wasabato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Roman Catholic inajitahidi kwenye nidhamu ya fedha na usimamizi wa miradi. Kwingine kuanzia BAKWATA, Wasabato, KKKT, walokole, n.k. kunanuka ufisadi

    Imekuwa kawaida sana kusikia migogoro, ubadhilifu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya taasisi za kidini. Lakini ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema hadharani ni kwamba baadhi ya taasisi hizi zimegeuka kuwa vijiwe vya kunufaisha wachache chini ya mwavuli wa imani. Kwa upande wa...
  2. Wasabato wa Adventista na wasababto wana matengenezo ni wasabato wapi wenye kweli ya Mungu?

    Uhakika ni kwamba kande lipo tiyari kwa ajiri ya maandalizi ya sabato hapo kesho. Mkiwa katika shamrashamra za kuipokea Sabato Takatifu naombeni mtuweke wazi leo hii. Kwa miaka kazaa katika kujifunza kwangu maswali ya imani (Dini) Nimekutana na madhehebu mengi mnayofanana kama Mashahidi wa...
  3. Ipigwe mechi ya mpira kati ya Wakatoliki na Wasabato ili kuleta mshikamano

    Tunahitaji kuona makundi ya kijamii yenye mitazamo tofauti yakionyesha mshikamano na undugu pia. Tunahitaji mechi zifuatazo; 1. Wasabato vs Wakatoliki 2. CCM vs CHADEMA 3. Maustaadh vs Wamiliki wa mabucha ya kitimoto 4. Wives vs Sidechicks 5. Sukuma Gang vs Msoga gang 6. Walokole vs Wanywa...
  4. B

    Kwa Wasabato; Kwanini mnatumia kalenda ya Wakatoliki, Warumi kuhesabu siku za ikiwemo kutambua siku ya Sabato? Kalenda ni sahihi kwenu?

    Wadau naomba ushauri wenu kuhusu hoja husika. Msimamo wa wasabato kanisa katoliki ni alama ya ant Christ kwa mujibu wa the book of revelation. Sasa inakuwaje kalenda yao wakatoliki na Warumi iwe sahihi na waitumie kujua kuwa Sabato ni siku fulani?
  5. B

    Kwa wasabato; Je, Wakristo waliouawa na kuteswa kikatili na dola ya Warumi karne ya 2, 3 na 4 walikuwa wa dhehebu gani?

    Habarini wapendwa wote. Moderator naomba sana uzi huu uwe huru tafadhali Ni swali la msingi la kuweka sawa kumbukumbu za kihistoria
  6. Kazi ya wasabato ni kushika tu sabato au kuongoza watu kufanya haki kwa muujibu wa unabii ?

    Kazi ya wasabato ni kushika tu sabato au kuongoza watu kufanya haki kwa muujibu wa unabii ? watu wamekufa na kuibiwa haki zao wasabato mbona hamuongelei hili suala? Mimi naweka unabii hapa wa siku za mwisho, kama wasabato ni watu wa mungu na hawaongozi watu kufanya haki hawastahili kuingia...
  7. M

    Waumini wa Mashahidi wa Yehova, Wasabato na makanisa mengi ya kilokole wanaona aibu jinsi makanisa yao yalivyo kimya

    Wahenga walisema hata saa mbovu kuna muda husema kweli. Haya yasingetokea waumini wengi sana wasingejua upande wa makanisa yao
  8. Maandamano yasiyo na ajenda ni Wizi na Uhaini. TEC, CCT BAKWATA, WALOKOLE na WASABATO wakemee

    Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi. Maandamano yasiyo na ajenda, yasiyo na kiongozi ni kujaribu kutaka kuleta uasi bila sababu. Maandamano lazima yawe na ajenda na...
  9. C

