Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume, wakipata, watatupilia mbali mara moja ahadi zote walizotoa kwa Mungu baada ya kupata mtu asiye na hatia.
Wanawake wengi wanaokula ujana, wakimaliza na kujiona wamechelewa kuolewa, wataanza kuingia makanisani ama misikitini wakiomba...