wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake ni wengi kuliko wanaume, ila idadi ya wanaume wenye matatizo ya akili ni maradufu zaidi ya ile ya wanawake

    Saikolojia? Kwamba wanaume wanatunza uchungu moyoni bila ya kushare na wengine kama wafanyavyo wanawake kuwa wepesi midomoni. Mihadarati? Kwamba wanaume ndio watumiaji wa kupindukia wa madawa ya kulevya na ulevi wa pombe wa kupindukia zaidi ya wafanyavyo wanawake. Uchawi? 1: Kwamba mwanaume...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanapotaka kuoa hawatumii akili zao vizuri, huishia kuangukia mikononi mwa makahaba. Mwisho huishia kulizwa

    Hello shalom Wanaume bora katika jamii wapo, pia wanawake bora katika jamii wapo. Ni vyema wahuni waoane wenyewe kwa wenyewe ili kupunguza hizi kelele za kutuhumiana usailiti, kuuana na kusambaratisha familia. Yes, hakuna mwenye haki ya kufanya cheating ndani ya ndoa ila nature inaonyesha...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume tunazingua sana

    Habari za muda wadau. Kuna kitu nime note. Kama mwanaume usipopenda ndugu zako na kuwathamini pindi uwapo ndoani usidhani mkeo atawathamini. Ukiwatupa naye atawatupa akiwauwa kiheahiniwa tai shingoni huku yeye akiwathamini ndugu zake. Unaweza mtembelea kaka Yako usithaminiwe Wala kiheshimiwa...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mwafrika wa Kwanza kushinda Medali ya Dhahabu Mbio za 200 kwa Wanaume Olympics 2024

    Letsile Tebogo (21) kutoka Botswana amekuwa Mwafrika wa kwanza kushinda medali ya dhahabu mbio za mita 200 kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki Agosti 8, 2024. Amefanikiwa kuvunja rekodi ya Kenny Bednarek na Noah Tyles na kutajwa kama “Mwanaume mwenye kasi zaidi duniani” Alifanikiwa kushinda...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume tunaonyandua vizuri tunaelewa umuhimu na ulazima wa kunyonye uke kabla ya shoo

    Ukiona mwanaume anaponda kunyonya uke kama sehemu ya kibwagizo cha shoo za kibabe na shoo za kinyamwezi ujue huyo mwanaume hajui emotions za physical and romantic touch. Mwanamke anaejielewa anakuwa na uke msafi na kunyonywa uke ni burudani kuliko shoo yenyewe. Wapiga shoo za kibabe kunyanya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa ya wanaume kukosa nguvu za kiume hii hapa

    Anagalia vizuri hii picha, kisha useme kama inawezekana kwa mwanaume kuvumilia hiyo hali. Kama rangi ndiyo hiyo, harufu je? Kama kwa nje Pako hivo kwa ndani je? Hakuna haja ya kula ulojo, supu ya pweza, kutafuna karanga ama mihogo, tafuteni pisi safi na zilizojitunza utanishukuru.
  7. JamiiForums Tanzania Wazo fyatu: Kuna michezo ingewafaa wanawake zaidi na mengine ingebaki ya wanaume tu

    Huwa naona michezo ya mpira wa miguu ya timu za wanawake na ngumi inayohusisha wanawake kama haina mvuto mkubwa sana kwa watu wengi. Hili suala lisichukuliwe kama ni ubaguzi wa kijinsia kwa sababu hata wengi wa wanawake wenyewe wanavutiwa zaidi na timu za mpira wa kiume kuliko timu zao. Mimi...
  8. JamiiForums Tanzania Dada aliyelalamika mtandaoni kuwa wanaume ni mbwa kumbe alifanywa kitu mbaya

    Kwa yaliyomkuta yule binti anayelia kuwa wanaume wote ni mbwa utamuonea huruma... Nasikia mwamba alimpeleka lodge baada ya ile kazi binti usingizi ukampitia,kuamka jamaa kaishakimbia na simu na pesa za binti,binti akajikuta hana hata nauli na simu imekwenda. Yaani unamtelekeza mtu na hela na...
  9. JamiiForums Tanzania Kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kuwa na mke mmoja

    Hakika fahari ya mwanaume ni kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ambao wana mpenda yeye na kumuheshimu.Ile feeling ni kubwa na nzuri sanaa kiasi kuwa wanao ipata ni wachache sana kwenye hii Dunia. Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ambao mnapendana wote bila shida kuna mfanya mwanaume kuwa mpambanaji...
  10. JamiiForums Tanzania Maoni binafsi: Namna/Jinsi wanawake wanavyosababisha wanaume wengi kuchepuka katika ndoa

    Wasalaam, Wana JF wote. Leo nina mada kidogo kuhusu suala la uchepukaji kwa wanaume hususani walioko katika ndoa kunakosababishwa na wanawake wenyewe. Nikiwa miongoni mwa wanaume walioko katika ndoa nimeonelea ni vema nikatoa maoni yangu kuhusu suala la wanaume wengi kuchepuka kwenye ndoa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki

    Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume.

    Watafiti kutoka kituo cha utafiti wa usingizi cha Chuo Kikuu cha Loughborough Nchini Uingereza wamesema Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume. Profesa Jim Horne kutoka Chuo hicho amenukuliwa akisema “akili za Wanawake...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume tunaona, wanawake wanasikiliza

    ......
  14. JamiiForums Tanzania Huu msemo mliokuwa mnawaambia wanaume watafute hela sasa mtatafuta nyie

    Huu msemo wa 'Tafuta hela ' naona wanawake umewarudia sasa hivi wanatafuta Sana HELA na Wanawahudumia sana wanaume. Hakika karma is bitch Moja ya hekima ya MTU mwenye akili ni kukaa kimya
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wa mjini wanashangaa baadhi ya wanaume wenye magari kuwa na maisha ya kuungaunga!

    Huyu bi dada anasema wanaume wenye magari huonekana kuwa na uwezo mzuri wa kiuchumi lakini mambo huwa tofauti mtu anapoingia katika mapenzi
  16. JamiiForums Tanzania Mungu anipe subra, nampenda mume wangu

    Asubuhi ya Leo nimerudi kazini nikiwa najiskia vibaya kweli.. Mume wangu ikabidi anisaidie kuniandalia chai wakati huo Mimi Niko chumbani Wakati huo simu yake ilikuwa kwa dressing table muda huo natoka washroom naskia mitetemeko nikawa nimeangalia nikaona kwa screen message 4 what's App za...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume mpaka wanazeeka hawajawahi kupendwa.

    We kama umetumia kigezo cha hela kumpata mwanamke wewe hujapendwa, umekubaliwa tu, kukubaliea si kupendwa. Kuna sisi, wazee wa love on the first sight , yani mdada anakuona tu, anachanganyikiwa, anakuelewa moja kwa moja, mambo ya pesa ni baadae hiko ndo uanaweza shtuka. Unatumia swaga vizuri...
  18. JamiiForums Tanzania Mtaalam: Sehemu za Siri za Mwanamke kuwa Baridi huchangia kwa 99% katika Kupunguza Nguvu za Kiume za Wanaume wengi

    "Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa Moto na kuwa Wabaridi. Kitendo cha Uke wa Mwanamke kuwa Wabaridi husababisha Uume wa Mwanaume ukiwa...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume na vijana wadogo acheni ulalamishi kuombwa pesa na wanawake

    Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…