wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aina 4 za wanawake ambao hutakiwi kuanzisha nao Familia hasa Ukiwa na umri chini ya miaka 45.

    AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HUTAKIWI KUANZISHA NAO FAMILIA HASA UKIWA NA UMRI CHINI YA MIAKA 45. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Umri wa 20-45 ni umri muhimu Sana kwako kama kijana wa kiume. Huo ndio umri ambao unanguvu ya kujenga empire yako. Kumbuka mwanaume hazaliwi akiwa na thamani. Kama...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi shanga za wanawake kiunoni huwa zinaongeza nini wakati wa sex?

    Kuna mtu nilikua namshughulikia usiku wa leo,kavaa mashanga kiunoni..binafsi mimi hayajanivutia,nimeona kama ni uchafu tu. So maybe help me to understand, hiyo mishanga huwa inaongeza nini wakti wa kukulana?
  3. JamiiForums Tanzania SACP. Safia Jongo aonya Waganga wa Kienyeji wanaowarubuni Wanawake za Watu na kuwarekodi wakifanya Zinaa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na kuwatishia kuziachia video hizo endapo wataachana, jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hayo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Miaka 15 hivi iliyopita jamaa yangu alioa mwanamke ambaye walikuwa wamekutana miezi kama 3 tu iliyopita

    Miaka 15 hivi iliyopita jamaa yangu wa karibu aliamua kuoa demu ambaye walikuwa wamekutana miezi kama 3 tu iliyopita. Ndani ya kipindi hicho cha miezi mitatu ya kudeti, jamaa akagundua kuwa huyo mke mtarajiwa ana mawasiliano na wanaume wengine wawili. Alipohoji demu akamwambia ni maex wake bado...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Angalieni wanawake mnaowaoa je ame sha move on on huyu ukimuo unategemea nini?

    Yangu ni hayo akili kichwani mwako
  6. JamiiForums Tanzania Ni motive ipi inayofanya wanawake wa-cheat? Upande wa wanaume ni kwa sababu sex drive yake haiwezi vumilia kudatishwa na appeal ya mwanamke mwingine

  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaojifungua hospitali za umma, wanadhalilika, usalama na stara hakuna

    Nimefika hospitali 1 ya serikali nilimtembekea rafiki yangu ( wa kike) aliyefika kujifungua nimesikita mno Wodi imejaa wajawazito na vichanga Wajawazito wanalala chini, vitandani wanalala hadi watatu, hii sio sawa Bora wananchi wachangie huduma ila ziwe Bora, ziwepo wodi za kutosha na wake...
  8. JamiiForums Tanzania Football ya wanawake sio lazima wacheze ma tom boys

    Huu ushamba unaenea Tanzania hasa kwenye football ya wanawake, Hawa mabinti wanaocheza Mpira wa miguu hujigeuza ma tom boy Hii tabia inatutia mashaka sisi wazazi kuwaruhusu mabinti zetu wakacheze soccer, tuna wasiwasi kukengeuka kimaadili na kuwa madume jike ( tom boys) Ni tabia ya kipumbavu...
  9. JamiiForums Tanzania MADA: Uvaaji wa Vikuku Miguuni kwa Wanawake Mtazamo wa Jamii Yetu

    Uvaaji wa Vikuku Miguuni kwa Wanawake – Mtazamo wa Jamii Yetu Wakuu, natumai wote mpo salama. Leo naomba tujadili jambo ambalo linaonekana dogo lakini linagusa maadili, utamaduni na mitazamo ya kisasa uvaaji wa vikuku miguuni kwa wanawake, hasa wanapoviacha vionekane hadharani. Katika baadhi...
  10. JamiiForums Tanzania Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) lapiga marufuku Vijora Uwanjani

    Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na kuvaa nguo (Vijora) na kuonekana maumbile ya miili yao. ZFF inatoa angalizo la kuzichukulia hatua...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Je wajua kuwa wanawake wote si sawa?

