wasomali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndagullachrles

    Rocktronic wafungua barabara kwa Wasomali Hai

    Mkandarasi Kampuni ya Rocktronic wameungana na wadau wengine kufungua barabara iliyokuwa imefunga baada ya Daraja la Kwa wasomali wilayani Hai Mkoa wa Kilimanjaro kuzibwa na magogo. Hali hiyo ilitokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha mto Sanya kufulika na kupelekea Daraja...
  2. Nyendo

    Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia. Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo...
  3. Masokotz

    Plot4Sale Boma linauzwa Boma Ng'ombe kwa Wasomali

    Habari za wakati huu; Kutokana na dharura hili eneo lipo Sokoni. Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali Eneo lina Boma kama linavyoonekana pichani lenye vyumba 3 sebule Jiko na Dining. Pia kuna boma dogo la vyumba viwili na sebule lipo jirani. Nyumba ziko kwenye eneo la ukubwa wa 23 kwa 17 Meters...
  4. Kijakazi

    Wasomali na Midomo yao, haifungi!

    Hivi ni mimi tu labda au kuna mwingine aliyeliona hili kwa Wasomali na midomo yao kwamba haifungi, yaani saa zote meno ya mbele yanaonekana na ni wote, hata kama akifunga mdomo ni lazima meno ya mbele utayaona, …
  5. K

    'Machale Championi' Mzigoni na Wasomali.

    Ingia You tube Mcheki mtu anayekwenda kwa Jina La Charlie Champlin utacheka saana , huyu jamaa ukimtafakari Vituko vyake kama HAMNAZO hivi..! Sasa Timu ya Wenye akili kama huyu jamaa inakipiga kwa Mkapa na Wasomali baada ya kutoka Airport kuwapokea Wapinzani Wa Simba KIMATAIFA. Sasa hili ni...
  6. Z

    Uhamiaji wanapaswa wapitie upya nyaraka za Wasomali nchini

    Wasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, kutokana na nchi yao kuto kuwa na amani miongo mingi sasa, matikio ya kigaidi kila kukicha. Jirani zetu wa Kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya Kisomali. Sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba...
Back
Top Bottom