wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mdai wangu amesema amenisamehe deni analonidai ila niwe makini barabarani gari lake linakawaida ya kufail breki

    Ni baada ya kumwambia kwa sasa nitashindwa kulipa deni lake la laki tatu hali yangu bado sio nzuri ajabu hiyo kauli aliyonipa ni kuwa amenisamehe ila niwe makini barabarani hii kauli alikuwa na maana gani wadau?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hii hapa ni orodha ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi

    Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi. Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024). Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi. 1...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara itakayonitajirisha mwaka 2035: Uwekezaji wangu utajikita katika huduma ya mihemko (Euphoria)

    Euphoria a feeling or state of intense excitement and happiness. Habari wakuu, Hii ni Dira ya maendeleo binafsi kwa wapambanaji wote. Biashara inayozingatia uwekezaji ktk kutoa huduma za mihemko kisasa zaidi haiwezi kumtumpa mtu. Zifuatazo ni boashara zitakazo nitajirisha mwaka 2035...
  4. JamiiForums Tanzania Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

    Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au kupeana idea nzuri za maisha yeye kidogo tu mke wangu. Hivi huu uwa ni ulimbukeni au ni kitu gani...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanipa wakati mgumu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida. Mbaya zaidi hizo msg...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Kwa wale wanaotaka kuagiza magari kipindi hiki

    Wakuu... Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia. Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia gari hakika hapo ndipo nilichoka kabisaa baada kuambiwa kuwa hakuna dollar kwenye bank, kumbuka haya...
  7. JamiiForums Tanzania Sijapenda Roboti wa Bungeni kutumia jina la mzazi wangu

    Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu. Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na kuwa mkristo kamili, huu ni mwaka wa 75 tangu mama aanze kulitumia jina la Eunice. Yaani nimeumia...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nimeenda kwa Mganga nikakuta ni classmate wangu,

    Si tumecheka na tukapika yule kuku ambaye nimekuja nae,🤣😂😂 maisha ni kujuana bana
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuoa ila mchumba wangu ni muumini wa dini tofauti

    Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti. Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua kikwazo? Ushauri Wana JF
  10. JamiiForums Tanzania Mungu wangu sio kiziwi bado naamini atasikia sala zangu na juhudi zangu hata nikiwa nimeondoka hapa duniani

    Naamini hapa duniani tunapitia mengi sana hasa Sisi watoto wa Kiume ila mimi imani yangu inaniambia tusikate tamaa ipo siku tu iwe duniani au mbinguni kwa imani zetu sisi watu wa Mungu tutafanikiwa tu. Tusikate tamaa tuzidi kupambana na kumuomba Mungu ipo siku yetu tu sisi wapambanaji ndugu...
  11. JamiiForums Tanzania Nampenda sana Rais wangu Mama Samia ila baadhi ya aliowaamini siwapendi!

    Ukiniuliza kiongozi gani unampenda mimi bila ya kupepesya macho nitakutajia Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Jibu; Nampenda kwa sababu zifuatazo Nikiongozi wa Nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    Kwema Wadau? Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

    Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri. Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwako Mzee Wangu Mohammed Said

    Wakuu Heshima mbele. Mimi binafsi kwanza niseme ni mtu ambaye napenda sana kusoma historia tofauti tofauti. Nimekuwa nikivutiwa na mzee wangu Mohamed Said katika maandiko yake mengi, mzee Mohamed saidi ni mtu ambaye mara nyingi ameweza kuielezea historia Ya Tanganyika tangu harakati za uhuru...
  15. JamiiForums Tanzania Mkazi wa Arusha amwambia Makonda: Mtoto wangu amelawitiwa, Askari Polisi hawanisaidii na wananipa vitisho

    Mkazi wa Muriet Jijini Arusha akielezea changamoto aliyokutana nayo akidai Mtoto wake amelawitiwa na baadhi ya Watu huku Askari kadhaa wa Murieti wakimzungusha kupata haki yake licha ya vipimo vilivyofanyika katika Hospitali ya Murieti na Mount Meru kuthibitisha ukatili aliofanyiwa mwanaye...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke awe mchumba wangu

    Habari za saa hizi. Mimi ni kijana naishi dar. Umri 32. Natafuta mwanamke kwa nia ya uchumba tukienda sawa awe mke. Awe anaishi dar Umri 20-36 usizidi zaidi ya hapa. Aelewe thamani ya mwanaume . Asiwe mtu wa vizinga. Mengine PM.
  17. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kuhusu mpenzi wangu aliyenisevu "Dad" kwenye simu yake

    Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha. Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona namba mpya ikiita kwenye simu yangu nikaamua kuipokea. Ni kijana aliyejitambulisha kwa jina la Kelvin...
  18. JamiiForums Tanzania Ex wangu anataka nimpe mbinu ili mpenzi wake mpya awe na uwezo wa mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa

    Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi. Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau...
  19. JamiiForums Tanzania Baby wangu anapost picha za Wanaume kwenye DP yake

    Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma anawapost na kuwa wish na hata wanao oa pia anawapost lkn Wala si ndugu zake au wadogo zake wa damu...
  20. JamiiForums Tanzania Namna nilivompata mke wangu wa ndoa

    Habari zenu members, Leo nimetumia muda mrefu saana kuongea na kucheka na mke wangu(huaga nafanyaga hivo siku moja moja) maana huyu mwanamke hana utofauti na wanawake wengine kwahiyo naishi nae kwa akili saana. Hivyo baada ya furaha ya muda ikabidi akili inikumbushe namna nilivompata huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…