Inaonekana neno 'wanyonge' limeshika kasi katika matumizi yake hapa Tanzania, na kutumiwa sana na baadhi ya wakuu kabisa wa nchi. Kwa mujibu wa baadhi ya machapisho, 'wanyonge' maana yake ni 'masikini sana', au 'watu wadhaifu katika jamii'. Kwa Kiingereza ni 'disadvantaged', 'abject poor', au...