waomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini wanaume wanapenda watenda vituko kama MamaJ, na Ambarut unakuta waomba penzi kama 40 hivi

    Wana jf Wanawake wapenda vituko aubwanaofanya vituko vya kushtua ndio wanawaniwa sana na wanaume. Sasa unakuta aliyefanya na Fanta au milinda anatafutwa sana mbali na kufanya ufilauni usiovumilika. Kuna siku nilienda kumwona live MamaJ, uwezi amini mgahawa wake unajaa watu, alafu wanaomba namba...
  2. J

    Dar: Walemavu waliobomolea vibanda vya biashara waomba hifadhi UNHCR

    Watu wenye Ulemavu waliobomolewa vibanda vyao vya biashara katika Mkoa wa Dar es Salaam, wamepiga kambi usiku kucha nje ya Ofisi za Shirika la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) Masaki wakiomba hifadhi kwa madai ya kushindwa kusikilizwa na Viongozi wa Mkoa na Wilaya.
  3. Wamachinga waomba kukutana na Rais Samia

    Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma) limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan akutane nao kumweleze kero walizonazo ili ajue namna ya kuzifanyia kazi. Hayo yamesemwa leo Jumatano Oktoba 20, 2021 na Makamu Mwenyekiti wa wamachinga Taifa, Steven Lusinde wakati akitoa ufafanuzi kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…