wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Vipi unapofanya kazi ofisini na mavazi na sura zao na uchangamfu wao hawa wadada.

    Nimeshindwa imebidi niwe nafanya kazi za nje tu ,siwezi siwezi siwezi ,nafukuzwa maana uvumilivu kusema kweli sinao ,wote nawaona warembo. Sijui wenzangu mnawezaje kuwepo maofisini na kufanya kazi kwa ufanisi.
  2. B

    Heko CCM: Wao wakifarakana, wewe kandamiza hapo hapo!

    Hasira za nini ndugu zangu? Badala ya kupambana nao tumegeukiana sisi kwa sisi. Majibu ya awali: 1. Mikataba 3 na wale ndugu, kwishney. 2. Konda boy ndani ya nyumba. Na Bado! Ama kweli tunapoendelea kujitafuta, mwana mikakati wao apewe sifa. Hizo ndiyo siasa za kiutu uzima. Wao ni kutu zoom...
  3. Kwanini bado wazazi waliofanikiwa kibiashara ni waoga kuwashirikisha, kuwaamini na kuwatumia watoto wao kuendeleza miradi yao ?

    Nashangaa kuona bado hizi fikra za kale zinaendelea "kila mtu ajitafutie cha kwake", mtoto wa mfanyabiashara anafika miaka 23 hana utofauti na watoto wa mwalimu, yani hajui kitu kuhusu biashara kiasi kwamba hata akimaliza chuo anafikiria mshahara, hata akikosa ajira mzazi kwenye account ana...
  4. Kuna wazazi wanawaandaa watoto wao kuwa watumwa katika hii nchi. Mtoto anamaliza darasa la 7 hata wiki haiishi anapelekwa kusoma pre form one.

    Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu. Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu. Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi . Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo. Zamani...
  5. Wakati Rwanda na Saudi Arabia wako 'busy' kujitangaza Kiutalii AFL wenyeji wao wanabung'aa bung'aa tu!

    Asanteni sana marafiki zangu mlioko South Africa, Uganda, Uingereza, Ufaransa, Marekani, China, Germany, Israel na Sweden mlioniuliza ni kwanini kila mkiingia karika kurasa za Mitandao kujua kuhusu hili Kombe jipya la African Football League (AFL) linaloanza Siku ya Ijumaa hapa Tanzania (Timu...
  6. Vijana watakiwa kuacha tabia ya kuwakimbia wagonjwa wao wanaowapeleka Hospitali ya Mwananyamala

    Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Dar es Salaam umetembelea Hospitali ya Mwananyamala Jijini hapo kuwajulia hali wagonjwa mbalimbali, leo Oktoba 14, 2023 ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999. Msafara huo ulioongozwa na Sheikh Ally...
  7. Costco Shoppers yashtakiwa ikidaiwa kuingilia taarifa za wateja wao na kuzituma Meta kwa nia ya matangazo

    Katika nyaraka zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Shirikisho ya Seattle zinadai Costco Shoppers inatumia Meta Pixel kwenye eneo la Huduma za Afya katika tovuti yake bila wateja kujua au kuridhia. Meta Pixel ni nyenzo ya Uchanganuzi inayoruhusu tovuti kufuatilia shughuli za wanaotembelea...
  8. Kwa mambo haya acha vijana wa sasa wadharau Mila za Wazazi na Wazee wao

    KWA MAMBO HAYA ACHA VIJANA WA SASA WADHARAU MILA ZA WAZAZI NA WAZEE WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wa sasa wanaonekana kama hawana maadili lakini ukilinganisha na wazazi au Mababu zao utakuja kugundua vijana wa sasa wana maadili kuliko wazazi na wazee wao. Taikon katika...
  9. Wao wakishinda magoli ya offside na nyie shindeni pia ya hivyo hivyo. Mambo ya kulalamika wakati wewe umeshindwa kutumia nafasi hayana maana

    Kitendo cha mashabiki wa Yanga kuanza kulalamikia bao la John Boko kuwa alikuwa offside naona ni kupotezeana muda tu, Boko kafanya home work yake iliyomfanya awe uwanjani na kaikamilisha na refa karuhusu kuwa ni goli halali makekele ya nini? Ukiona mwenzako anatumia mbinu za kimafia kushinda...
  10. Jinsi babu zetu walivyowapa majina watoto wao. Majina yao yalitoka moja kwa moja kwa Mungu muumbaji

    Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu. Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their...
  11. N

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania wanasemaje kuhusu mvua za El Nino?