    Wasabato mlituumiza sana mlipotuaminisha nyama ni mbaya ila nafaka ni nzuri

    Kwa muda mrefu wasabato wamekuwa wakifundisha kuhusu ulaji wa vyakula ambavyo wao waliviita bora huku wakinukuu mafungu ya kitabu cha Daniel ambaye alikataa chakula cha kifalme na akaomba apewe mtama. Wasabato awali wakatafsiri mtama kuwa ni chakula cha nafaka chote na walimu wao wengine hadi...
  10. D

    Kwa Wasabato tu na wenye Fikra Huru

    Wapenda katika bwana salam kwa jina la bwana wetu yesu kristo!! Ukihisi hujakua kihisia, au huwezi kushkilia Mihemko, au re avaluate mapokeo yako Logically tafadhali pita nimelileta kwenu kwasababu binafsi limenishinda!! Nimekuwa na mwanafunzi wa Bible kwa muda sasa karibu miaka mitano au...
  11. M

    Nje ya wasabato wanawake wakristo wengi wanavaa "Nusu uchi" wameacha kuiga mfano wa mavazi ya Bikira Maria

    Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k. Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni...
  12. C

    Swali kwa wasabato na wakatoliki kuhusu kuja kwa Yesu

    Katika waraka wa kitabu cha wathesalonike wa pili,sura ya pili msitari wa kwanza hadi wa nne,Paulo anazungumzia tukio linalotangula kuja kwa Yesu . Imesemwa siku hiyo haitakuja hadi yule mwasi ajiinuaye juu ya kila kitu kiitwacho Mungu afunuliwe.Naye ataketi katika hekalu la Bwana. Swali hapa ni...
  13. U

    Mwalimu Jeff Massawe adai waumini wa Kisabato wanalazimishwa na Kanisa kuamini fundisho la Utatu na kuwa Kanisa hilo sasa ni tawi la Katoliki

    Ni Kwa mujibu wa Mwalimu Jeff Massawe muinjilisti wa Kisabato ambaye ameasi na kufutwa ushirika na sasa ameanzisha huduma yake maeneo ya Dawasco Bunju. Anadai asili ya fundisho husika ni Kanisa Katoliki hivyo SDA sasa ni sehemu ya Kanisa la RC
  14. N

    Hawa ndugu zetu wasabato wasahau kutoboa kwenye biashara, Wakati wateja wengi wako sokoni Jumamosi, wao wamepumzika

    Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao wengine huamia maduka mengine. Kuwafungia duka wateja Jumamosi ni kama kusema “hatuwahitaji”, Na...
  15. U

    Ndugu wapendwa Wasabato naomba leteni ushahidi kamili kupinga hoja kuwa Roho ya mwanadamu ina yo hali ya kutokufa au inayo hali ya kuishi milele

    Njooni na Ushahidi kamili Maandiko yaani Biblia na siyo maelezo kuthibitisha kuwa ROHO ya mwanadamu Haina hali ya kuishi Milele au Haina hali Kutokufa
  16. U

    Baada ya kumaliza mahubiri Mchungaji kuagfiza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ?

    Mchungaji kuuliza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ? Wadau hili ni kwenye Ibada ya. Sabato Kanisa la Wasabato Salasala SDA wiki mbili zimeisha Kwenye Ibada hiyo somo Mkuu ni kuwa Yesu ni Mungu Mkuu bila kujali kama...
  17. W

    Mafundisho ya kisabato yanadumaza mafanikio, utajiri, umaarifu, ni ngumu sana kuwakuta wasabato wenye mafanikio makubwa.

    Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi wao katika ngazi za juu za maamuzi na ushawishi kama vile siasa, uchumi, mfumo wa utawala...
  18. Rais wetu SSH - Waadventista wasabato nchini tukuombe shughuli za uchaguzi zisiwe siku ya Sabato

    Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu. Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo. Tunakupenda sana.
  19. Yanga tunaomba Wasabato mashabiki wachinjiwe ng'ombe, ngamia ni haramu kwa Wasabato.

    Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…