wasira

Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Demokrasia sio ruhusa ya kutukana wengine, kama Uhuru ni kutukanana tungeutafuta wa nini?

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi. Amesema lengo la uhuru ni...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: Mitano Tena" ni kwa Samia, wengine watasubiria mchujo

    My Take Safi sana Wasira unajua sana kuwakera 😂😂👇👇 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, leo Juni 11, akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma, ametumia jukwaa hilo kuwakumbusha wanachama wa CCM nchini kuwa kwa sasa mgombea...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni Tulivu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

    Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Je, Babu yetu wa Bunda, anahujumu harakati za chama?

    Habari makomredi wenzangu! Mzee Wetu wa Bunda ni kiongozi wa juu wa chama Cha majani mabichi ambaye asili yake ni Upinzani. Amewahi kuwa kiongozi na mbunge wa kuchaguliwa Bunda mjini, baadaye akatimkia chama kile. Sasa kuna msemo usemao, jasiri haachi asili, yaeza kuwa anakihujumu chama chake...
  6. JamiiForums Tanzania Tulisema Steven Wasira amezeeka amechoka apumzike alee wajukuu,kiko wapi sasa

    Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini Ratiba zimevurugika Mara mgongo,mara miguu,mara kifua Uzeeuna...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Polisi tendeni haki, siku moja mkamateni Wasira au Nchimbi na kumweka ndani Ili kubalance mizania!

    Sasa! Imeshakuwa kawaida, polisi wa kawaida tu Cheo Cha chini, utasikia amemkamata na kumweka ndani Makamo mwenyekiti wa chama Cha upinzani CDM,kwa sababu sizoeleweka, Leo imeripotiwa kiongozi mkubwa wa chama CHADEMA ,Amani Golugwa kakamatwa na polisi airport, na imedaiwa kapigwa pia ,ukiuliza...
  8. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira Kimya! Moto wa Heche wazidi kuchanja mbuga kuelekea Oktoba 2025

    Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche. Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Wasira ni matokeo ya CCM kukataa tamaa na kuwa na hasira hivyo kuongea tu kutokana na frustrations

    Nimeona clip ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wasira katika akaunti ya Godbless Lema kwenye mrandao wa X ambapo Wasira anasikika akisema maneno haya: "CCM haitatoka madarakani mpaka Yesu arudi". Msingi wa kauli hii na ile ya hivi karibuni ya Waziri Mchengerwa na nyinginezo za aina hii...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Wassira ni Mlezi wa vyama vyote vya Siasa nchini ameshiriki Siasa za Chama tawala na Upinzani, aeneze Upendo!

    Mzee Wassira ndiye Mwenye historia ndefu sana ya kisiasa nchini kuanzia Bifu lake na mzee Warioba Enzi za Nyerere hadi Bifu lake na Esther Bulaya enzi za Kikwete na Mbowe Itoshe kusema Taifa linamtegemea sana Mzee Wassira kuwafundisha Vijana siasa za Upendo wakati huu wa magharibi Ahsanteni...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulilenga kudumisha amani na kuondoa udini na ukabila

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Steven Wasira, amesema kuwa sababu kuu iliyosababisha kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 ilikuwa ni kuhakikisha usalama na kudumisha amani ya kudumu kati ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mbele ya mamia ya wakazi wa Wilaya ya Chemba...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Viongozi wa dini wametutia nguvu kuendelea na Uchaguzi Mkuu

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru na kuwapongeza viongozi wa dini kwa ushauri kuhakikisha Nchi inaendelea kuwa na amani hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na kubariki uchaguzi huo uendelee huku, ikisisitiza kuwa haidharau maoni yanayotolewa. CCM imesisitiza kuwa haipuuzi...
  13. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM tunahubiri amani kwa sababu ndani yake kuna haki

    MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika amani ndani yake kuna haki, hivyo Chama kitaendelea kuihubiri kuhakikisha inapatikana haki. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mjini Dodoma alipokuwa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira apongeza kasi ya utekelezaji miradi ya maendeleo Tabora

    Serikali ya awamu ya sita imepongezwa kwa kupeleka mradi wa maji wa Miji 28 katika Wilaya 3 za Mkoa wa Tabora ambazo zilikuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji huduma ya maji. Pongezi hizo zimetolewa jana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Steven Wasira alipokuwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Huwezi Kupata Kamwe Picha Kama Hii kutoka CHADEMA ya Stephen Wasira Akisalimiana Na Protase Kardinali Rugambwa hii Leo.

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa na heshima na kuheshimika ni jambo la kawaida kukutana na kukutanishwa na watu wenye heshima kubwa katika jamii. Ni kawaida kwa mtu anayeheshimika kuona akifanya mazungumzo na majadiliano na watu wenye heshima kubwa . Ni kawaida kwa chama kinachoheshimika kama CCM...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira akutana na Kadinali Protase Rugambwa Tabora

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora. Wasira amekutana na Kadinali Rugambwa leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara...
  17. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Watanzania kataeni kuyumbishwa na wasiotakia mema nchi

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi. Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni tunu ya Watanzia na lazima ilindwe. Mqkqmu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Deni la taifa, trilioni 97 hajakopa Rais Samia peke yake, tulikopa tangu enzi za Nyerere

    Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho. Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Tumeshafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi, CHADEMA hawawezi zuia uchaguzi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari. Amesema CHADEMA wao wanasema hawataki uchaguzi mpaka yafanyike mabadiliko...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: CHADEMA hawana hoja ya msingi kuzuia uchaguzi, mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Machi 27, 2025 katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…