Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi.
Tulipagana na jeshi la Ukoloni lenye silaha za kisasa tukalishinda tukiwa hatuna silaha wala mabuti na hizo kofia za kuzuia risasi hatuwezi kushindwa...
Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana.
Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa.
Mambo ya kuhesabu kura...
Salaam!
Waovu na wauwaji wote duniani ni waoga, narudia Tena ni waoga wasiojiamini.
Iweje changanoto ambayo inatatulika kwa kutumia akili, WEWE tutumie bunduki kwa asiye na bunduki?
Pamoja na vitisho vyote na kujipa vyeo vikubwa, kwanini huwa hawaji wao front, hutuma na kutanguliza wengine...
Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya...
Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga.
Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni'...
Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
Anaandika Mwandishi nguli wa habari kutokea EATV bwana Samson Charles
"Kwanini wanahabari (eti mnasema) tulionekana waoga?
NA SAMSON CHARLES
UZOEFU WA TASNIA YA HABARI MIAKA 15.
Jibu ni rahisi sana.
- Je, wewe ulipoambiwa mwisho wa kuonekana nje ni Jumatano saa 12 kamili jioni ulionekana?
-...
BAADA YA KUKIMBIA NCHI NDIO WANAWADANGANYA WAJINGA WAWE TAYARI KUFA
Roma mkatoliki alishikiliwa siku moja tu akakimbia nchi leo anawaambia msiogope kufa kuandamana kwenda maandamano yaliyopigwa marufuku na polisi
Ukiwaambia njooni na nyie tukazuie uchaguzi pamoja wanakwambia wanaogopa ila...
Habarini ndugu zangu wana JF, jana nikiwa naburudika bar ukazuka mjadala wa walevi kuhusu no reforms no election
Kinachosikitisha asilimia kubwa ya wadau waliochangia hoja wanadai hizo reforms hazina msaada wowote kwa raia wa kawaida zaidi zaidi ni janja janja ya Tundu Lissu kujipatia urais...
Comedians wote ni CCM, bongo movie wote ni CCM,wasanii wa muziki wote ni CCM, wachezaji wa Mpira wote ni CCM makundi yote haya ni nadra kuyasikia yakikosoa mambo mabaya yonayofanywa na CCM.
Masanii haya yakikaa mbele ya media utasikia Sisi ni kioo cha jamii sijui wanamaanisha jamii ipi?jamii...
Eti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote eti tutachukuliwa kipindi hiko tukae kimya aisee hii nchi inasikitisha Sana yaani uelewa uko chini ya...
Nimeona mbunge mmoja wa Kenya anasema Tanzania mtu akidhulumiwa haki zake au akionewa atakaa kimya au atakimbilia mitandaoni tena kwa ID za kificho kutoa malalamiko yake.
Hii kauli inafikirisha ukiangalia jinsi mtandaoni watu kupitia ID za kificho(anonymous) walivyo wengi na wenye moto na...
Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !.
Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni .
hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani".
Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa...
Ukiwasikia wanavyojitapa hadharani utadhani ni chama kilichojaa watu mahiri na jasiri, lakini ni chama kilichojaa watu waoga kupindukia.
Sheria wanazotunga nyingi zake ni kwa ajili ya kujihami na kuhami madaraka yao kiharamu.
Hizi sarakasi zote za kutokuwa na Tume huru ya uchaguzi na...
…naona wote mpo busy na msiba wa Papa, lakini hamjui kinachoendelea Tunisia 🇹🇳…
Tunisia 🇹🇳 kuna Rais mwendawazimu anayeitwa Kaïs Saïd, Dikteta zaidi ya Kambare…
Huyu jamaa anamiliki serikali, Bunge na Mahakama zote nchini humo…
Juzi, kawahukumu viongozi wa upinzani, mawakili wao...
Great Thinkers.
Nadhani pakitokea ranks za raia waoga dhidi ya watawala wabidhilifu Tanzania na Uganda lazima tushike seat ya mbele.
Kinachotupoanza kikubwa ni unafiki imefika mahali hadi dini zinatumika kutetea ujinga, mimi.siyo mdini lakini itoshe kusema waislamu ni binadamu wanafiki kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.