wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Walitaka kumuonyesha Mange kuwa maandamano yanaweza kudhibitiwa, wakasahau ICC wataenda wao na si Mange

    Yaani hawa watu kwa ujinga na ulevi wa madaraka, walitaka kumuonyesha Mange kuwa maandamano anayoyahamasisha wanaweza kuyazima na kwamba serikali haiwezi kupinduliwa kwa njia ya maandamano. Hata hivyo, walisahau kuwa Mange hatasimama katika Mahakama ya ICC kujibu tuhuma yoyote ya mauji bali ni...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wametakiwa waheshimu na kulinda amani. Lakini viongozi walioko madarakani wao wanavunja katiba na sheria haki za kibinadamu.

    Amani imetafsiliwa na viongozi walioko madarakani ni. ▪︎ kutokuwepo kwa migomo au maandamano ya kupinga ama kukataa jambo lolote. Iwe kwa watumishi wafanyakazi,wafanya biashara na wakulima. ▪︎ kutokuwepo kwa mawazo au fikra huru tofauti wala kuhoji kosoaji jambo lolote. ▪︎ kutokuwepo kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ona unafiki wa hawa Maayatollah na wizi wao kwa kutumia dini

    Hii ni picha ya kaburi la ayatollah Ruhollah Khomeini lillilogharimu takriban dola bilioni mbili. Halafu wanakwambia kuwa hakuna shirk wala kuabudia sana au kufanya israfu au matumizi mabaya. Hii kama siyo israfu na shirk ni nini jamani? Hicho ndicho kitovu cha jengo lote hilo. Waislam...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hamjagundua ofisi za kusifia "mama", mkubwa wao anapelekwa nje?

    Baada ya kutolewa ndani ya ofisi za Rais na sasa anapelekwa nchi fulani. Tokea kutangazwa mshajiuliza wale chawa waliokuwa kila kona kumtetea mama na serikali yake kama wamezimika sasa na kuendelea kupungua. Bado hamjashtuka tu huyu bwana mapete ndio mwenye hiyo taasisi.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je kuwaonea wivu Venezuela ni sawa! Utawala wao kama wetu tu

    Je kuwaonea wivu Venezuela ni sawa! Utawala wao kama wetu tu? Mimi ni bora tungekuwa kama Venezuela na kujenga nchi upya ya kidemokrasia kuliko kutawaliwa na watu kama tulionao na udikiteta wa kijinga jinga. Wizi na ufisadi , udini uliojaa , uzanzibari na ubara , utekaji na wizi wa kura. Ni...
  6. JamiiForums Tanzania Video Wananchi wa Venezuela Wakishangilia kukamatwa kwa Raisi wao na Marekani

  7. JamiiForums Tanzania Orodha ya vijana na kiasi wanachomiliki na umri wao

    Wewe unamiliki kiasi gani mkuu utupe insparation. NB majina sio halisi
  8. JamiiForums Tanzania Wahuni walimpachika 'Rais Urais ', wamemficha, na wao ndio wanaendesha Nchi !!Huu Utekaji na Mauaji ya Raia mmoja Mmoja yanayoendelea umekithiri

    Kwa Huu Utekaji na Mauaji yanayoendelea Nchini . Lazima utakubaliana namm kwamba, Mauaji ya Raia Okt 29, yalikua yamepangwa tu yaan ilikua lazima Samia apachikwe Urais. Akina nani hawa walioko nyuma ya huo Mpango?. H POLEPOLE Alitutajia Wahuni, ambao Kwa Sasa Mkono wao wa Rushwa umetafuta...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hakuwezi kufanya mageuzi ya polisi maana ukatili wao polisi ndio unaowawekaCCM na watu wao madarakani

    Simbachawene analeta usanii. Yuko pale kwa vile polisi ni makatili. unadhani ataweza kufanya reforms? BILA pressure ya wananchi na external pressure hakuna kitu! Time will tell!
  10. JamiiForums Tanzania Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa

    Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa. Hii inaenda kuandika historia tofauti Tanzania kuna watu hawatakuwa wastaafu kwa mauwaji waliyo yafanya ni wahalifu na magaidi hatutawaacha.
  11. JamiiForums Tanzania Tunakoelekea: Kama viongozi wa dini hawasikilizwi na waumini wao, basi viongozi wa kisiasa wajiandae kisaikolojia

    Hamjambo wote! 1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI, Je ni HAKI, je Kina Ufahamu, maarifa na Akili, na mwisho kina UPENDO? 2. Jambo Hilo ndilo...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sidhani kama kuna Mtanzania ambae aliumizwa atawasamehe askari Polisi. Ipo siku hata misiba yao watajizika wao peke yao

