wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. "50 Cent" kawapa ngumi za uso wanawake

    50 Cent alifunguka kuwa moja kati ya vitu vingi anavyovipenda ni kuwakataa wanawake wanaojirusha kwake, kwa sababu pia wanafurahia kukataa wanaume wa kawaida. Anafanya hivyo kwa sababu anajua sababu ya wengi wa wanawake hawa kujirusha kwake ni kwa sababu ya umaarufu na utajiri wake. Ikiwa...
  2. Usioe mwanamke asiye bikra kama hujawahi kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti

    Kama mwanamume, ikiwa utaoa au kuchumbiana na mtu ambaye si bikira kwa muda mrefu, unapaswa uwe na uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti. Kama ni mtu wa Mungu, epuka kuwaoa wanawake wasio bikra, watakufananisha utendaji wako wa chumbani na wanaume waliokuwa nao huko nyuma...
  3. Wanawake mkiwa Bar acheni kuvamia meza za watu msiowafahamu

    Jumapili Moja mida ya jioni nipo zangu home sielewi,’mwanangu’ mmoja akanicheki “oyaa Satoh upo wapi now?” Nikamjibu nipo home nimechill nacheki game ya Simba. Hiyo siku ilikuwa Simba inacheza na timu Moja(nimeisahau) club bingwa. Jamaa: Ibuka pande za bar X tuzibue vizibo mwanangu,nipo man...
  4. Siku hizi wanawake wanatamani ndoa, ila hawaipendi

    Kuna binti hapa mtaani, ni mstaarabu sana. Nimeforce kadri niwezavyo mpaka nimepata mbususu yake iliyododa. Kabla ya kupata penzi lake tulikuwa ni marafiki tulioshibana sana, alikuwa akinishirikisha masuala yake binafsi kisha naangalia namna ya kutatua. Pia nilizungumza naye kuhusu mambo...
  5. Nani awe kiongozi wa wanawake, Halima bint Khamis au Titi Mohamed?

    KHALIMA BINT KHAMISI MMOJA WA WANAWAKE MSTARI WA MBELE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1954 Kumbukumbu za wazalendo mfano wa Bi. Halima bint Khamis hazipo popote hata ukienda ofisi ya CCM Lumumba Avenue hutaona picha yake katika kuta wala hutaona picha ya yeyote katika wale waliopigania...
  6. M

    MC Katokisha atangaza ndoa na baby mama wake, why Vijana waliojipata hawaoi mpaka wazalishe kwanza? Wasiotaka kuzaa kabla ya ndoa wataolewaje?

    Habari wadau. Kwa wapenzi wa wedding industry jina la MC Katokisha sio geni. ni Mc mmojawapo wa class ya juu anaechaji hela nyingi kwenye soko la harusi. Pia MC Katokisha ni msomi mwenye CPA, na degree za kutosha za chuo kikuu cha Dar es salaam na experience ya kutosha ya big four firm, Ernst...
  7. Kesi za kijinai/madai dhidi ya wanawake ziangaliwe kwa jicho la 3, la sivyo tutahukumu wasio na hatia

    Gender balance Ni mtizamo au mfumo wa kuweka usawa wa kijinsia..kwa sasa dunia ipo katika kuchukua affirmative action kuitetea jinsia kwa kuamini kuleta usawa wa kijinsia lakini inaonekana ni silaha kubwa dhidi ya watu wenye ushawishi wa kifedha,kisera/siasa au kijamii ikiwa wataenda kinyume...
  8. Kifo cha Andrew na utata wa Wanawake waliopotea kimiujiza

    - Hili ndo' sakata la 'wanted man' wa Uingereza na kupotea kwa wanawake wawili huko mji wa Aba, Nigeria. Mwezi ulopita, mkuu wa jeshi la Polisi la Nigeria, IGP Kayode Egbetokun, hakuwa na namna nyingine zaidi ya kuivaa kesi hii matata kwakuwa ubalozi wa Ghana, familia ya wahanga pamoja na...
  9. Ripoti: Baadhi ya Vyombo vya Habari Nchini Kenya Vyabainika kutoripoti Mauaji ya Wanawake kwa Weledi

