wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. J

    PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

    == Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa. Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP)...
  2. Mapato yote serikalini yanamezwa na mafisadi — wao wanakula, sisi tunadanganywa na bajeti hewa!

    Wakuu, kama hujawahi kukasirika hadi damu ipande pressure, basi soma huu uzi kwa makini. Hii siyo lelemama, siyo kutafuta kiki wala siasa za kishamba — hii ni sauti ya uchungu, hasira na uhalisia wa mnyonge wa Tanzania anayeishi kwa maajabu ya Mungu. Serikali imetangaza bajeti ya mwaka wa fedha...
  3. Eliud Mvela: Kuna timu inatembea na marefa wao special

    "Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi au Viongozi wanaosimamia mpira wakianza kuwa biased (kuwa na upendeleo) hili jambo linaendaga taratibu taratibu mwishoni linaanza kujitokeza, unaanza kujulikana una upendeleo" "Mimi nimekuwa nikiangalia sana baadhi ya mechi zinazochezwa, unaona kabisa marefa ni...
  4. C

    Jamhuri waomba kuwaficha mashahidi wao kesi ya kina Boni Yai na Malisa

    Kesi ya Jinai nambari 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa imeendelea leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya kilichotokea mahakamani leo. ____ JAMHURI: Mheshimiwa, ikupendeze, naitwa Wakili wa Serikali Mwandamizi, Clemence Kato, nikishirikiana...
  5. Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby

    Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka kesi Kwa hakimu amfunge mwanae wa pekee Bodi ya ligi na TFF walisema sababu za kuhairisha mechi ni...
  6. Kenya:kuna shaidi aliyetaka kutoa ushaidi kuhusu polisi kufanya mauwaji kwa mtindo wao wasiojulikana naye kafa.

    Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya. Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea. Jana alipatikana amefariki.
  7. Viongozi wasio na elimu wanaongoza nchi kama playground — mtaji wao ni uswahili na ubabaishaji

    Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog. Me? I’m a...
  8. S

    Mh. Rais sekta binafsi ni sawa na watoto yatima nchi hii: mafao mkupuo wao 35%, sekta ya umma 40%, kima cha chini ht kikiongezwa hawatekelezi

    Kufanya kazi sekta binafsi nchi hii ni zaidi ya kuwa mtoto yatima hawana mtetezi, kamishna wa kazi yupo tu km bendera. Kuna maeneo km vyuo vikuu binafsi wahadhiri wana mishahara midogo kuliko walimu wa shule za msingi, nendeni vyuo km Chuo Kikuu cha Arusha, walimu tangia waajiriwe wana miaka...
  9. mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  10. Wakatoliki Tanzania kwa Uwingi na Ushawishi wao wakiamua Samia na CCM yake ianguke Madarakani ni jambo la muda mfupi tu

    Hata CCM na Samia wake wakisema Waungane na Walutheri, Waanglikana, Wasabato, Walokole (TAG) na Waislamu Shia na Simu bado hawatatimia Idadi Kubwa ya Wakatoliki waliopo nchini Tanzania. Na wenye Akili tunajua kuwa Tanzania Kihistoria ipo chini ya Himaya ya Katoliki (Vatican) hasa Kimaamuzi na...
  11. R

    Rwanda ni tafsiri halisi ya vile reli ilivyo ndogo ila inaweza kubeba matreni, uwezo wao katika medani za kivita unakuwa kwa kasi, sio wa kuwabeza.

    Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi, Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka eneo la mashariki mwa DRC, kwa kuwasindikiza...
  12. Wao walifanya hivi. Sisi tunafanya nini Waja wake? Anauliza Ustaadhi kwa uchungu

    Labda nimjibu huyu dogo. Si lazima kuiga wanachofanya makafiri. Sisi tuna chuo pale Morogoro. Hajui? Tuna msikiti mkubwa sana pale Dodoma. Na tumeomba mara kadhaa serikali itununulie camera ya kuangalizia mwezi na kuruhusu tende zije bila kodi. Tusipate shida wakati wa mfungo. Na pia watu...
  13. System Inatupiga Fix: CAG Anasema Ukweli, Wao Wanazima Taa – Tumechoka Kuibiwa Kifalme!

    Yo ma men, sikiliza hii game real quick... CAG ni OG wetu kwenye system, yaani Controller and Auditor General, the man supposed to check these sneaky-ass politicians when they misuse our tax money. But guess what? Every time jamaa anatoa report, it's like he droppin' a bomb on dirty secrets –...
  14. Leo wanasimba tuko bize kupokea timu yetu ila wao

    Mwiko nyuma walienda airport kumpokea Eng. Hersi Kupanga ni kuchagua
  15. H

    Ujinga mmojawapo wa waafrika wafia dini ya ukristo ni kufungishwa ndoa na viongozi wao wasio na ndoa

    Huu ni unafiki nkubwa na ujinga uliopitiliza linapokuja swala la mkristo kufungishwa ndoa na viongozi wa dini ambao wao wamekatazwa kuoa na hawana ndoa wala uzoefu wa ndoa. Kufungishwa ndoa na kushauliwa maswala ya ndoa na padri asiye na mke ni ukichaa kwani hana uzofu kwa hiyo hapa ni kupigana...
  16. Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
  17. Waarabu na Wakoloni,WazunguWametufanya Vibaya Sana!,Sio Tuu Walitu Colonise Nchi Yetu,Bali Wametu Indoctrinate Mental Slavery,Sisi ni Watumwa Wao!

    Wanabodi, Kiukweli Waarabu na wakoloni,wazungu, wametufanya vibaya sana!,sio tuu walitu colonise nchi yetu,kuifanya ni nchi yao,bali pia wametufanya watumwa wao mpaka leo, mpaka kesho kwa kutu indoctrinate utumwa wa ki fikra, mental slavery,sasa sisi ni watumwa wao!utumwa huu unaendelea...
  18. HAWA VIONGOZI WA SIASA WAJITAHIDI NA WAO KUWEMO KUNDI LA KUUMIA SIO KUJIFICHA NDAN WANAONGEA TU HIO N LAANA

    NASIKILIZA KIONGOZI MMOJA TU.EKUBALIANA M NIBAKI NDNA YA PFISI NIWAPE UPDATE NA XXXX AMEKIMBILIA SEHWMU FLAN AKITOA TAARIFA USHAURI TU TUSIWATUMIE WANANCHI VIBAYA M NATAMAN KUSIKIA KUNDI KUBWA LA WANAOLALA.IKA KUUMIA WAWE N VIONGOZI WA NRNE MPAKA SASA SIJAJSIKIA KIONGOZI ALIEKUFS WANATANGAZA...
  19. Maofisini kuna aina ya watu uwepo wao ni kero kwa wengine

    Jitahidi sana maisha yako yawe baraka kwa wengine hata ukitoka sehemu watu waone wamepungukiwa , kuna aina ya watu huwa wakitoka sehemu watu waliobakia wanasema afadhali hayupo , hii ipo sana maofisini kuna aina ya watu uwepo wao tu ni kero kwa wengine hadi wafanyakazi wenzake wanaomba dua...
  20. Hii statement ya TEC iliyo katika waraka wao wa pasaka na kunukuliwa toka kwa Askofu na Rais wao Wolfang Pisa, inapaswa kuwa pinned hapa...

    Katika hali ya kawaida nani anaharibu amani..? "....Je, ni anayetumia nguvu kubwa na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi, kwani kwa mfumo wa sasa hauwezi kutupatia viongozi wa haki na wa kweli...?" Askofu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…