AGNES MARWA AWAHASA WAZAZI KUSEMA NA VIJANA WAO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Mathew Marwa, ametoa wito kwa wazazi nchini kuchukua jukumu la moja kwa moja katika kuwaelekeza na kuzungumza na watoto wao, hususan vijana, kuhusu umuhimu wa uzalendo, nidhamu, na kujiepusha na...