    Baraza la Habari la Kenya kupitia Idara ya Utafiti, Mipango na Mikakati ilitoa Muhtasari wa Uripoti wa Mauaji ya Wanawake nchini humo ambapo Baraza hilo lilibaini kuwa baadhi ya Vyombo vya Habari vimekuwa vikiripoti mauaji ya Wanawake bila weledi, hasa kwa kutoa habari zisizo sahihi, zisizo na...
  10. Sio kila Mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano hafai kuwa mke

    Sio kila mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano kwamba hafai kuwa mke, Baadhi yao wanapitia magumu mengi mno yanayohitaji msaada wa fedha zaidi kuliko faraja, na kwakuwa anakuamini lazima akushirikishe. Usimfikirie vibaya kama unacho msaidie
  11. Wanawake acheni kuamini ushirikina

    Bila shaka wana jukwaa mpo baraabaraa kabisa. Jamani nyinyi wnaawake najua kua kweli maisha ni magumu na sometimes mkipata chance mnatamani kutumia mbinu yoyote (ikiwemo shirk) ili kufanikisha jambo lenu. Stori ipo hivi:- Nimekua katika mahusiano na bint for quite some time. Sasa jana amekuja...
  12. S

    Kwa nini wanawake wanaotafuta wapenzi wengi humu ni wakristo?

    Wanawake wa kikristo shida ipo wapi?
  13. Kumbe wanawake nao wanaogopa wanaume ma "handsome" wanahisi ni ma "player"

    Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo. Yaani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo halaf wasema uko single, nyie ndo mnawapanga" Kiukweli mtu anaweza kua single bila kujali muenekano...
  14. K

    Wanawake Wanaoenda Gym na Wako Single

    In most cases, hawa watu huwa wananyege sana. Kwenda gym kwa ajili yakujikinga kupata hiyo kitu ni kama kuongeza petrol kwenye moto. Hii sijui kitaalamu imekaaje....
  15. G

    Wenye ndoto za kwenda Marekani au Ulaya, pesa zipo lakini kwenye suala la wanawake mtapata taabu sana. Nchi yetu ni pepo ya mapenzi, tatizo ni uchumi

    Marekani / ulaya / Australia / Canada yani kwa ufupi nchi za wazungu kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafanya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo mfano kazi za kwenye ma godown malipo elf 40 kwa saa, Tatizo la wenzetu wamekuwa...
  16. Wanawake na wanaume wenye tania hizi mje hapa.

    Wanaume wenzangu mnafeli wapi jamani.Tabia ya kutotowa mahitaji ya familia kwa wakati si kwamba huna ila uzembe tu eti kwakuwa unaishi na mkeo yupo ndani,fikiria unawatoto halo Lakini hujali unaenda kupeleka mahitaji kwa mchepuko tena kwa haraka.mkeo anaumwa hadi anazidiwa ndiyo unampeleka...
  17. Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana?

    Nimekuwa nikiona Wanaume wakilalamika kwamba Masuala ya Ufeminia yamekuwa yakiwaacha nyuma kwa kutoa kipaumbele kwa Wanawake na Wasichana na kumsahau Mtoto wa Kiume Mimi ningetamani kufahamu Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na...
  18. S

    Wanawake wa Dar es Salaam nani kawaloga?

    Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au mwendokasi) hujavaa nguo yoyote ya ndani (iwe ni underwear or tight) na wakati huo huo ukitambua kwamba kuna...
  19. Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

    Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali. Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu...
  20. Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume

    Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume, wakipata, watatupilia mbali mara moja ahadi zote walizotoa kwa Mungu baada ya kupata mtu asiye na hatia. Wanawake wengi wanaokula ujana, wakimaliza na kujiona wamechelewa kuolewa, wataanza kuingia makanisani ama misikitini wakiomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…