wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Shura ya Maimamu haikutoa matokeo ya utafiti wao? Je walikurupuka?

    Baada ya Rais kuingia msikitini na mlinzi ambaye alidhaniwa kuwa ni mwanaume, shura ya maimamu walisema wanafuatilia tukio hilo na watatujulisha. Kwanini wako kimya mpaka sasa? Je, walikurupuka?
  2. JamiiForums Tanzania Klabu ya Singida wamepokea kwa mshtuko na masikitiko kocha wao kutambulishwa Yanga

    Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umeeleza kustushwa na taarifa za Kocha wao Mkuu Hamdi Miloud Raia wa Algeria na Ufaransa kutambulishwa kama Kocha mpya wa Yanga bila kufuata utaratibu. Singida Black Stars walimtangaza Hamdi Miloud kuwa Kocha wao mpya mwezi mmoja uliopita kwa Mkataba wa...
  3. JamiiForums Tanzania Musukuma: SGR inawahudumu kama Ndege, tutapata hasara waondolewe

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji. "Hakuna haja ya kuwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi husikiliza marafiki zao wa kiume zaidi kuliko wapenzi wao linapokuja suala la mahusiano. Lakini je, hii ni sahihi?

    1️⃣ Kwanza, ni kawaida kwa wanaume kuwa na mshikamano wa kaka (bro code), lakini mara nyingine, hii inaweza kumfanya mwanaume kupuuza hisia na maoni ya mpenzi wake kwa sababu ya ushawishi wa marafiki. 2️⃣ Si marafiki wote wanatoa ushauri mzuri. Wengine wanakupa maoni kutoka kwenye uzoefu wao...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

    Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
  6. JamiiForums Tanzania Tabora timu yao Iko vitani wao wanamshangilia adui uwanja mzima wamevaa nyekundu, nani awaambie Tabora ikishuka Simba hawataiona tena

    Somo la uzalendo limekuwa gumu sana hapa kwetu ,wenzetu huko epl na ulaya yote kwa ujumla timu ya nyumbani inapocheza hata na timu kubwa unayoishabikia uzalendo ni kuvaa jezi ya timu ya nyumbani ,skafu za timu ya nyumbani kuishangilia timu yenu ! Hakuna faida yoyote wakayooipata tabora ikiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wajue M23, historia na uhusiano wao na Rwanda

    M23 ni kikundi cha waasi wa Kikongo kinachotegemezwa na Rwanda na kinachofanya kazi katika Mashariki mwa Kongo. M23 inasimama kwa "Movement of 23rd of March" (Harakati ya 23 Machi), jina lililotokana na makubaliano ya amani waliyofanya na serikali ya Kongo mwaka wa 2009. M23 ilitokana na CNDP...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dunia ya 3 upeo wao wa kuona mbele ni miaka 4 mpaka 5, huku viongozi wa Dunia ya 1 uono wao wa kuona mbele ni miaka 50 mpaka 100

    Habari, Kwa ambao tumesoma shule zilizojengwa na Wazungu hii mada haitakuwa ngumu kwenu. Mimi nimesoma shule iliyojengwa 1923 na Waingereza. Ile shule mpaka sasa ina majengo ya mkoloni yenye uimara. Wenzetu wanapojenga, wanapoamua au kupanga jambo hutazama vizazi vinavyokuja ila sisi...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Je, bodaboda wa Dar es Salaam kulipwa fidia? Rejea maneno ya Lema: “Bodaboda sio ajira”.

    Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea. Kuna siku Lema alisema bodaboda sio ajira, watu walikuja juu na kusema kuwa kawakosea watu na ni kama anadharau ajira za...
  10. JamiiForums Tanzania Hamas walitegemea hawa bidada wataonyesha sura za hofu na majuto ila hawajui hata Israel wenyewe wameshindakana kama wao

    Naona matapeli wamewaachilia watu wasio na hatia. Hongera kwa benja kwa kuwaminya hadi wanaanchia wenyewe .
  11. JamiiForums Tanzania Tuendeleeni tu kulifanyia Mzaha hili Suala la Timu zinazomilikiwa na Mawaziri Waandamizi kuwapa Kiholela Uraia Wachezaji wao

    UHAMIAJI TANZANIA na TISS wala msiwe na wasiwasi hili Jambo ni jema mno kwa Taifa letu hivyo endeleeni tu Kulala na Kuliachia kwani litadumisha sana Utaifa na Uzalendo wetu wa Kihistoria sawa?
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wajinga, mtu anapokubali kuwa raia wa Tanzania halafu ana kipaji badala ya kufurahia wao wanachukia.

    Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina. Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la...
  14. JamiiForums Tanzania Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Hamas huwa wanakimbilia mahandakini na kuwaacha raia wakati jeshi la Israel huwapa kwanza usalama raia kwenye mahandaki

    Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia watajijua wenyewe WHY ???
  16. JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa CCM wa kuwapa madaraka ya juu wazee wastaafu waliochoka ndio utamaduni wao!

    Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM. Hizi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania CCM wamepiga marufuku wanachama wao kuanza kampeni kabla ya muda, lakini wao kuchaguana kabla ya muda sawa......AUTHORITARIAN OF HIGHEST DEGREE

    Ukisikia hekaya za aAbunuwasi ndiyo hizi. Jana Samia amekataza watu kuanza kampeni kabla ya muda. Strange enough wao wamechaguana tayari kabla ya Jogoo kuwika. Ukisikia chama cha kishenzi ndiyo hiki! Total dictatorship/authoritarian = favouring or enforcing strict obedience to authority at...
  18. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa vijana ndo umauti wao

    UGONJWA WA VIJANA NDO UMAUTI WAO. Dhana mnayoiendekeza namnaiona ndo pepo yenu tambueni ndo umauti wenu pia maana hakuna kizuri kisicho kuwa na kasoro. Yes nawakumbusha Vijana 👇 Mashangazi hupenda vijana kwa sababu ya Pumzi na ni Wateke Wanakuna mpaka Pochi manyoya zao zinaitika na wanaipata...
  19. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA katika Uchaguzi wao huu wa ndani hasa ktk ngazi ya Taifa kimedhihirisha hakifundi Viongozi!

    Katika kinachoitwa uchaguzi wa CHADEMA kwa watu wenye akili zinasikika zaidi kelele kuliko hoja makini na zenye kufikirisha. Viongozi wa CHADEMA wamedhihirisha kuwa wengi ni watu wanaookotana tu kutokana na kuwa " victims of circumstances" na hawana maono, maadili na sifa za kupewa dhamana za...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wakitoka hapa wanakubaliana na si mmoja wao kesho kusema sihusiki kama Lisu anavyosema kuhusu maridhiano

    Israel's Cabinet approves a deal for a ceasefire in Gaza and the release of dozens of hostages https://www.yahoo.com/news/israels-security-cabinet-convenes-approve-094746734.html
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…