    Hakuna mtu anayepinga kuwa kulitokea uhalifu kipindi watu wanaukataa utawala wa Rais Samia ile oktoba 29. Lakini swali la msingi je hawa wahalifu walikuwa na siraha za kivita? Shoot to kill ikatokea na watu wengi wakapoteza maisha. Polisi wamechukiwa na wameonekana hawana mioyo ya kibinadamu...
  13. JamiiForums Tanzania Masheikh wanaokataza waumini wao Waislamu kusherehekea Christmas katika nchi kama Tanzania hawafikiri vyema na wana matatizo.

    Sikukuu ya Christmas mwaka huu imekuja na jambo la ajabu na la hovyo sana la masheikh wengi kuharamisha katika umma kupitia vyombo vya habari kwa ukubwa sana waumini wa Kiislamu kutoshiriki Christmas na Wakristo, hawa masheikh kwa vyovyote vile sidhani kama wanaelewa wanachokifanya na kwa hakika...
  14. JamiiForums Tanzania Redcross wasema watu hawataandamana tena. Watadili na mtu wao wanavyojua

    Wanyonge msiumie nyoyo zenyu. Huyu mtu hatutamuacha aingie kuzimu kwa amani. Red Cross wasema lazima alipie. Yeye ajifiche awezavyo wala hiyo haimsaidii hehehee. Yule jamaa wa Baharini. Mzee wa supu ya ngisi anapasha kiporo walahi. Mwambieni kama kufa Kila mtu atakufa asiogope mayii. Siku...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mauwaji ya Oktoba 29: wagombea wachunguzwe historia ya ubinadamu wao.

    Wajumbe. Ubinadamu kazi. Na kila mwanadamu anapita njia nyingi sana katika makuzi yake. Ipo dhana moja muhimu sana. Dhana ya utimamu wa kihisia. Hisia za mwanadamu huwa na athari chanya au hasi katika akili yake. Mathalan, mwanadamu ambae enzi za utoto wake alikulia katika familia zenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaharakati wanajali usalama wao bila kuthamini usalama wetu?

    Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ? Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki...
  17. JamiiForums Tanzania Wasira alisema CCM ilisimamisha mgombea wao lakini wanachama wa CHADEMA wakawa wanatukanana kwa siku 31 badala ya kuchagua mgombea wao

    Wasira alisema CCM ilifanya uchaguzi wa mgombea wao na wakafanikiwa kumpata na kumsimamisha huku wakiwa wanasubiri mgombea wa CHADEMA Badala yake CHADEMA haikupeleka mgombea wake ilikuwa ikitukanana kwa muda wa siku 31 Ilikuwa ikimtukana Mbowe na Wasira akashangaa sana kuona nguvu yao ya...
  18. JamiiForums Tanzania Wazungu mnaowaamini sana uhuni walianza wao, ninyi mmejifunza kwao, msiwape siri za nchi yenu kwasababu watazitumia vibaya

    Kosa kubwa Waafrika wanalofanya ni kuwaamini sana Wazungu kiasi cha kuwapa siri za nchi zao Uhuni walianza Wazungu enzi za Ukoloni, uhuni mlio nao ni mdogo sana mliojifunza kwao huku mkubwa wakibaki nao wao wakiutumia kuiba mali zenu kuwafundisha ufiraji na kuua nchi zenu Jifunzeni kutatua...
  19. JamiiForums Tanzania Msimu wa sikukuu wafuatao ndio muda wao sasa

    Msimu wa sikukuu ndio kipindi cha watu kupata mapato mengi ukilinganisha na miezi mingine. 1 Huduma za Usafiri na sheli. 2. Masokoni, minadani, maduka makubwa na wauza nguo. 3. Wauza vileo, kumbi za starehe, Wasanii(Hapana wafanye kazi kwanza) na wauzaji wa vyakula vizuri. Kama hujatunza Pesa...
  20. JamiiForums Tanzania Picha mbili zinaelezea kwanini kwa sasa wao ni bora kuliko sisi

    Picha ya kwanza ( Sisi) Vitambi vya maana- Hii ni ishara ya mtu asiyejali mwili wake na kuendekeza kula na kulala. NI ishara ya mtu mvivu ambaye haumizi kichwa chake kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili ila anayeendekeza njaa na shibe ya tumbo tu. Picha ya pili (Wao) Miili nadhifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…