    Tulifundishwa kuwa Kuna milango mitano ya fahamu.na Kila mlango una kazi maalum 1.macho : Kuna 2.sikio : kusikia 3.pua: kunusa 4.ukimi : kuonja 5.ngozi : kuhisi Linapokuja swala la tendo la ndoa ,hapa kinachofanya kazi ni ubongo ,uke na ume Uke na ume vina ngozi .viunge hivi havina uwezo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake Tubadilishe Style vitandani, Wanaume Wanatuchoka Mapema

    Wanawake wenzangu mnachoshindwa kubadilisha style vitandani ni nini? Mbona mimi na Mshangazi dot com huwa tunawabadilishia style vitandani waume zetu secretarybird, uzuri_hatujuani pamoja na Mbaga Jr? Ngoja niwape siri enyi wanawake wenzangu. Mwanaume anachoka na style moja. Huwa tu hawana...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake hufanana tabia na matendo

    Hapa JF kuna wale vibaka wanaopenda kusifia kila jambo hata kama ni baya. Kuna hawa wanawake walikuwa maraisi yani matendo yao ni kama binadamu mmoja. Waliua wanaharaksti,waliuza rasilimali,waliyumbisha nchi zao kimaendeleo. Wanao waliishi utazani ndio wenye serikali. Haw hapa. aung san suu...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake Wana roho ngumu mno

    Nimebadilisha dini ili nimuoe Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha. Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga mlango sijafunguliwa... Naona madilisha yanafunguliwa ila hakuna ishara yoyote. Nimejaribu...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye akili muwafundishe wanawake wenzenu wenye tabia hii.

    tabia ya wanawake kumtegemea mwanaume Kwa 100% imekuwa ni tabia ambaya wameifanya Kama sehemu ya maisha Yao. Unakuta mwanamke anamtegemea mwanaume, boyfriend/mumewe Kwa kila kitu. Mwanamke wa Aina hii, anajiweka kwenye situation tofauti, either apate kila anachohitaji Kwa mumewe, apate...
  16. JamiiForums Tanzania Experience toka kwa watu waliooa wanawake waliolelewa na mzazi mmoja

    Habari zenu wakuu, naomba kupata dokezo ni changamoto zipi mlikutananazo kwa wale waliooa mabinti waliolelewa ma mzazi mmoja? Hasa mama pekee baada ya ndoa ya wazazi wake kuvunjika au kuoa wanawake wengine (polygamy)
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake ni janga mwanaume ukiwa dhaifu utachenyentewa wazwaz na dharau juu, akisaliti muache on the spot vuta chuma mpya using'ang'ane

    Wanaume wezangu mwanamke akikusaliti achana nae hakuna kubembeleza hata kama mna watoto 10 mmeishi miaka 12 usisamehe daima utajutia baadae, usaliti ni sawa na mchawi akianza kula nyama tu haachi kamwe. Yangu hayo tu.
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto: Tuwalinde Wanawake kwenye Siasa

    Akionekana kutofurahia baadhi ya kauli, picha na maandiko mbalimbali mitandaoni, kwenye kile alichokiita kama Makelele ya mwenye siasa na yenye kuwahusu wanawake wanasiasa, Mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye pia ni mtia nia ya Ubunge kupitia ACT Wazalendo kwenye uchaguzi Mkuu wa 2025, ametuma...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana acheni kujidanganya linapokuja swala la ndoa au mahusiano wanawake wana mipango mingi ya siri jinsi ya kuwangamiza

    Mwanamke akishajua kupitia mwanaume aliyenae miaka ya mbeleni Kuna maisha huwa wana mipango mingi ya siri mioyoni mwao mpka siku atakajipata ..... Ukweli ni kwamba mwanamke akiwa hajajipata huwa ni kiumbe mpole, mnyenyekevu na mtiifu kwa mwanaume lakini siku ambayo akijipata ni lazima abadilike...
  20. JamiiForums Tanzania Kipi hupelekea wanawake kuwanyima unyumba waume zao?

    Hili sasa limekuwa ni tishio. Nahisi ni moja kati ya sababu inayowapelekea vijana wengi kuishi maisha yao wao kama wao. Unyumba Unyumba Unyumba Najiuliza, sijui wanapitia machungu makali sana pale Abdallah anapozama chumvini🤔 Sijui ni uvivu tu🤔 Sijui ndo upendo umekwisha, I mean bila upendo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…