wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli viongozi wao(CHADEMA) hawana misimamo?

    Katibu wa CHADEMA Ilala, Elizabeth Mambosho, leo anamshambulia Lissu, juzi alimsifia. Hii ndiyo CHADEMA ya sasa—hakuna msimamo, hakuna mshikamano. Kila mmoja anacheza upande anaohisi utamfaidi. Siasa za mivutano zisizo na dira.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kama mnamuamini Mitume na nabii Bulldozer,mbona baadhi yenu hamuwaamini Hawa,kwani wao sio watumishi wa Mungu?

    Kila mtu anaamini katika Imani yake. Hivyo Kila mtu aiombee Simba katika Imani yake. Haya ni maono ya mtumishi ww Mungu. https://www.facebook.com/share/r/1E2SjxMTA3/ https://vm.tiktok.com/ZMS8mPPVf/
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Tabora achachamaa Milambo secondary awatimua warudi makwao upesi wapande gari lolote la uelekeo wa kwao kwa wao kutishia kuchoma shule

    Mkuu wa mkoa Tabora achachamaa Milambo secondary awatimua warudi makwao upesi wapande gari lolote la uelekeo wa kwao kwa kutishia kuchoma shule.Awaambia hata kama hakuna basi la moja kwa moja hadi kwao wapande lolote la uelekeo wa kwao wakalale mbele huko wataunganisha huko mbele...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Imarisheni ulinzi wa viongozi wetu kama wao wanavyoimarisha ulinzi wa mtu wao

    Nimesikia kwamba kwa sasa wameanza kuvaa mask ili wasitambulike na wanafuatilia mikutano ya John Heche. Napendekeza hivi:- 1. Kila mkutano unapofanyika hakikisheni kuna kikosi maalumu cha kuwalinda viongozi. 2. Ikiwa kutakuwa na mtu/watu mnaowashtukia, hakikisheni kila walinzi wenu watano...
  5. JamiiForums Tanzania Atheist wengi wao ni dini ya kikiristo

    Mara nyingi hawa wanaojiita atheist kwa maana wasio na dini wengi wao ni kutoka kwenye imani ya kikristo hauwezi kukuta hata siku moja abadani asilani atheist akawa ni muislamu ila halipo hata kidogo uislamu ni dini uliyonyooka isiyo na konakona kabisa
  6. U

    JamiiForums Tanzania Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa Wapalestina kukiri Israel ni Familia teule, takatifu yenye baraka zote za Mungu wao aliye wa kweli

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na kukubali kuwa Mayahudi ni taifa teule lenye baraka zote za Mungu Watambue kuwa kushindana na wsteule hao...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Chimbo la wasaliti wengi hili hapa wanapotoka mtoko na wapenzi wao

    Simu huchuja meseji na calls, ni watu fulani tu simu zao zinaweza kuita na meseji zao kuingia, wengine wakiwemo michepuko missed call zao na meseji zitaonekana hadi do not disturb itapoondolewa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

    Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

    == Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa. Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP)...
  10. JamiiForums Tanzania Mapato yote serikalini yanamezwa na mafisadi — wao wanakula, sisi tunadanganywa na bajeti hewa!

    Wakuu, kama hujawahi kukasirika hadi damu ipande pressure, basi soma huu uzi kwa makini. Hii siyo lelemama, siyo kutafuta kiki wala siasa za kishamba — hii ni sauti ya uchungu, hasira na uhalisia wa mnyonge wa Tanzania anayeishi kwa maajabu ya Mungu. Serikali imetangaza bajeti ya mwaka wa fedha...
  11. JamiiForums Tanzania Eliud Mvela: Kuna timu inatembea na marefa wao special

    "Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi au Viongozi wanaosimamia mpira wakianza kuwa biased (kuwa na upendeleo) hili jambo linaendaga taratibu taratibu mwishoni linaanza kujitokeza, unaanza kujulikana una upendeleo" "Mimi nimekuwa nikiangalia sana baadhi ya mechi zinazochezwa, unaona kabisa marefa ni...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Jamhuri waomba kuwaficha mashahidi wao kesi ya kina Boni Yai na Malisa

    Kesi ya Jinai nambari 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa imeendelea leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya kilichotokea mahakamani leo. ____ JAMHURI: Mheshimiwa, ikupendeze, naitwa Wakili wa Serikali Mwandamizi, Clemence Kato, nikishirikiana...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby

    Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka kesi Kwa hakimu amfunge mwanae wa pekee Bodi ya ligi na TFF walisema sababu za kuhairisha mechi ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kenya:kuna shaidi aliyetaka kutoa ushaidi kuhusu polisi kufanya mauwaji kwa mtindo wao wasiojulikana naye kafa.

    Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya. Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea. Jana alipatikana amefariki.
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wasio na elimu wanaongoza nchi kama playground — mtaji wao ni uswahili na ubabaishaji

    Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog. Me? I’m a...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais sekta binafsi ni sawa na watoto yatima nchi hii: mafao mkupuo wao 35%, sekta ya umma 40%, kima cha chini ht kikiongezwa hawatekelezi

    Kufanya kazi sekta binafsi nchi hii ni zaidi ya kuwa mtoto yatima hawana mtetezi, kamishna wa kazi yupo tu km bendera. Kuna maeneo km vyuo vikuu binafsi wahadhiri wana mishahara midogo kuliko walimu wa shule za msingi, nendeni vyuo km Chuo Kikuu cha Arusha, walimu tangia waajiriwe wana miaka...
  17. JamiiForums Tanzania mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  18. JamiiForums Tanzania Wakatoliki Tanzania kwa Uwingi na Ushawishi wao wakiamua Samia na CCM yake ianguke Madarakani ni jambo la muda mfupi tu

    Hata CCM na Samia wake wakisema Waungane na Walutheri, Waanglikana, Wasabato, Walokole (TAG) na Waislamu Shia na Simu bado hawatatimia Idadi Kubwa ya Wakatoliki waliopo nchini Tanzania. Na wenye Akili tunajua kuwa Tanzania Kihistoria ipo chini ya Himaya ya Katoliki (Vatican) hasa Kimaamuzi na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rwanda ni tafsiri halisi ya vile reli ilivyo ndogo ila inaweza kubeba matreni, uwezo wao katika medani za kivita unakuwa kwa kasi, sio wa kuwabeza.

    Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi, Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka eneo la mashariki mwa DRC, kwa kuwasindikiza...
  20. JamiiForums Tanzania Wao walifanya hivi. Sisi tunafanya nini Waja wake? Anauliza Ustaadhi kwa uchungu

    Labda nimjibu huyu dogo. Si lazima kuiga wanachofanya makafiri. Sisi tuna chuo pale Morogoro. Hajui? Tuna msikiti mkubwa sana pale Dodoma. Na tumeomba mara kadhaa serikali itununulie camera ya kuangalizia mwezi na kuruhusu tende zije bila kodi. Tusipate shida wakati wa mfungo. Na pia watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…