    Weatherman wa Kenya wamesema kutokana na data za satelaiti, Mvua za El Nino zinazotarajiwa hazitakuwa kubwa kama ilivyotabiriwa hapo awali. Je, upande wa TMA wao data zao za satelaiti zinaonesha nini maana matangazo yao hayana ukweli bali pata potea. Tunaona halmashauri nyingi wapo busy...
  12. Kwanini 'Keyboard Warriors' wengi hasa wa hapa JamiiForums ukikutana nao hutoamini kuwa ndiyo Wao kwa jinsi walivyo?

    Kuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini. Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums...
  13. Ukweli ni huu watawala wametelekeza shule za umma. Kwa sababu watoto wao hawasomi huko

    Linapokuja swala la elimu nawakumbuka hayati Nyerere na Mkapa, hawa wakubwa walikuwa na dhamira ya kweli kuinua elimu ya Tanzania tofauti na awamu zingine........ Pamoja na katiba mpya kuna haja ya kudai elimu bora shule za umma kwa nguvu zote, Familia zenye uwezo mdogo zinaangamiza watoto kwa...
  14. Watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda kuwaza yaliyopita wala yajayo, wanaishi wakati uliopo kwa kuutendea haki

    In this life baada ya kusoma Kitabu cha The Power of Now by Echhart Tolle nimeelewa kuwa sisi kama binadamu huwa tunajidanganya sana kuhusu kuwaza mambo yajayo na yaliyopita. Honestly, hakuna hata siku moja mtu unaweza ukaamka uka-experience kuhusu future na past ila utaamka na ku-experience...
  15. Ripoti ya CAG, je jeshi la Polisi, TAKUKURU wanatimiza wajibu wao?

    Mdhibiti na mkaguzi wa fedha za umma amekuwa anatoa ripoti za ukaguzi wa matumizi na mapato ya serikali na matumizi ya serikali. Kila ripoti imejaa ushahidi tena wa kitaalam namna ambavyo fedha ya umma imetumika ama kuchezewa kupitia vote mbalimbali zilizopitishwa na Bunge. Jambo la kushangza...
  16. Z

    Bandari zetu; Nasikilizia lakini nauona udhaifu kwa wa-Zanzibari kwa waarabu

    Hili la Bandari, kuna watu wameamini ni vita ya kidini na wengine labda ubaguzi. Je, Umewahi kusikia mwafrika mweusi akiingia U-arabu? Yaani akafanya sherehe na kutangazwa rasmi kwamba leo kawa mwarabu? Yawezekana wa-Tangayika wengi wanaifahamu Z'bar ya pale mjini na hisia za wanasiasa kuwapiga...
  17. Wapo waliohitimu na ajira hawajapata, kazi nje ya utaalamu wao hawataki na hata kuiljiongeza hawapendi

    Hili ndilo kundi kubwa linaloibuka kwa kizazi hiki cha dot.com, kijana akishasoma na kuhitimu na bahati mbaya ajira ya fani yake ikachelewa kidogo huwa hajiongezi hata kidogo unfortunately linalofuata ni kukata tamaa na kuona serekali hii mbaya Sana labda lissu atakapokuwa rais nitapata ajira na...
  18. Wazazi acheni kulazimisha vijana wawatatulie changamoto zenu ambazo nyie mlishindwa kuzitatua kwa uzembe wenu

    Toka ujana wako wote mpaka unafikia umri huo hukujenga hata kichumba na kisebule eti unasubilia kijana wako uliemzaa asome kuanzia kindigate mpaka chuo, atafute ajira, ahangaike weee!! Ndo aje akujengee??? Aaahhh! Uzembe ulioje huo? Yaani wewe miaka yote ya ujana wako mpaka unazeeka ulishindwa...
  19. T

    Yanga wakati wanafanya usajili, Simba wao walikuwa Uturuki wanatengeneza shepu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwaaminisha watu kuwa Yanga ni timu dhaifu na kuwa ilishiriki kombe la Luza na hawataambulia chochote msimu huu. Mashabiki wa Makolo wanajaribu kutembea na historia kuliko uhalisia. Wanashindwa kuamini kabisa kuwa timu yao Kwa sasa haiwezi...
  20. Kwanini baadhi ya wazazi wa kikristo hawapendi watoto wao kuanza kunywa pombe ?

    Kijana kamaliza form 4 yupo likizo anasubiri kwenda chuo mwezi wa 10, wazazi wake ni washika dini kila jumapili kanisani ila cha ajabu wanamgombeza kijana wao kisa tu chumbani kwake kuna chupa za bia, kwenye pipa la taka huwa kuna vichupa vya pombe kali, mara mbilj pia kijana amewahi kufatwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…