wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtutura: Mbolea ya Ruzuku haiwafikii wananchi, fedha zinazotengwa zinakwenda wapi?

    Waziri Kivuli wa Kilimo, Umwagiliaji na Maendeleo ya Ushirika, Ndugu Mtutura Abdallah Mtutura, ameitaka Serikali ieleze fedha za ruzuku zimepelekwa wapi ikiwa wakulima milioni 2.55 sawa na asilimia 75 ya wakulima waliosajiliwa katika mpango wa ruzuku hawakupata wala kutumia mbolea hiyo licha...
  2. JamiiForums Tanzania Wapi pa kurekebisha Thamani hii?

    Wakuu habari za majukumu.Mtaalam àmenipa hii draft ya ramani.Naomba Maombi wapi pa kurekebisha.Niayangu ni Nyumba ya Vyumba 4 Vyote Self,inaweza kutumika Kijijini lakini watu wakiondoka inakodishwa kama AirBnB/Apartment Kwa anayehitaji. Ahsante
  3. JamiiForums Tanzania Sauda Mwilima Yuko wapi?

    Huyu mtangazaji Sauda Mwilima Kama sijakosea jina Yuko wapi siku hizi?.Alikuwa anakipindi star tv,akiwahoji wasanii mbalimbali wa mziki.
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Sukari inauzwa madukani Tukuyu ikiwa haina maandiko yoyote, haija ‘expire date’ wala utambulisho kuwa inatoka wapi

    Kwenu TBS naomba kujua ni halali kuuza sukari iliyowekwa kwenye mifuko Tena ya kilo Moja haioneshi imetoka wapi Wala Haina expire date. Hii ipo Tukuyu maeneo ya Kiwira, KKK, Tukuyu mjini, sasa je usalama wa bidhaa hiyo kwa mlaji ukoje? Jamani fuatilieni watu wajue wanatumi bidhaa ya namba Gani.
  5. JamiiForums Tanzania Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

    Wakuu kwema? Mimi nina swali dogo sana. Watu hua wanasali sala gani au wanafanya nini mpka wanapata wapenzi wenye mapenzi ya dhati na wametulia?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chadema Wamepata wapi pesa za Kufanya mikutano na maandamano Nchi nzima kuzidi Chama Tawala?

    Nimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wananchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana. Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga. Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi mnapata wapi ujasiri wa kuoa mke mwenye mshahara?

    Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi? Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah Nyie si ndio mnasogezewa maji ya kunawa kwa mguu🤣🤣🤣 Kama kusaididiana mbona kasi ya maendeleo kati ya familia zenu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Wajasirimali viliishiaga wapi?

    Hivi vile vitambulisho vya wauza madafu (wajasiriamali) viliishiaga wapi? eti TSH 20,000/=?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hujaoga wiki nzima kwasababu ya mgao wa maji unatoa wapi nguvu ya kusifia viongozi mtanzania mwenzangu ?

    Na hata nguo zenyewe umerudia bila kuifua basi ni tafrani tupu
  10. JamiiForums Tanzania Musa Hussein yuko wapi?

    Yuko wapi huyu mwamba alifanya jahazi kuwa kipindi kizuri sana ni muda sijapata kumsikia popote pale.. Je alikuwepo kwenye msiba wa G??
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa location, Huu ni mtaa wa wapi?

  12. JamiiForums Tanzania Watoto wa maskini waende wapi kuenjoy?

    Jana nilienda coco, parking fees imehamia hadi kwenye boda, Tena Kuna watu Kama wawili sijui ni maaskari wake, maana wako na redio calls kabisa,ni mi wakali balaa. Zamani kulikuwa na jamaa ukitaka Unaenda kupaki kwake na Kama hutaki utajua mwenyewe, kakae na pikipiki yako Kama ni takwa la...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tumekosea wapi ? Na nini kifanyike baada ya mvua hizi?

    Tangu January Hadi katikati ya mwezi huu( April) tumekuwa tukisikia na kushuhudia mvua kubwa zikinyesha Kwa baadhi ya mikoa nchini Tanzania. Kwa mtazamo wangu haya ni matokeo ya ubinafsi wetu juu ya mazingira yanayotuzunguka. Wiki Moja iliyopita niliongea na mdau mmoja ambaye Yuko mkoani Mbeya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

    Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka. Natanguliza shukurani.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa vya Upinzani vipo wapi?

    Vimekwenda au kupotelea wapi? Yale majigambo na vishindo vya mikutano na maandamano hatuvioni tena? nauliza tu vipi vipooo? Hata vinara wao hatuwasikii kwenye mahojiano hakuna muendelezo wa mbinu na mikakati ,imekuwa kama hawapo. Hii ni 2024 tunahesabu miezi tu, au wanasubiri kesho uchaguzi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kijana wangu amepata kazi Shirika la Good Neighbors na Halmashauri, aende wapi?

    Ni kitinda mimba wangu. Amepata kazi Serikalini kwenye Halmashauri moja Mkoani Shinyanga na pia kwenye Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Mishahara ni kama inalingana, aende wapi? Naomba ushauri wapendwa.
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Baltika imeenda wapi jamani?

    Hi! Kinywaji niliwahi ipenda sana, hasa nikiwa na drive safari ndefu. Majuzi nikajaribu kuulizia mkata hola yale ma hotel barabaran hola. Nikaenda Liverpool, hii, wakasema atuuxi pombe, nikasema n energy, sema kama hamna, ala. Nimerudi Dar naangalia Simba vs Yanga kha hamna. Mlioificha anaawaona.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya umeme na electronic vya hospitali vinafanyiwa maintanance na repair wapi?

    Habari ndugu zangu kwa wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya .je vifaa kama xray, ct scan ,ultrasound machine zinapoharibika huwa zinapelekwa wapi kufanyiwa matengenezo?
  19. JamiiForums Tanzania Pesa uzalishwa wapi ?

    Pesa au fedha Uzalishwa wapi?? Pesa ni chombo cha kubadilishana bidhaa na huduma katika ya watu. Katika lugha ya kiswahili. Chombo hicho kina majina kaza wa kaza Fedha, mshiko, chapaa, na mengine mengi Baada ya kutafuta taarifa kwa kina hatimaye nimepata majibu ambayo wengi pia wanaweza kuwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada hii dawa naweza ipata wapi? Kwa hapa Dar na inauzwa bei gani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…