wasanii

  1. JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwa Nini Fally Ipupa Anashindana Na Yeye Mwenyewe Na Si Wasanii Wengine?

    Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mwenendo wa kimuziki wa Fally Ipupa "El Maravilloso". Tangu alipotoa "Maria PM"—wimbo uliokuwa hit kubwa sana barani Afrika na duniani kote—na baadaye kuja na mradi mwingine mkubwa wa "Mayday", kumekuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Kweli muziki wa zamani haukuwafaidisha wasanii na chochote bali stress tuu. Ukiwaona katika kundi moja wakipiga story utafikiri kikundi cha masela

    Hii bongo 30 imefanya watu kuwaona hawa jamaa vizuri, wengi wao wamechoka, wengine wana maalaama uso, wengine nyuso zao zimejaa ulevi wa matapu tapu Wengi wao waliishia katika uraibu maana ustaa wao uliwaongezea aibu mitaani
  3. JamiiForums Tanzania Rose Muhando: Sitafanya kolabo na wasanii wakidunia, nalinda huduma yangu

    Rose Muhando, ametoa msimamo mkali na kuwakosoa wasanii wa Injili wanaofanya kazi za muziki na wasanii wa muziki wa dunia au Bongo Fleva. Kauli hii imekuja mara baada ya kuwepo kwa mjadala mkali mtandaoni uliochochewa na hatua ya mwimbaji wa Injili, Joel Lwaga, kufanya wimbo wa ushirikiano na...
  4. JamiiForums Tanzania Makonda: CRDB na NBC zimeshusha riba ya mikopo kwa wasanii kutoka 9% hadi 7%, baadhi ya masharti yameondolewa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC kupunguza kiwango cha riba ya mikopo kwa vijana na wasanii kutoka asilimia 9 hadi asilimia 7. Makonda...
  5. JamiiForums Tanzania Makonda: Wasanii kulipwa Tsh. Bilioni 2 za Mirabaha Novemba

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa jumla ya Tsh. Bilioni 2 ziko tayari kutolewa kama gawio la ada za hakimiliki (copyright levy) kupitia COSOTA kwa wasanii nchini. Makonda ameeleza kuwa utaratibu wa maandalizi ya ugawaji wa fedha hizo unakamilishwa na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wasanii na Organisers: Miaka 30 ya Bongo Fleva.

    Kabla sijaenda moja kwa moja kwenye mada husika, tour zinazofuata naomba mzingatie yafuatayo: Gangster With Matatizo (GWM) waje waimbe – YAMENIKUTA Big Dog Pose(BDP) waje waimbe – MA-JOB-LESS Mwana FA usiache kuimba – Haina Fagio Fid Q usiache imba – Sihitaji Marafiki GK usiache imba – Tuko...
  7. JamiiForums Tanzania Hebu nikueleze jinsi wasanii wanavyojikuta wanaingizwa mishkaki makalioni bila kutarajia

    Hello! Wasanii nimewataja kama sample tu . Suala la hili linagusa makundi yote hasa yale yanayosaka pesa na umaarufu. Unapokwenda kwa mganga halisi kutafuta pesa mara nyingi atapigana upate umaarufu kwanza. Umaarufu katika biashara, muziki, kazi, huduma za kikanisa ndio huleta pesa. Kwa lugha...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wana habari na wasanii wamechangia kutufikisha hapa! Mtazama na Meli Tanzania

    Wana habari na wasanii wamechangia kutufikisha hapa! Mtazama na Meli Tanzania. Wanahabari wamebaki kuwa machawa na wasanii badala ya kufikiria kukuza biashara wanafikiria kuwa machawa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Danganya toto Kitambi anawataka wasanii wa kike wasikubali

    Huyu waziri malaya malaya ameanza kuita wasanii wa kike kila mtu anajua ni mtu wa kupenda kutishia ili kutoa nyegezi zake. Wasanii msikubali huu ujinga kisheria kama una kosa Polisi ndiyo wanatakiwa wakuite sio huyu waziri. Tunge nyamaza lakini sio lazima tuangalie wanawake kwenye jamii zetu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere awageukia Wasanii ambao hawakwenda kumfariji Rais Samia

    Steve Nyerere ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama ongea na Mwanao, amewageukia wasanii kutoenda Zanzibar kumfariji Rais Samia ilhali ndiyo kundi kubwa ambalo hushiriki kwenye kampeni na mikutano mbalimbali za Serikali "Nilitamani kuona pale wasanii nguli wameenda pale Zanzibar kumpa mama...
  11. JamiiForums Tanzania Wasanii wamfariji Rais Samia baada ya msiba

