Unajua kuna vitu vinashangaza sana, kwanini mtu uwe mnafki kiasi kwamba unajinafkia hadi wewe mwenyewe,
Jana katika kuranda randa kwangu hapa JF nikakutana na uzi wa Masai Dada anamuomba msamaha mpenzi wake Smart kwa kuandika uzi wa kusema kua anahisia na wanawake zaidi kuliko wanaume, (wait...