wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba

    1.Simiyu 2.Geita 3.Shinyanga 4.Mwanza 5.Mbeya 6.Iringa 7.Njombe 8.Ruvuma 9.Lindi 10.Mtwara 11.Manyara 12.Singida 13.Rukwa. 14.Songwe 15.Dodoma
  2. Aliyewadanganyeni Wanaume kuwa Wanawake wanataka tu Hela Kwenu nani? Kudadadeki zenu wanataka Hela na 'Mfurunduano' wa uhakika kama hivi asemavyo Diva

    Mtangazaji wa WasafiMedia "Diva" amempa sifa kedekede Mpenzi wake kwa kile anachodai Mpenzi wake ni mtu Tajiri anayejua Mapenzi.... Kupitia ukurasa wake wa Facebook Diva anaandika.........."Sema acheni mchezo mume wangu ana macho mazur nyie, akicheka sasa aaaah!. Kijana ana hela, ana jua...
  3. S

    Mila ya kuua waume wenye mali ya baadhi ya wanawake wa makabila ya kiafrika

    Nlikuwa najiulizaga saana kwanini huku kwetu Africa wanawake huwa ndio wanaishi miaka mirefu saana hadi kuwa vikongwe lakini wanaume zao huwa wanakufa huko mwanzoni mwanzoni tu. Kwanini watu wengine kama vile wazungu wachina wote huzeeka pamoja,mbaka pale niliposikia tukio la jamaa...
  4. Serikali yasema imeweka mazingira mazuri kwa Wahandisi Wanawake kushiriki katika utekelezaji wa miradi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa ajili ya kutoa fursa kwa Wahandisi Wanawake kushiriki kikamilifu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi na matengenezo ya barabara na madaraja nchini. Ameeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  5. R

    Nimefuatilia utendaji wa RPC Dodoma aliyeondolewa, nikiri kwamba ni moja ya wanawake shupavu kupinga ukatili. Ameonewa

    Nimefuatilia mitandaoni nyendo za RPC Dodoma aliyeondolewa, nimefuatilia kuona mahusiano yake na jamii pamoja na utendaji kazi wake. Nachelea kuamini kwamba katika kinywa kile maneno yakumdhalilisha mwanammke aliyetekwa yanaweza kutoka. Nimefuatilia mitandaoni hakuna sehemu kuna sauti...
  6. Bashungwa Mgeni Rasmi Kongamano la 9 la Wahandisi Wanawake, 2024

    BASHUNGWA MGENI RASMI KONGAMANO LA 9 LA WAHANDISI WANAWAKE, 2024. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 21 Agosti 2024 atafungua Kongamano la tisa (9) la Wahandisi Wanawake nchini linalofanyika Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam (JNICC)...
  7. G

    Israel: Gaidi aliyevaa begi lenye mabomu ya kujitoa muhanga alipuka kabla halijafikia eneo lililojaa watu

    From the river to the sea ndio kauli mbiu yao, Kuua waisrael wengi kadri inavyowezekana. Mungu ni Mwema maisha ya wanawake, watoto na wazee wengi wa kwenye mkusanyiko yameokolewa. Kuna possibilities zifuatazo yawezekana kulikuwa na hitilafu za kiufundi kwenye bomu Mossad wana teknolojia ya...
  8. L

    Rais Samia: Nazunguka Ulimwengu Mzima Kutafuta Fedha Kuwawezesha wanawake Wa Afrika Wapate Nishati Bora ya Kupikia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa amesema ya kuwa ajenda ya nishati bora ya kupikia ni ajenda ya Afrika na ni ajenda ambayo ameianzisha yeye na yeye ndio champion katika kuchochea ajenda hiyo. Amesema ya kuwa anazunguka Ulimwenguni kwote kutafuta fedha kwa ajili ya kuwawezesha wanawake...
  9. Wanaume kama unajua akikupa huwezi kuichapa ni mara mia uache kuwasumbua wanawake

    Ndugu zangu Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake. Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
  10. Rafiki yangu anayependa wanawake hatimaye apata Gono

