wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Huyu mwanamke ana tatizo gani?

    Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya! Huyu mwanamke anaijua nyumba yangu hapa Dar es salaam pamoja na mali kadhaa zinazoonekana hapa nyumbani zikiwemo gari...
  2. M

    Vile wanawake wanapenda kutuendesha wanaume maskini

    Kuna mtindo flani wa maisha unapendwa Sana na wanawake karibu wote waliosoma na wasiosoma. Sababu za huu mtindo kupendwa ni hizi harakati za wazungu za kutaka Kuona wanawake wanakuwa SAWA na wanaume (eti tofauti iwe ni maumbile tu).wanawake hupenda haya na bahati mbaya wanaozama kwenye huu...
  3. Napenda sana wanawake wa kikatoliki

    Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl. Nmemaliza.
  4. Wanyaturu ni kabila pekee lisilo na athari ya lugha kimatamshi; Wanawake wapo pia ni wakali sana

    Hakuna kitu inakera unalikuta lidada linachanganya "R" na "L" kwenye matamshi. Unakuta ni msomi au mzuri tu lakini unamsikia anatamka "chakuRa" au "ajaRi". "UsijaRi baby" !! Nikikutana na lidada linaongea Kiswahili cha "R" "R" kama mgambo wa Congo huwa naghairi kumzagamua kabisa. Namnasa...
  5. ifike mahali sheria ya mavazi itungwe hasa kwa wanawake.

    wakuu ukweli tu usemwe huu uzungu sijui niuite uwhiteblack,,, sikuizi umetimba sana mjini hapa wenzetu wana miili iko simple lakin uku bongo kitu kiki trend wao wanazidisha sasa.. ifije mahala haya mavazi nyakati za harusi sheria itungwe wanawake wavae vitenge,, sasa hapa mali yote inejichoraaa...
  6. Wanawake wanaweza kusmell success yako na personality traits

    Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect kubwa kwenye mtongozo. Kingine semen retention wakuu, ili uwavutie punguzeni puli. Attractive nature ya...
  7. Vibe la ongezeko la Wachungaji Wanawake wanaojibatiza uchungaji. Je, Ufufuo wa Bustani ya Eden?

    Shalom, Tucheke kwanza "Oalaa kalooo' Dunia na matukio sasa hivi jamii ya watanzania inashuhudia ongezeko la ma pastor ama wachungaji wanawake ni vibe moja kali sana kwenye social media na wanapenda sana interview zenye maudhui ya mapenzi na kusambaza injili zenye kugusa mapenzi Tutaona...
  8. Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho, kijamii, kiakili na kua na furaha zaidi ila sasa hali ni tofauti kabisa. Mazingira ya ajira na...
  9. Kwanini Yesu Kristo hakuoa, hakuwa na mwanafunzi wa kike, pia Yesu hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Kuna nini nyuma ya pazia ?

    Shalom, Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ? Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea...
  10. Wakati Halima Mdee na wenzake wakipewa majina ya kutisha na kutukanwa hatukusikia taasisi wala kikundi kukemea!

    Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka. Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
  11. P

    Wanaume wanasahaulika kwenye vita ya ukatili wa kijinsia

    Habari wapendwa, Hebu tutazame kidogo hili swala la kupinga ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya watoto na wanawake, Je, ni nani muhanga hasa wa jambo hili? Maana katika hali ya kawaida inaonekana wanawake na watoto ni waathirika wakubwa katika hili jambo. Sijui wewe unalionaje...
  12. Hivi kituo cha sheria na haki za binadamu(LHRC), kinawatetea tu wanawake

    Nashangazwa na utendaji kazi wa taasisi hii (LHRC) Huwa wanaibuka pale anapoguswa mwanamke lakini kati hutawaona mwanamke akidhalilisha mwanaume. Sasa wanamwandama makonda , Jana walimwandama Ngosha wa Goba, juzi wakamwanda Oscar Oscar. Lakini hawakujikutokeza kumuonya Christina Shusho...
  13. F

    Makonda aondolewe kwa udhalilishaji wa wanawake. Amewadhalilisha wanawake na rais wetu pia

    Kitendo cha mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kumdhalilisha afisa wa serikali mwanamke huko Longido mkoani Arusha hakikubaliki. Makonda akimhoji mtumishi huyo alisikika kumwambia mbele ya hadhara kuwa asiongee kama vile anaposwa na kwamba yeye (Makonda) ana mke mzuri nyumbani. Kitendo hicho...
  14. Wanaume wa Kanda ya ziwa, enyi wanawake jaribu kutuelewa

    Nimeona nitoe tahadhari, Tanzania ni kubwa na tamaduni tofauti. Kwa kilichotokea huko Goba, Dar kiwe funzo Kwa wanawake wa mjini kujia tamaduni za wanaume ngangari na wagumu hasa kutoka Kanda ya ziwa. Mwanaume wa Kanda ya ziwa huwezi kumwita majina yenu ya danga, yaani mtu wa Geita, Mara...
  15. Wanaume huwa tunakuwa wababe vijiweni ila kwenye mapenzi na wanawake tunakuwa wa shule ya msingi kabisa.

    ■mara ooh amemkata kata hadi kumuua demu wake kisa ya kujua anatumika kwingine ■mara ooh amemuua kwa risasi mke wake na yeye kujiua kwa risasi. ■mara ooh hawala anakuja kudai sehemu ya urithi baada ya bwana kufariki. ■mara ooh amelawitiwa na baunsa kama wanne baada kufumaniwa na mke wa mtu...
  16. Baadhi ya watoa huduma hasa wanawake customer service zao sio nzuri

    Hivi ni mimi tu sipendi kuhudumiwa na wanawake ofisi za umma au na wenzangu mpo kama mimi? Binafsi nikikutana na mwanamke ofisi ya umma au hata baadhi ya ofisi binafsi hasa wanaotoa customer service huwa huwa navunjika moyo sana. Watoa huduma wengi hasa wakike Tanzania wana customer service...
  17. Wanaume wa Tanzania pokeeni Salamu zenu za Pongezi kutoka kwa Wanawake (Warembo) wa Kampala Uganda

    Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland, Spain na Norway kuitambua Palestina kama Taifa Huru na Vita vya Mashariki ya Kati pamoja na yale...
  18. LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni LHRC imenukuu Ibara ya 12 ya Katiba ya Tanzania inayolinda heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa Utu wa Mtu na...
  19. Kitu gani ungependa kubadilisha katika familia ya wazazi wako?

    Nimegundua familia nyingi sana ya sisi wa Afrika, kuwa kuna kauli mama hawezi ziongelea, kumwambia mumewe hata kama sio sawa, n.k Baba anapochukua maamuzi hata kama sio sawa mama huwa hana kauli yeyote, kwa mfano ndoa za utoto hili bado lipo sana katika jamii zetu kuendana na mila na desturi...
  20. Ni kabila gani hapa Tanzania ambalo wanawake wa kabila husika wana Lips nene kama za wanawake wa Ki ivory coast ?

    Kama uzi unavyojieleza hapo juu nataka kufaham ni kabila gani la hapa Tanzania ambalo wanawake wao wana Lips nene/pana kama walivyo wanawake wa Ki ivory coast ? Nataka kufaham tu, kama hulijui kabila Hii post ipite kama unazunguka Round about na pikipiki ya wizi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…