Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini.
Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili.
Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje.
Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele.
Keshokutwa...
Prof. Suleiman au Solomon alisema hivi 👇👇👇
CHADEMA na wapinzani wana sifa ya kuitwa wajinga, tena wajinga sana. Maana kuna vitu ambavyo hata ukitumia akili ya Darasa la 3 tu unajua hiki kitu ni uongo kwa 100% lakini wao wanameza kama kilivyo.
Jumapili njema.
Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani.
Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani.
Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule...
Ukienda kila kwenye account ya social media ya vichwa wa CHADEMA wanajifanya kuchambua athari za nchi kuuza dhahabu.
Ukiwauliza maswali madogo madogo tu hawana majibu.
. Hawajui Tanzania tuna reserve ya dhahabu kiasi gani.
.Hawajui malengo ya Tanzania kuhifadhi dhahabu ni yapi.
.Hawajui kuwa...
Nenda mtaani uliza ni chama gani kikubwa cha upinzani Tanzania utajibiwa ni CHADEMA.
Uliza tena ni ipi sera yao kubwa kwa sasa, huwezi kupata jibu.
Unfortunately hata ukiuliza kwa member na viongozi wa CHADEMA kuwa sera kubwa ya chama chenu ni nini hawana majibu.
Wiki iliyopita Trump...
Kuanzia Agosti mpaka October 29 2025 CHADEMA na upinzani baada ya kususia uchaguzi na kuona kuwa mbinu hiyo haitaleta tija kwao wakaja na mbinu ya kuhamasisha vurugu kali.
Waliorganize vizuri tena kwa muda mwingi.
Uharibifu uliofanyika tarehe 29 na tarehe 30 haukuwa bahati mbaya. Huwezi...
J.K. Rowling, mwandishi mashuhuri wa Uingereza, mtayarishaji wa filamu na mwandishi wa skrini, anayejulikana duniani kote kupitia mfululizo wa vitabu vya Harry Potter, anazungumzia kwa msimamo dhana ya ushindani wa kisiasa. Anasisitiza kuwa siasa za kidemokrasia lazima zijengwe juu ya mjadala wa...
Automatically upinzani umejifuta wenyewe.
Kitendo cha wapinzani kuleta vurugu kwa makusudi kisha waishitaki nchi nje wapate kusaidiwa kuitoa CCM madarakani ni kama vile mtu ashike kisu kwenye makalio kwa mkono wake wa kushoto halafu atumie mkono wake wa kulia kushika mpini na kujipoka yeye...
Kosa kubwa la Wakosoaji na Wapinzani wanalofanya ni kujaribu kuua nchi ya Tanzania na sii kuitunza kwa kigezo cha ukosoaji
Kumbukeni kuwa nchi ya Tanzania haina tofauti na ziwa la mama zenu waliowazaa
Mtakapojaribu kuua ziwa la mama zenu Tanzania nanyi mtakufa pia
Tanzania ndiyo nchi...
Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba.
Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya.
Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine.
Sasa mjinga...
Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha Chama Cha Mapinduzi CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila wanapoadhibiwa
Nimefuatilia historia ya CCM ya zaidi ya miaka thelathini iliyopita
Niligundua jambo moja kubwa sana
Tangu mfumo wa...
Unajua watu wazima wanaziba ufa kwa kusema UONGO,wanayoiharibu inchi ni CCM na serikali kwa ujumla,hivi hakuna mtu asiyejua chanzo cha haya matatizo ni mama kujipitisha kugombea peke yake na tume ya uchaguzi ya mchongo.
Kama uchaguzi ungekuwa huru na haki kuna mtu yeyote angeingia barabarani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tume ya Uchunguzi ya masuala ya vurugu za uchaguzi haitachunguza tu matukio ya uvunjifu wa amani, bali pia kauli na matamshi yaliyotolewa na baadhi ya vyama vya upinzani kabla na wakati wa uchaguzi.
Amesema hatua hiyo...
Maono mafupi kimo cha mbilikimo ni jambo hatari sana.. Maono ya kuona mwisho wa macho yako ambayo ni sawa na sekunde 15 mbele!
Hakuna mmea hatari majini kama gugumaji.. Kuliangamiza hili gugu hakuhitaji nguvu bali akili kubwa muda na uwekezaji wa kueleweka.. Maana unapoliona limechomoza juu jua...
Viongozi wa upinzani wote Tanzania ni mamruki wa ccm wanalipwa kufanya maigizo ndiyo maana hawadhuriki kwenye maandamano na familia zao kwa serikali inagharamia kila kitu ikiwemo kuwalipa wanapokaa ndani na kuhudumia famialia zao.
Hiyo ya kukamatwa mara kwa mara ni geresha kuwapumbaza...
Wakuu,
Hio ni Kauli ya Rais mstaafu wa Marekani Bwana Barack Obama akingumzia Demokasia mwaka 2018 alipokuwa Afrika kUsini.
Imesambaa tena hasa baada ya taarifa za uchaguzi Ushindi wa kimaajabu wa Rais Samia kuenea duniani.
"We have to stop pretending that countries that just hold an election...
Makosa kwa CCM-Mama Samia: Wapinzani sasa ni Mamilioni ya Wananchi na sio vyama tena!
Yaani walivyo wazito kuelewa bado wanahangaika kuwashika Heche na Lissu bila kujua kwamba wamesha chelewa tena sana. Elimu tayari imeingia Wananchi wa kawaida kuhusu HAKI na bahati mbaya uzembe wa serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.