wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wanapofanikiwa kiuchumi huwatelekeza wenza wao ambao walianzia maisha ya dhiki

    Kwanini wanawake wenye tabia njema za kujenga familia imara huwa wanatelekezwa na watoto baada ya mwanaume kufanikiwa kusimama vizuri kiuchumi? Kwanini mwanaume anakuwa mstaarabu sana kama hana fedha lakini akifanikiwa anageuka dikteta,anakuwa mkali kupitiliza,anakuwa msaliti wa mara kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

    Binafsi najivunia sana baba yangu, mzee wangu ni mwanaume halisi kabisa kwanza hajawahi kuniambia hata siku moja eti ooh mwanangu mbona bado ujaoa never na nahisi atoniambia kwa sababu hata yeye mwenyewe hajawai kuoa Na kuna utofauti mkubwa sana nikimuona baba na ndugu zake yeye ana mafanikio...
  3. JamiiForums Tanzania Makabila yenye tabia ya Ubahili wa Kifedha kwa Wanaume Kikanda au Kimikoa hapa Tanzania

    1. Wapare 2. Wakinga 3. Waha 4. Wagogo 5. Wachagga 6. Wakurya 7. Wajita 8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani Naomba kuwasilisha Pang Fung Mi
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hii ya wanawake wazuri kuwa single kwa sababu ya uzuri na kwa wanaume ipo?

    Katika dunia ya sasa ambayo mapenzi ni kama game play, watu wanaingia kwenye relationships wakiwa na kipima joto, wasiwe na mtu atakaye waumiza, or asiwe juu sana or chini sana based on expectations alizo jiwekea yeye. Ongezeko la wanawake walio single, linazidi kuongezeka. Let alone wao jamii...
  5. JamiiForums Tanzania Kikwete na Magufuli walishindwa kuingusha CHADEMA lakini Rais Samia ndani ya miaka minne ameshamaliza anachofanya ni kuinyonyoa manyoya

    Hakuna anayeamini! Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani. Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa Wanaume ambao hawajaoa

    Habari... Nyie Wanaume ambao hamjaoa uwe umepanga au unaishi kwenu hasa wenye umri kuanzia 30-47 tabia ya kuwatembele marafiki zenu waliooa bila taarifa huku mmevaa pajama mnamuonesha shemeji yenu hayo mapaja iliiweje? Halafu mchana kutwa mnakuwa wapi hadi mnasubiri kagiza kaingie ndo...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake ukiona unapewa sana attention na wanaume ujue unanuka hapo haupendwi

    Wanawake ukiona unapewa sana attention na wanaume ujue unanuka hapo haupendwi NANUKUU.. Wahenga walisema "kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza hapo hapo wakatuambia mavi ya kale hayanuki" Enyi wanawake mnao ishi kwa kuhisi muda wote nakupenda sana kupewa attention na wanaume mjue mnanuka...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kijaluo wakimbeba David Livingstone mwaka 1885 kumuonesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua

    Wadau hamjamboni nyote? Wanaume wa Kijaluo wakiwa wamembeba David Livingstone siku kama ya leo mwaka 1885 kumuonyesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sifa za wanaume legelege

    Wakuu, hii nimeikopi sehemu. MAELEZO YANGU: Wanaume tunahangaika kujipa ukamilifu ili tuweze kumdhibiti kiumbe anayeitwa mwanamke. Wasakatonge na wajanja kwa kuliona hili, wameamua kutumia mwanya huu kujipatia pesa. COPY & PASTE SIFA ZA MWANAUME LEGELEGE (FEMININE MAN) KWANINI WANAUME...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi wasichana toka umri mdogo wanafundishwa kua wanaume ni waongo pia wavulana toka umri mdogo wapaswa kufundishwa wanawake ni wanafiki na wabifsi

    Wanaume WENGI enzi hizi wanaishi kwa machungu na sonona za hali ya juu kutokana na kutowaeelewa wanawake na tabia zao halisi. Wakati wasichana wakipewa taadhari juu ya uongo wa wanaume, wavulana hukua bila taadhari yoyote wakiamini wanawake ni wema, wanakuja kugundua a awake ni wanafiki...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanawaogopa wake zao

