Tabora, Kigoma Kusini, Katavi, Mbeya, Rukwa, Soingwe,Njombe, Iringa, Ruvuma na Morogoro Kusini) katika...
  13. M

    SoC02 Mvuta sigara anavyotumia wastani wa kiasi cha Tsh milioni 16.9 hadi Tsh 42.3 kununua sigara karibu kipindi chote cha maisha yake

    Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga. BAADHI YA SIGARA BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA BEI YA PAKTI MOJA BEI YA SIGARA MOJA Winston & Master Club Tsh1600/= Tsh 100/= Sports Club & Sm Club Tsh...
  14. Nduna shujaa

    Wastani katika chumba kimoja cha darasa ni wanafunzi wangapi na choo tundu moja wanafunzi wangapi?

    Wandugu tufahamishane na kushauri hapa kwa manufaa ya watoto wetu. Nimepita ktk shule za msingi mkoani Ruvuma ktk kata moja ya Mshangano. Kwenye shule ya s/m Mshangano kati inawanafunzi 842 na ina madarasa 7, wastani kila darasa wanafunzi 120. Ina matundu ya vyoo 10, wastani kila tundu watoto...
  15. Replica

    Rashid Shangazi: TRA imekusanya wastani wa trilioni 1.9 kila mwezi bila mtutu wa bunduki

    Rashid Shangazi: Katika kipindi cha miezi 9 mamlaka ya kodi imekusanya takribani trilioni 17.2 Ukipiga hesabu ya kila mwezi ni wastani wa trilioni 1.9 Kodi hizi zimekusanywa bila kutumia task force wala bila mtutu wa bunduki. ===== Hivi kuna kipindi tulikuwa tunakusanya kodi kwa kutumia...
  16. JanguKamaJangu

    Katavi: Wastani wa Watoto 9 ufanyiwa ukatili kila siku

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amezungumzia kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea katika Mkoa huo, watoto wakiwa sehemu kubwa ya waathirika. Amesema matukio 887 sawa na 65.17% ya matukio 1,361 yaliyoripotiwa kuanzia Januari hadi Machi 2022 yalihusu watoto. Takwimu hizo zimeonesha...
  17. The Sunk Cost Fallacy

    Inadaiwa Mwanamke ana wastani wa mawazo 70,000 kwa siku

    Uzi tayari. Ila mimi sikubaliani na utafiti kwamba eti wanawake hawana Kinga ya kutosha kutokana na kuwaza zaidi. Kama hawana Kinga mbona wanaishi Umri mrefu kuliko wanaume? ====== Imeelezwa kuwa mwanamke ana wastani wa mawazo 70,000 kwa siku na inaaminika asilimia 70 huwaza vitu vya...
Back
Top Bottom