    Siku za nyuma niliwahi kuleta uzi juu ya rafiki yangu ambaye tuna-share baadhi ya idea kuhusu kazi na maisha, nilimuelezea vya kutosha kuwa yeye na nyapu ni sawa na fisi na mifupa. Hata apite wa gharama gani, ni yuko tayari kuuza hata roho ili aonje tu hata kwa nusu dakika, kwake inatosha...
  11. Mkikutana na mpenzi wako mkafanya ngono bila kupeana chochote na wote mkatoka mmefurahi hilo ni penzi, kama mmoja akikasirika hapo hamna penzi

    KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba. UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo. Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine. Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
  12. Dkt. Biteko apongeza jitihada za CRDB Bank Marathon kusaidia watoto, wakinamama na vijana

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (katikati), akiwa ameongozana na Waziri wa Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro (watatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (wapili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (watatu kushoto)...
  13. Wanawake wakivaa nguo za Mazoezi (Yoga Pants) wanavutia sana

    Kubali au Ukatae...iko hivyo Wanawake wakivaa hizi nguo wanakuwa poa sanaa....halafu wanaonekana Classic wote yaani Wakishua hata kama sio....zaidi wanaonekana wasafi kumbe wengine hamna kitu...wanajikuta tu 😂 Povu za weekend ndio tunataka...karibu
  14. Wanawake wanaonuna nuna mnawawezaje wenzangu?

    Kuna mpenzi halafu kuna mpenzi wangu mimi, hivi wanaume naombeni mnisaidie huwa mna deal vipi na wanawake wenye kununa nuna bila haata sababu. Wivu sawa ila minuno sasa imezidi, unaweza tu shangaa kanuna alichonunia huelewi wenzangu mnafanyaje.. Ukweli kubembeleza naweza ila kumbembeleza mtu...
  15. Nikiulizwa napenda kuiona Sura ya nani (Wanawake) hapa JamiiForums kutokana na Kuvutiwa nao / Kunivutia ni hawa Wafuatao tu.....

    1. Leejay49 2. ephen_ Sababu....... Licha ya kuonekana ni Wanawake Warembo sana na wana Elimu Tukuka ila wanaonyesha hata kule pia Wanajua.
  16. Wanaume Wema na Watiifu katika Mahusiano yao ndiyo huteswa zaidi Kimapenzi na Wanawake

    Haya siyo maneno yangu bali ni maneno ya Mwanasaikolojia mmoja ambaye huwepo sana katika Kipindi huko Channel Ten ambapo huwa anazungumza na kuchambua Mambo mbalimbali ya Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kimahusiano. Ngojea GENTAMYCINE niendelee hivi hivi tu kuwa Mkorofi mbele ya Wanawake ili...
  17. Wanawake Njooni Tuongee:- Kwanini mnaolewa na msiowapenda na Kwanini mkiolewa mnachepuka??

    INTRODUCTION. YANGA Bingwaaaa Nyie Hamuogopi?? BODY:- Wanawake unajua nyie ni dada zetu, mama zetu, Shangazi zetu, rafiki zetu, N. K naomba niwaulize swali hili 1. KWANI LAZIMA KUOLEWA NA USIYEMPENDA?? 2. UKIOLEWA KWANINI UCHEPUKE?? 3. HIVI MNAJUA KUWA KUOLEWA HAKUNA UMUHIMU WOWOTE? SCENARIO...
  18. Kwanini wanaume wenye akili wanapenda girls with nyash!

    Why smart boy with high IQ most of them like girl with Nyash...? Answers.... Solution According to simple manipulation Let say Brain = A Nyash = B But Brain phenotypically resemble with Nyash So Nyash ~~ Brain Mathematical Nyash = K Brain. (K is beuty costant) So A = KB Biologically...
  19. Wanawake wengi wanaojivunia Uzuri wa Makalio wamejisahau kwenye Usafi wa Mwili: Wazingatie Manukato baada ya kuoga

    Sina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu. Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili. Zama hizi sabuni nzuri zipi na perfume nzuri zipo...
  20. Wanawake mjiheshimu mnapokuwa maeneo ya kazi

    Kuna mdada tunafanya nae kazi, nimezoeana nae kawaida, sio mshkaji wangu sana, ila sasa huwaga anapenda sana kuvaa mavazi ambayo yanaonesha maumbile yake. Huyu dada kaumbika plus mavazi anayovaa, aisee nadhani mnaelewa ninachomaanisha. Kuna muda unakuta anajisahau anakaa vibaya, sometimes hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…