Napenda kusema ukweli wa moyoni mwangu, mfano wangu wa kuigwa katika siasa za kizazi kipya nchini Tanzania ni Ndugu January Makamba.
Mi ni mwanasiasa mchanga, nipo kwenye mambo ya siasa tangu 2013. Nilipoanza kujihusisha na mambo ya siasa, na Mungu akijaalia mwaka 2025 nategemea kugombea...