wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Mafunzo kwa viongozi wa UWT na madiwani wanawake Zanzibar

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameutaka uongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na wanachama wake kuyatumia vyema mafunzo wanayopatiwa ambayo yatawajengea uwezo wa utekelezaji wa majukumu yao ili kuleta mabadiliko ya kiutendaji katika Chama cha Mapinduzi...
  2. C

    Wanaume Badilikeni Wanawake wameharibika Siku hizi,sio zamani.

    Wanaume badilikeni zama za kuhangaika na mwanamke kisa unampenda sana epukeni hiyo tabia. Wanawake sasa kwa uchunguzi nilioufanya usio rasmi Asilimia sio chini ya 70% wanajiuza... Anaweza jiuza Directly au indirectly, Kundi kubwa lipo kwenye hii package ya indirectly selling Wapo wanaojiuza...
  3. Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

    Wakuu kwema! Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas. Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi? Je, wanakuwa wanapigana? Je, wamekimbia na kuacha familia yao? Je, wanawatumia...
  4. Wanawake ni kama Uyoga, leo Mboga kesho Sumu

    Narudia yena Kusema Wanawake ni Kama Uyoga leo ni mboga Kesho ni sumu 🥹🥲😰 Ndugu zangu mimi nalala Ila kuweni makini na mapenzi.
  5. Kuna wanawake wanajua kucheza na hisia za wanaume

    Yani ana act as if amejaa kwako na waeza dhani kua ukimwambia tutoke out itakua rahisi, ila chaa jabu uki make move tu, anabadilika kama si yeye. Wadada muache kucheza na hisia za watu, mambo ya ku jaribiana jaribiana hayafai
  6. Wanawake wana Ujasiri wa Ajabu sana!

    Shaquille O'nel na mpenzi wake mpya wa miaka 21 wakila raha Spain.... Hapa kuna mtu atapata murder case🤣🤣
  7. Video: Tuwe makini na Wanawake wanaocheza Judo

  8. Wanasiasa wanawake wana cha kujifunza na kujivunia kwa hawa wachache

    Uthubutu wao, utashi wao kamili wa kisiasa, ujasiri katika kujisimamia na kusimamia wengine, umakini wao katika kujipambania na kupambania wengine, uvumilivu wao na subra kwenye mazingira ya vitisho, dhuluma, dhihaka au manyanyaso ya aina zote katika mambo mbalimbali ambayo waliona ni uhuru na...
  9. Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

    Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa. Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila...
  10. Mnapata wapi ujasiri wa kuchumbiana na wanawake wenye kope na kucha bandia?

    Nijuavyo mimi wanawake wote wajibandikao kope na kucha bandia huwa hawamkubali aliyewaumba, ni wapinzani wa wazi wazi wapingao uumbaji wa Mungu. NB mtu yeyote anayepingana na MUNGU MUUMBAJI huyo ni mchawi mwana wa ibilisi. Hao wadada ni wachawi na washirikina wazoefu waliojaa kiburi...
  11. Sintosahau: Siku mwandishi wa habari alipotushawishi tulie mbele ya kamera ili habari yetu na yake ipate uzito, wanawake waliweza, wanaume tulishindwa

    Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari, akampigia akaja fasta. Baada ya kufika akadai tumpe za kwake kwanza, na pili, ili habari iwe ya kwanza...
  12. Tauhida Cassian Gallos ahoji Bungeni mkakati wa Serikali kudhibiti matukio unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya wanawake na watoto

    MHE TAUHIDA CASSIAN GALLOS Ahoji Bungeni Mkakati wa Serikali Kudhibiti Matukio Unyanyasaji na Ukatili wa Kingono Dhidi ya Wanawake na Watoto "Je, kuna mpango gani wa Kudhibiti matukio ya unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya Wanawake na Watoto nchini?" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo...
  13. SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Utangulizi Siasa ni mchakato wa kufanya maamuzi na kuunda sera ambazo zinahusisha utawala na usimamizi wa jamii. Hujumuisha shughuli kama vile uchaguzi, utoaji wa sera, na ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Uongozi ni uwezo wa kuongoza na kusimamia watu au jamii kuelekea kufikia...
  14. Barnaba naomba nikuulize mkeo hakufahamu kuwa kazi yako ni mziki halafu wanawake mjitafakari mnapotaka kuingia kwenye ndoa

    Sijui ni kiki au ndio kweli ila nimepata picha kuwa mambo ya kuwekana wazi au mlivyokutana mlibidi kukubaliana kuwa kazi ya mwenzake. Imngeweza kuishi kama wafanyavyo wasanii davido na kwengine.Pili ingekuwa mimi barnaba kwa kweli ni aibu kesi yako kama mama mkwe kakutawala na mwanae. Aisee...
  15. Mliowahi kutongozwa na wanawake njooni mtoe shuhuda

    Za siku nyingi familia yangu, familia ya MMU. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Nilipotea kutokana na majukumu mazito ya kifamilia, lakini kwa sasa u-busy umepungua kwa namna moja ama nyingine Nisiwe msemaji sana, kuna ile situation ya baadhi ya wanaume kutongozwa na watoto wa kike. Kusema kweli...
  16. Wanawake kuweni na aibu

    Unakuta mwanamke kakutongoza mwenyewe wewe kama kidume umemkubalia ila bado anakuomba hela. Sasa najiuliza huyu kafata mahusiano au hela zangu?
  17. I

    Mwanaharakati wa haki za akina mama ahukumiwa jela miaka 11 nchini Saudi Arabia kwa kutetea haki za wanawake

    Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake". Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu...
  18. Wanawake wa JF nisaidieni Kuwaelewa hawa wadada

    Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi 1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake, na alibaki na msimamo huo basi nikapunguza mawasiliano lakini tangu wakati huo lazima atanitafuta...
  19. PreGE2025 Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone) kwa UWT Wilaya ya Kilosa ili kusaidia kusajili Wanawake katika Mfumo wa Kielektroniki

    MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 01 Mei, 2024 amegawa Simu Janja 5 (Smartphone 5) kwa uongozi wa UWT Wilaya ya Kilosa na...
  20. Tatizo La Kuota Ndevu Kwa Wanawake Na Jinsi Ya Kutibu

    Je umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye ndevu nyingi? Bila shaka, jibu ni NDIYO. Hilo ni tatizo la kiafya ambalo hujulikana kwa kitaalamu kama Hirsutism. Leo tujifunze kuhusu sababu za tatizo hilo na jinsi ya kutibu. Hirsutism ni hali ambapo wanawake wanakua na ukuaji wa nywele wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…