    Wasanii mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri unaita wasanii na watu mashuhuri unagawa 50,000? What a shame

    Katambi hizo 50,000 si muingize kwenye Mikopo kwa Vijana ? Nani aliekupa hiyo idea ya kuwagawia wasanii na influencer 50,000 ? Hivi CCM mna pesa za kuchezea sana ee
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wasanii walioitwa na Katambi leo wamesamehewa bado Anko T na Niffer ambao hawakufika

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema wasanii na watu maarufu waliotikia wito wa kwenda kwenye kikao nae wamesamehewa makosa mbalimbali waliyokuwa nayo huku Jeniffer Jovin na Twalibu Bakari Anko T kutosamehewa kutokana na kutofika katika kikao hicho. Katambi amesema hayo...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Taja wasanii waliokuwa wanatenbelea nyota za wasanii wengine/wakubwa. kwa sasa wapo kama hawapo

    kuna wasanii kwenye mziki, filamu etc walikuwa wanatenbelea nyota za wasanii wengine lakini kwa sasa ni kama washakufa. Mfano Ben kwa kanumba Kr mullah kwa wanaume tmk na wengine. Je hii inatufunza nini? Tunapopata shavu ya kutembelea nyota za wengine ni muhimu kujifunza pia ili kuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania CivilianCoin: WAJIBU wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Wasanii.

    Wajibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa wasanii unajikita katika kusimamia ulinzi na usalama wao, kuratibu vibali vya ukaazi na kazi kwa wasanii wa kigeni, na kusajili vyama au mashirikisho yao ya sanaa. Tofauti na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambayo inashughulika na...
  16. JamiiForums Tanzania BASATA: Wasanii na Wadau wa Sanaa wahuishe vibali vyao kabla ya Septemba 3, 2026

    Kwa mujibu wa Kanuni ya 18 (1) na (2) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, Tangazo la Serikali Na. 137 la Tarehe 22 Mei, 2026 linapa Mamlaka Baraza la Sanaa la Taifa kurasimisha Wasanii na Wadau wa Sanaa pamoja na kutoa vibali vya kufanya shughuli zote za Sanaa hapa nchini. Ifuatayo ni orodha...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa kuungwa mkono na kanisa CHADEMA yageuka na kuwatukana Waandishi wa Habari na wasanii

    Friends and our enemies Hakika muda ni kitu pekee ambacho kinaweza kutoa majibu ya uhakika. Chadema siku zote imekuwa inakimbilia kwa kanisa kwenda kupeleka taarifa za uongo na chuki ili kutengeneza mpasuko na uvunjifu wa amani nchini. Lakini kama tujuavyo njia ya mwongo ni fupi,hila na uongo...
  18. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Kikundi cha 'Twendeni Art Group' Walalamikia Kubomolewa kwa Mabanda Yao Mwanza

    Wasanii wanaojishughulisha na kazi za sanaa kupitia kikundi cha Twendeni Art Group jijini Mwanza wameonyesha kusikitishwa kwao na kitendo cha mabanda yao ya kufanyia kazi kubomolewa ghafla bila kupewa muda wa kutosha au taarifa za kuridhisha. Kauli ya Kiongozi wa Kikundi (Isaac Ibrahimu...
  19. JamiiForums Tanzania Wasanii wengi wa Hip Hop wanafanya muziki ambao hauna impact yoyote

    Kwa upande wa Hip Hop, imekuwa ni kawaida sana kukuta msanii ana zaidi ya miaka 20 kwenye game, lakini ukichunguza vizuri utakuta ngoma iliyompa heshima ndiyo ileile iliyomtoa kwenye game. Baada ya hapo hajawahi tena kutengeneza ngoma iliyofikia kiwango kilekile. Yaani unakuta msanii kila...
  20. O

    JamiiForums Tanzania sishangai watu maarufu kwenye jukwaa hasa hawa verified member kuwa chawa hawana tofauti na wasanii

    Hauna haki ya kuwa chawa ni kujikosesha heshima tu, hamlipwi mnashinikizwa sababu mnafahamika. mtu kama Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli n.k Ni case study hawana namna . kama mimi nilivyoenda ikulu nikakuta darasa la viongozi yule mama anawafundisha yeye ni mwema na alivyoniona mgeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…