    Huo ndo ukweli. Alaf ukiwakuta huko nje vijiweni na umu jf wanavotunisha vifua waonekane wake zao wanawasujudia kumbe wao ndo wanawasujudia wake zao 😂 wanawaogopa wake zao mpaka wanatia huruma wengine wamegeuka mazoba wanapokua majumbani 😂😂 mbaya zaidi baadhi ya wanawake hawajui kama waume zao...
  12. JamiiForums Tanzania Kwenu wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi. Kipi bora mke wako kulea watoto na kutunza familia ama kazi?

    Wakuu huu mwaka 2025 hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe yote yatabomolewa na kugeuzwa kwa wakati wake. Leo mtuambie wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi na majukumu yote ya nyumbani kuwaachiwa wadada wa kazi. JE NI KIPI BORA KATI YA KULEA FAMILIA NA KUFANYA KAZI?. Pengine sisi tulioa wamama...
  13. JamiiForums Tanzania WANAUME HIVI MMEJUAJE LAKINI?

    Dah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake. Wanaume hamujiamini kabisa, sijui tatizo ni nini? Yahani mtu unaona mpenzi wako amesimama tu na mwanaume mwingine we unapaniki, then hata bila ya kujua kasimama na Nani wewe ushakumbilia jamii forum...
  14. JamiiForums Tanzania Hakika tunawachezea na kuwaacha ili tukaoe waliochezewa na wanaume wenzetu.

    Ndugu zangu kufuatia mwaka huu mpya mwanzoni kabisa ni bora kwa kifupi kuweka huu ukweli mchungu kabisa ili watu wajitafakari upya. Nikweli tunawachezea na kuwaacha na kwenda kuoa na kuolewa na walio chezewa hivyo hivyo. A) WANAUME AMBAO HAMJAOA Wanaume wenzangu unapokua na mwanamke kwa...
  15. JamiiForums Tanzania WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa Mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu

    WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu. (chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.) Wakati mwingine tunadharaulika na kudhalilishwa sehemu tunakotafuta riziki lakini hatuchoki.✊️ Much respect to us🤛
  16. JamiiForums Tanzania Kila Mwanamke Ana Wanaume Watatu

    Wa kwanza ni The Main Guy – Yule ambaye anampenda na kuvutiwa naye. Huyo mara nyingi hajali sana kuhusu yeye. Kisha kuna wa pili, The Backup Guy – Kawaida ni mwanaume mzuri anayemtaka. Ni mzuri lakini yeye hamvutii. Anakuwa rafiki tu, na anahifadhiwa endapo yule anayempenda atamvunja moyo...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba niwashauri wanaume wenzangu

    Naomba niwashauri wanaume wenzangu, mwaka mpya huu wa 2025 unataka kufanikiwa chagua mdada mmoja bonge mzuri anayejitambua jiweke hapo tulia utafanya maendeleo haraka sana. Wadada mabonge wanajua kupenda sana wametulia ukimpenda anaridhika hawana tamaa hata kidogo. Wanajielewa na wengi unakuta...
  18. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani

    Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwasisi wanaume: Ukiona mpenzi wako hakuombagi tendo jua hujui kufanya vyema!

    Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!. wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano maana mahusiano ni mashirikiano ila ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho...
  20. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake watakuwa wakifanya mapenzi zaidi na ROBOTI kuliko Wanaume kuanzia 2025

    Hiyo ni kwa mujibu wa chapisho la Jarida la The Sun, ambapo limeeleza kuwa ngono kati ya roboti na Binadamu wa Kike itakuwa ya kawaida zaidi kuliko Wanaume. WANAWAKE watakuwa wanawanyima wanaume wanapotaka kupata hali ya joto na wanaweza kuanza kuzipenda mashine hizo, kulingana na ripoti. Dk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…