wanyamapori

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano unahitajika zaidi sasa katika kuwalinda wanyamapori walio hatarini

    Siku ya wanyamapori duniani ambayo inaangukia Machi 3 kila mwaka, ni muhimu sana kwani katika siku hii tunapata muda wa kukumbushana uzuri na maajabu ya mimea na wanyamapori waliomo ndani ya sayari yetu lakini vilevile umuhimu wa viumbe hivi duniani. Mbali na wajibu tulionao wa kudumisha na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Bucha za nyamapori zilizoasisiwa na Kigwangalla zimeishia wapi?

    Dkt. Kigwangalla akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii alianzisha bucha za Nyama pori na kuna Wakati tulikuwa tunauziwa pale kijiji cha Makumbusho. Je, hizo bucha bado zipo? Ninahitaji Nyama ya Swala au pofu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya kuajiri askari wapya wa wanyamapori itatekelezwa lini?

    Ahadi ya Ajira ya kuajiri Askari wapya wanyamapori itatekelezwa lini?
  4. JamiiForums Tanzania TAWA wafafanua kuhusu habari ya Tembo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii

    Mamlaka ya ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) wafafanua kuhusu ongezeko la Tembo baada ya kunukuliwa vibaya. Ongezeko la Tembo halihatarishi maisha ya Watu na Mali. Uwindaji hufanywa kwa mjibu wa Sheria na Sera ya Wanyamapori ya 2007. Zaidi, soma...
  5. JamiiForums Tanzania Kadhia za wanyamapori kuvamia makazi na mazao, nini Serikali ifanye?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Niende moja kwa moja kwenye majadiliano ninayo yaleta mbele yenu. Sasa imekuwa ni kama kawaida kila iitwapo leo katika vyombo vya habari kuna ripotiwa majanga chungu nzima ya madhila ya wanyamapori wanayofanya katika jamii, tembo wanaharibu mazao, juzi kati tuu...
  6. JamiiForums Tanzania Ujerumani yaisaidia Tanzania Euro mil 10 sawa na TSH Bil 23.7 kwa ajili ya Mradi wa kukabiliana na migongano kati ya wanyamapori na binadamu

    Serikali ya Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani zimetiliana saini mkataba wa msaada wenye thamani ya Euro milioni 10 sawa na shilingi bilioni 23.7 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa kukabiliana na migongano kati ya wanyamapori na binadamu, Mradi wa kuwezesha upatikanaji...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Utalii kwenye bustani ya wanyamapori Beijing wapamba moto wakati likizo ya majira ya joto inaanza

    Wakati likizo ya majira ya joto inakuja, wazazi wengi pamoja na watoto wao wanatembelea bustani ya Wanyamapori ya Beijing, China. Kuanzia tarehe 15 Julai, wanafunzi wapatao milioni moja wa shule za msingi na sekondari mjini Beijing wameanza mapumziko yao ya majira ya joto.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa watoto kuliwa na fisi wilayani Karatu, nailaumu idara ya wanyamapori

    Ninaandika hili kwa uchungu mwingi sana. Kumekuwa na matukio mengi hapa nchini ya watu kujeruhiwa au kuliwa kabisa na fisi. Na mara nyingi wahanga huwa ni watoto hasa wale wenye umri mdogo. Hili jambo linalotia uchungu mwingi mno. Mkoani Shinyanga ndo kumekuwa na matukio mengi ya fisi kuleta...
  9. JamiiForums Tanzania Mimi nachoweza kusema aliyeruhusu wanyamapori kuuzwa atenguliwe na afunguliwe mashitaka

    Hawa wanyamapori ni urithi wa Taifa letu. Hivyo ingekua vizuri walioruhusu kuwauza wanyamapori wachukuliwe hatua, watolewe kwenye hizo nafasi wawekwe watu wenye weledi na wanaotambua umuhimu wa wanyapori katika uchumi endelevu kwa taifa. Sii hivyo tu wafunguliwe kesi za uhujumu uchumi endelevu...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu Jeshi la Uhifadhi Tanzania

    Katika pita zangu mitaani kulikuwa na hoja mbalimbali za majeshi nikasikia kuna jeshi jipya la Uhifadhi nchini lenye vikosi ndani yake, swali kwa nini lilianzishwa? Je, nini majukumu ya jeshi hilo? Nani Mkuu wa Jeshi hilo? Muundo wake ukoje? Wachambuzi na wajuvi wa mambo ya kijeshi nijuzeni...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

    Hali iko hivyo, tunaelekea kule 7kule tulipotoka, sasa ni rasmi twiga wetu wataanza kupandishwa ndege tena kwenda Ughaibuni. _______________ Wafanyabishara sasa huru kusafirisha wanyama Pori kutoka Tanzania Marufuku hiyo imeondolewa kwa muda wa miezi sita ambapo wafanyabiashara watakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…