wasomali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waafrika mnaochukia wasomali kuwa na akili ya kupiga zaidi ya dola bilioni 9 Marekani mpo sawa kichwani?

    Tangu enzi za ukoloni wa wareno kina Vasco Da Gama, wakaja waarabu, wakaja wajerumani, waitalia, waingereza hadi baada ya kupata uhuru bado tunaendelea kunyonywa na makontawa kama Marekani. Wasomali hawajakaa kizembe kwa taarifa zinazotrend kwa sasa huko Marekani kwenye jimbo la Minnesota lenye...
  2. Wakristo Syria washeherekea Krismasi chini ya mtutu wa bunduki

    kulikuwa na 1.8 million Christians in syria leo wamebakia laki 3 tu, wanasali chini ya mtutu wa bunduki, kama mlifikiri haitatokea hapa tanzagiza think again, lebanon ilikuwa ni Christian majority country leo hii wameisha karibia waote, Wanapokwambia wanafight against ''mfumo Kristo''...
  3. SOMALI hawataki kutambuliwa kama Waafrika, WAARAB hawataki Watambua Wasomali kama ni wenzao

    https://www.instagram.com/reel/DSQZ7HokTLO/?igsh=bmlnNHZ1cng4azJz
  4. M

    Trump anailinda Marekani au ni mbaguzi ? kawararua wasomali na mbunge wao ni wezi wa fedha za jimbo walilojaa, wavivu na walalamishi wasio na shukrani

    Minnesota jimbo lililojaa Wasomali nchini Marekani Mbunge wao ni Ilhan Omar Trump kawararua wanaiba fedha za umma (kuna ripoti zinafadhili vikundi vya kigaidi) wavivu, asilimia 88 wanaosubiri posho ya kujikimu walalamishi, hawaridhiki
  5. Minnesota Mji Uliojaa Wasomali, Kiasi cha kuhatarisha Usalama wa Marekani, Trump Awapelekea Moto

    Kwa sasa kuna mvutano mkubwa Minnesota kati ya jamii ya Wasomali (ambayo ni karibu 80,000 wenye asili ya Kisomali) na serikali ya shirikisho na ya jimbo. Hii imetokana na madai madhubuti ya udanganyifu mkubwa wa fedha za umma pamoja na hatua za Rais Donald Trump kuongeza ukaguzi wa uhamiaji na...
  6. K

    Spika Zungu familia yake ilipewa passport Ugiriki kwa kudanganya ni wasomali

    Familia yake ilisema wote wamezaliwa na kutoka Somalia wakati sio kweli walizaliwa Tanzania. Document zote zipo. Document zote zimenaswa. Kapewa wiki moja tu kustaafu kabla ya ushahidi kutolewa huko Ugiriki na uraia wa familia yake kuchunguzwa https://youtu.be/rugDxfcjRBE?si=TxtBCPvquHQtM5Hc
  7. WASOMALI East Afrika

    Wadau, Mnasemaje kuhusu Wasomali na dharau zao towards locals, Kenya, Uganda, Tanzania, all over EA, hawataki kujifunza lugha ya Kiswahili, no Intergration ya aina yoyote, hawalipi kodi za biashara zao, wanazaliana kama Sungura, na hawana nia njema kwa taifa lolote linalowapokea, hata huko...
  8. C

    Msidhani wasomali wajinga kupigana,ni bahati mbaya tu wana viongozi kama Hersi

    Unaweza kuchukulia masihara kuhusiana na msimamo wa mashabiki wa yanga lakini jambo hili linaweza kuhatarisha usalama wa nchi kwa namna uadui unavyokua kila siku. Nafikiria jambo sahihi watakalofanya TFF ni kufuata kanuni kwa sasa bila kupindisha.Lakini matokeo ya wao kufuata kanuni,nina...
  9. Zipi faida na changamoto za kufanya kazi chini ya wahindi, wasomali &waarabu?

    Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu. NB: No place for racism
  10. Hivi kuna watu wenye roho mbaya kama wahindi, wasomali, watutsi, na waarabu duniani? Ukiangalia wanavyowabagua wenzao ambao Ulaya huwekwa kundi moja

    Sina chuki na watu niliowataja hapo juu. Ila kiasili na kimatendo wana roho mbaya, wachoyo, na zaidi ni wabaguzi wa kunuka. Ukiwakaribisha kwenye nchi yako jua watataka wakutawala, wakubague, hata wakutupe nje. Je ni kwanini Tanzania tumejaza watu hawa bila kuchelea hatari yao? Ukienda...
  11. W

    Kwanini Wasomali Wana maendeleo ugenini lakini kwao Kuna Hali mbaya zaidi ya Burundi

    Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana ukija TZ wapo wachache ila wamejitahidi kwenye maendeleo, hupendelea biashara za malori. Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya, Burundi kuna nafuu, vita vya wao kwa wao haviishi Huduma za kijamii zipo chini sana umasikini...
  12. Ivi wakikuyu au wabantu wa kenya wanaoa wasomali??

    Nauliza hivi kwasababu wagumu sana kubadilika yaan wasomali ni zaidi ya masai
  13. G

    Wahindi, Waarabu na wasomali wanafanyaje hadi watoto wanakuwa waaminifu kurithishwa biashara, kuwa na utulivu kwenye biashara na nidhamu ya pesa?

    Hata wao wapo wanaofanya biashara nyeusi, mabasi ni ya kutakatisha pesa, lakini still unakuta wao wametuzidi kwenye kuendeleza biashara kwa vizazi tofauti na sisi biashara nyingi baba akifariki watoto inavidi waanza kuzoea ugali maharage. waafrika tumekuwa na shida kubwa kwenye kurithisha...
  14. ICON ya wasomali Ilham omar anaolewa na Myahudi soon atabadili dini! Pole Somali conservative

    Ilham Omar na Mumewe mtarajiwa. Mumewe ni Tim, myahudi wa ki-ashkenaz na mfanyabiashara. Soon Israel watakua wana influence somalia
  15. Niulize chochote kuhusu Somalia na wasomali

    Leo nitakua najibu maswali yote yanayohusu somalia na wasomali!! Uliza chochote… Mr chromium
  16. Kwanini baadhi ya Wasomali wakifika Kenya wanabadili dini na kuacha uislam?

    Wakimbizi wengi wa kisomali wanabadili dini wakofika kenya.Hii ni kwa sababu serikali ya kenya inaruhusu kila dini tofauti na nchini kwao ambako wanauliwa kisa dini! Wasomali wanasema wamefanya au kufuata ukristo kwa miaka kumi kisiri siri wakiwa somalia. Huu mkasa unafanana na iran Je kama...
  17. Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  18. Wasomali wanyukana tena baina ya koo, 55 wauawa

    Wote dini moja ya kiislamu, lugha moja ila kama ilivyo kwa binadamu lazima atafute sababu za kuuana, hawa wanauana baina ya ukoo kwa ukoo. ================== A violent clash over the weekend between two clans in central Somalia has killed at least 55 people and injured another 155, residents...
  19. DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

    Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili. Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula kupandishwa ndege kusafirishwa kuelekea kwenda Joburg (Johannesburg) Afrika Kusini. Nendeni...
  20. G

    Wasomali wanazidi kukuwa kiuchumi, population na power Nairobi, wao hujiona sio waafrika, Je kuna hatari kwa wakenya weusi dorminance yao ikizidi ?

    Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini hata hao waarabu wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine, ukiingia jamiiforums yao inayoitwa somalinet utakutana na nyuzi nyingi sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…